JK yu wapi?? Habari za kutatanisha!!

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
355
88
Wengine wanasema yu bado Brazil.

Wengine wanasema yu Malawi.

Wengine wanasema ..........................!!!!

Nijuze tafadhalini
 
Vasco Da Gama!!!!! alikuwa mtembezi maarufu wa dunia, alipata medani!
 
Siku atakapo anguka na Dege ndo atapata adabu.

Kwa mswahili laweza kuwa jambo la ujiko vile vile. Atakuwa ****** wa kwanza kuanguka na ndege na ataona sifa kweli wakati tunamimina udongo juu yake. Mbaya ni kwamba hatoweza kukuna kichwa na kidole kwa ujiko kama anavyofanyaga akiongea na wacheza bao wa mwembe yanga
 
Post nyingine zinatutafutia ban tu ok any way bado yupo Brazil anaapointment na Pele wapige picha kesho ndo arudi!
 
teh teh heri wenye moyo safi. Bikira Maria tuombee sisi wakosefu ambao hatujapata bahati ya kupanda ndege.......na kushikashika vitoto vya kibrazil na kuning'ing'ia kwenye bembea za huko jamaica kama baba yake MwanaAsha. AMEN
 
Back
Top Bottom