JK wapambe wake wanamdanganya nae anadanganyika!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Nimekuwa nikifuatilia wapambe, makada na viongozi wa CCM hasa kunapo kuwepo matatizo nchini mwetu
wakisema kwa unafiki kuwa wasaidizi wa rais hawamshauri vizuri. Wengine wanadiriki ata kusema kwa mambo madogo ambayo JK naamini anaweza kufikiria mwenyewe, "kinachomwangusha rais ni wale wanaomsaidia" huu ndo wimbo tuliouzoea.

Swali la kujiuliza ni je, rais Kikwete hawezi kujifanyia kazi mwenyewe?
 
Kwa hali iliyopo sasa nchini,
huna budi kusema Rais hana wasaidizi kabisa,
kwani mambo hayaeleweki na hao wasaidizi hakuna wanachokifanya kumsaidia JK
 
sasa unauliza nini,
bila shaka majibu unayo wewe mwenyewe, au
unataka tuseme useme ni wapinzani hao.
 
Mimi tatizo kwangu ni jinsi mnavyomuita Jakaya Mrisho Kikwete kuwa eti ni jk...... Jk vipi wakati hata majina yenyewe hayafanani???????? Au mna maana gani kama sio jiki, joka, jike, jaka, jeki, .....???? Nijuzeni maana halisi. Tafadhali sana nataka kujua.....
 
Labda kashikiwa akili!

Nimekuwa nikifuatilia wapambe, makada na viongozi wa CCM hasa kunapo kuwepo matatizo nchini mwetu
wakisema kwa unafiki kuwa wasaidizi wa rais hawamshauri vizuri. Wengine wanadiriki ata kusema kwa mambo madogo ambayo JK naamini anaweza kufikiria mwenyewe, "kinachomwangusha rais ni wale wanaomsaidia" huu ndo wimbo tuliouzoea.

Swali la kujiuliza ni je, rais Kikwete hawezi kujifanyia kazi mwenyewe?
 
Tatizo watu wanavuta bange bila kula si muwaambie wawaletee hata uji sio mibange tu hapo uwanjani mmevuta usiku kucha angalia misokoto mingapi imekamatwa kwa wale waliokamatwa na askari wakutuliza ghasia hapo NMC
 
Akizifanya mwenyewe ndohapo inapofikia wakati ANAPIGA TIKITAKA majukwani, wasaidizi wake wameshamjua ni mzee wa kuchakachua hivyo nao wanamchakachua ili watimize masilahi yao binafsi. Hapo ****** anajisikia furaha sana.
 
Tatizo watu wanavuta bange bila kula si muwaambie wawaletee hata uji sio mibange tu hapo uwanjani mmevuta usiku kucha angalia misokoto mingapi imekamatwa kwa wale waliokamatwa na askari wakutuliza ghasia hapo NMC

Natumaini ujawai fika Arusha kwa hiyo unalolijua mazingira yake yapale.
 
kama kudanganywa ni sehemu ya siasa basi hata viongozi wa chadema wanadanganywa na wanadanganyika
 
nchi ipi uliwahi kuona Rais anajifanyia mambo yake mwenyewe bila washauri ni kama na wewe umedanganywa na mwalimu aliyekufundisha somo la uongozi
 
Mimi tatizo kwangu ni jinsi mnavyomuita Jakaya Mrisho Kikwete kuwa eti ni jk...... Jk vipi wakati hata majina yenyewe hayafanani???????? Au mna maana gani kama sio jiki, joka, jike, jaka, jeki, .....???? Nijuzeni maana halisi. Tafadhali sana nataka kujua.....

wale walioku-cameron wamekutuma kutukana sio kosa lao kazi ya ushoga ni ngumu unaweza kukosa hoja ukaanza kutukana matusi hivyo na ndivyo hivyo kikwete akamkataa balozi shoga angefika Ikulu na matusi kibao
 
Cameron angetembelea uwanja wa NMC Arusha hakuna ambaye angesalimika kuanzia viongozi mpaka wafuasi wao
 
wote waliokusanyika ni kwa sababu ya njaa kali. kukosa riziki ni jambo baya sana akili yako inaweza kuchezewa kama mpira
 
sura za wafuasi wa chadema zinaonekana kuwa na njaa kali ni rahisi kuyumbishwa hata kama njaa yao sio ya kusababishwa. kuna njaa za aina mbili ya kujisababishia na kusababishwa
 
Back
Top Bottom