Jk yuko mapumziko Bilila Lodge Serengeti

Huyu kikwete natumai anajutia hii nafasi alonayo maana nchi imekushinda baba nenda kwa amani kapuumzike
 
Nahisi kama heading inahitaji editing maana haiendani na hali halisi. Nijuavyo mm unapata haki ya kupumzika baada ya kufanya kazi, huyu anapumzika kwa kazi ipi aliyoifanya jamani? Katika matatizo makubwa yanayotusumbua kwa sasa hakuna hata moja alilosolve zaidi ya safari zisizoisha so huko kupumzika ni kutokana na uchovu wa safari au?

anapunguza uchovu wa safari kabla hajasafiri tena.. sijui wametenga fungu la kukarabati ikulu ili iweje
 
hii hotel c ndo ile ambayo ni maarufu sana duniani. Hapo ni kwamba mkuu ameenda ku consume his own goods, kwa wale wa uchumi nazani mnaelewa. 1. Mmiliki wa hii hotel amemegewa kipande cha hifadhi ya serengeti na anakimiliki kwa muda wa miaka 99. Wajukuu wetu ndo watakao kuwepo wakati mkataba unaisha 2. Ana falu wake mwenyewe na sasa ana plani kujenga uwanja wake wa ndege wa kimataifa, si kwa faida ya taifa, no ni kwa faida yake. 3. Ana jeshi lake la kulinda hifadhi yake, c maanish kk guard 4. Hii hotel ndo ile ambayo wana wadharau watanzania kupita kiasi, mtakumbuka ni katika hii hotel kamati ya bunge ya mahesabu ya selikari inayo ongozwa na mh cheyo walizuiwa kuingia ndani ya hotel hii kisa mmiliki yuko bise. 5. Ni katika hii hotel na hifadhi yake mtoto mdogo ilikamatwa ameingia kwenye hii hifadhi na kuhukumiwa miaka 6. Ni katika hii hotel na hifadhi yake maaskari wake hufanya msako wa nyumba kwa nyumba kufunua masufuria jikoni ili kutafuta walio pika nyama ya polini so mkuu hapo ameenda kujiongezea mapato tu ananunua bidhaa anazo zalisha mwenyewe
Nadhani Mkuu hapa umechanganya mambo....haya uliyoyataja yanahusu Grumeti Reserve &its attachments-VIP and others (western Corridor) na siyo Bilila Kempinski...from my school of thought!!!
 
kweli!? ...kwa hiyo anakagua miradi, si angemtuma 'dogo' au anachakachua naye!?
JK ndo mmliki wa bilila kempiski serengeti.in other words, yupo home anaangalia jinsi biashara yake inavyokwenda
 
kweli kabisa VIP na bilila ni vi2 viwili tofauti kabisa
alafu rate ziko down asa ivi had uro100 per bed sio us$1600

Nadhani Mkuu hapa umechanganya mambo....haya uliyoyataja yanahusu Grumeti Reserve &its attachments-VIP and others (western Corridor) na siyo Bilila Kempinski...from my school of thought!!!
 
asanteni,ngoja na sie tufike hapo walao dah!!mzee anakula shushi balaa?
 
Back
Top Bottom