JK wa VITUKO: Adanganywa daraja limekamilika, AAIBIKA!

..................ajabu ..sisi tumekasirika lakini muhashimiwa rais alionekana hata kutokuwa na hasira ...zaidi ya kuanza ku chat chat..tu..kuhusu hadidhi za vita vya ukombozi na mtumbwi...
 
``Nikakatazama kale kaboti kaupepo nikasema Mmh, mimi Mkwere sijui kuogelea afadhali ya Membe, maana mwenzangu kaoa huko Mbambabay ataogelea,`` alisema.

Philemon Mikael,

..si tuliambiwa Kikwete ni askari jeshi aliyekomaa, shujaa mwenye cheo cha Luteni Kanali.

..sasa leo hii anaogopa kupanda mtubwi?

..nilitegemea angeomba combat fatigues na kuchupa kuogelea kuvuka mto.
 
Endeleeni kutafuta udhuru tu kwa serikali yenu. Kiongozi anaposhindwa kuongoza anakuwa si kiongozi. Serikali haiwezi kufanya makosa, watendaji wa serikali hawawezi kufanya makosa. Makosa yako kwa watu wengine tu. Nadhani hili ni kosa la Chadema kupigia kelel ufisadi hadi watu wanaogopa kumalizia daraja. CHADEMA kibebeshwe lawama za tatizo hili na wasiligeuze kuwa la kisiasa.

Meanwhile, nina ripoti kuwa Albino mwingine ameuawa huko Biharamulo katikati ya wiki iliyopita. Mzee wa miaka 46 na mke wake kajeruhiwa. Tutajaribu kuungana na mkuu wa POlisi wa mkoa baadaye kwenye matangazo ya mchana..

Ukweli na usemwe!
 
..mwanajeshi gani ..alikuwa nanga tu..ndio maana waitara na sayore walikuwa wakimdharau ...kijeshi..kwani walimfundisha.....hakuwa na rekodi yeyote ya ushujaa jeshini zaidi ya kupanda cheo kisiasa..yeye na kina makamba walikuwa makamisaa wa siasa tu..ukiongelea wanasiasa askari mashujaa labda umuongelee mtu kama brig,gen ngwilizi...that is a really soldier ...and he mastered mocambique war and kagera...

............huyu nguin hata kagera hakwenda...still watu wanataka kumuweka kwenye kundi la askari..[hana bawa apart from being political commiser].....nilikuwa nashangaa sana watu kudhani mtu anayecheka cheka anaweza kutoa amri yeyote..hasa inayoweza kulinganishwa na ya kijeshi!!
 
Ukisoma hii habari hapa chini, utagundua kwamba ilikuwa inajulikana kwamba boat ndio itakayotumika.

JK fails to cross into Mozambique

2008-07-27 13:50:03
By Juma Nyumayo, PST, Mozambique

President Jakaya Kikwete could not cross Ruvuma River bordering Tanzania and Mozambique to celebrate the 40th anniversary of Frelimo, the party that led the military struggle in the southern neighbour that eventually promised independence.

The president was to use a small boat to cross because the Mkenda Kivukoni Bridge over Ruvuma River from which he would have crossed into Mozambique is still under construction.

But he told a public rally later in Songea that he would not trade his life by crossing Ruvuma River in a wind-propelled boat that could as well cost his life and cause the nation a loss.

Jokingly the president said: ``I gazed at that small boat and said to myself, mhh, I am a Mkwere without swimming skills. Better for Membe because he has married in Mbambabay. He can swim.``

But the president was well represented in the Frelimo anniversary celebrations by a team of government and party officials which included Party Vice-Chairman Pius Msekwa, Foreign Affairs and International Co-operation Minister Bernard Membe who had crossed the river on boats.

* SOURCE: Sunday Observer
 
..mwanajeshi gani ..alikuwa nanga tu..ndio maana waitara na sayore walikuwa wakimdharau ...kijeshi..kwani walimfundisha.....hakuwa na rekodi yeyote ya ushujaa jeshini zaidi ya kupanda cheo kisiasa..yeye na kina makamba walikuwa makamisaa wa siasa tu..ukiongelea wanasiasa askari mashujaa labda umuongelee mtu kama brig,gen ngwilizi...that is a really soldier ...and he mastered mocambique war and kagera...

............huyu nguin hata kagera hakwenda...still watu wanataka kumuweka kwenye kundi la askari..[hana bawa apart from being political commiser].....nilikuwa nashangaa sana watu kudhani mtu anayecheka cheka anaweza kutoa amri yeyote..hasa inayoweza kulinganishwa na ya kijeshi!!

PM,

Huenda usalama wa Taifa ndio waliomuambia asipande hiyo boat... endelea tu ku-conclude vitu ambavyo huna hakika navyo.
 
Endeleeni kutafuta udhuru tu kwa serikali yenu. Kiongozi anaposhindwa kuongoza anakuwa si kiongozi. Serikali haiwezi kufanya makosa, watendaji wa serikali hawawezi kufanya makosa. Makosa yako kwa watu wengine tu. Nadhani hili ni kosa la Chadema kupigia kelel ufisadi hadi watu wanaogopa kumalizia daraja. CHADEMA kibebeshwe lawama za tatizo hili na wasiligeuze kuwa la kisiasa.

Meanwhile, nina ripoti kuwa Albino mwingine ameuawa huko Biharamulo katikati ya wiki iliyopita. Mzee wa miaka 46 na mke wake kajeruhiwa. Tutajaribu kuungana na mkuu wa POlisi wa mkoa baadaye kwenye matangazo ya mchana..

Ukweli na usemwe!

Angepanda tu hiyo boti halafu izame moja kwa moja pengine tungewashughulikia MAFISADI vizuri. Hii hasara ni ya kufikirika?
 
Machozi yanitoka kila ninapokutana na watu ambao bado wanadiriki kumtetea huyu msanii na serikali yake ya Ze Comedy. Hivi WaTz kama ni kulogwa tumelogwa mpaka tumelogeka. Halafu watu kama hawa kwamba wanapatkana hata humu JF inasikitisha kwelikweli. Wako tayari kushupalia mambo ya Mbowe, marehemu Munanka, Mkapa na wengineo kwamba wanamkoma nyani gledi, wakati huo wanamkumbatia aliyepewa dhamana na wananchi kushugulikia matatizo yao na akaonyesha udhaifu ulio sawa na ulemavu. Something that is much more scarce than ability is the ability to recognize ability.

Kama ni unafiki, hiki kiwango wanachokionyesha kinatisha na kinaashiria walivyo watumwa kimawazo na hawatasita kulamba matapishi yao wenyewe. JF has to show a lot more seriousness than this. Masikini Tanzania ianongozwa kisanii, period.
 
PM,

Huenda usalama wa Taifa ndio waliomuambia asipande hiyo boat... endelea tu ku-conclude vitu ambavyo huna hakika navyo.

..katika hali ya kawaida usalama wasingeweza kumruhusu apande hiyo..boti..that is obvious......sio suala la conclude wala nini...

..mtu yeyote anaweza kumtetea ..kama unavyotetea.......
 
..mwanajeshi gani ..alikuwa nanga tu..ndio maana waitara na sayore walikuwa wakimdharau ...kijeshi..kwani walimfundisha.....hakuwa na rekodi yeyote ya ushujaa jeshini zaidi ya kupanda cheo kisiasa..yeye na kina makamba walikuwa makamisaa wa siasa tu..ukiongelea wanasiasa askari mashujaa labda umuongelee mtu kama brig,gen ngwilizi...that is a really soldier ...and he mastered mocambique war and kagera...

............huyu nguin hata kagera hakwenda...still watu wanataka kumuweka kwenye kundi la askari..[hana bawa apart from being political commiser].....nilikuwa nashangaa sana watu kudhani mtu anayecheka cheka anaweza kutoa amri yeyote..hasa inayoweza kulinganishwa na ya kijeshi!!
-Mkuu sina historia nzuri/ufahamu sana wa Mambo ya Kijeshi haswa Nyumbani Tz. je?, ni nani aliyekuwa mkuu wa kituo cha mafunzo ya kijeshi(cadet) kwa wakati huo(JK's time)
-Naelewa kupanda vyeo jeshini hutegemea sababu mbaliX2(Ushujaa,Muda Maalumu,kutimiza Kozi fulaniX2)ila sidhani kama siasa/upendeleo ni sababu mojawapo.
-Naelekea kufikiri Rtrd.Gen.Waitara(4star Gen.),Rtrd.GenSayore(3star Gen.),Rtrd.Brig.Gen.Gwilizi(1star Gen.),hawa ni zaidi ya Askari,ni Maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi(kwa nidhamu ya kijeshi sidhani ni sahihi kuwaita askari)
-Jamani kwani ukishakuwa afisa wa kijeshi basi kucheka nako mwiko??
 
-Jamani kwani ukishakuwa afisa wa kijeshi basi kucheka nako mwiko??

Kucheka na kutocheka ni maumbile ya binadamu!!! Rais wa Kenya ana kawaida ya kufinya finya uso... lakini hiyo haimfanyi asiwe Rais wa nchi...

Watu wengi ambao wanatofautiana na Utawala wa JK... ni kwamba wao wanataka Rais dikteta... yaani kwa mfano issue ya NSSF na Dr. Masau aende atoe hukumu immediately... issue ya EPA... awapeleke magereza, na hata sio mahakamani wezi wa EPA... maana ukitaka kupeleka mahakamani lazima utafute kila kitu cha kuweza kushinda kesi...

In short tuna-mitizamo tofauti... wale wanaotaka demokrasi na wale wanaotaka dikteta.
 
-Mkuu sina historia nzuri/ufahamu sana wa Mambo ya Kijeshi haswa Nyumbani Tz. je?, ni nani aliyekuwa mkuu wa kituo cha mafunzo ya kijeshi(cadet) kwa wakati huo(JK's time)
-Naelewa kupanda vyeo jeshini hutegemea sababu mbaliX2(Ushujaa,Muda Maalumu,kutimiza Kozi fulaniX2)ila sidhani kama siasa/upendeleo ni sababu mojawapo.
-Naelekea kufikiri Rtrd.Gen.Waitara(4star Gen.),Rtrd.GenSayore(3star Gen.),Rtrd.Brig.Gen.Gwilizi(1star Gen.),hawa ni zaidi ya Askari,ni Maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi(kwa nidhamu ya kijeshi sidhani ni sahihi kuwaita askari)
-Jamani kwani ukishakuwa afisa wa kijeshi basi kucheka nako mwiko??

..hawa retired generals wote unaowaongelea kwa muda tofauti wamekuwa TRAINERS WA KOZI MBALI MBALI ZA KIAFISA[OFFICER CADET]..na commonders trainers kwa nyakati tofauti.....yeye kikwete aliingia MONDULI mwaka 1976.....na walimtrain kipindi hicho..baadaye jk alirudi kufanya kazi za CCM ....na baadaye alirudi MONDULI kuwa MWALIMU WA SIASA ..[kamisaa wa siasa]...wakati huo SAYORE alishapanda na kuwa mkuu wa chuo.....

..jeshini kuna idara mbali mbali...sasa hawa walikuwa hasa upande wa siasa hasa kipindi kile cha chama kimoja ...wote walichukuliwa wanatoa utumishi sawa na marubani ,makomando.ma engneer,madaktari..ets....na kunato mifano ya makamisaa wa siasa jeshini waliopanda vyeo kama brig .gen nnauye,gen.abdalah natepe,..[huyu alipata kuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa majeshi-say a political wing of TPDF....

..NDIO maana nasema afisa wa political wing enzi hizo anakuwa mzuri zaidi kwenye uhamasishaji na propaganda..baada ya kuingia kwenye vyama vingi ...kitengo cha siasa jeshini kulifungwa ..na maafisa wengi waliokuwa makada waliambiwa wachague kubaki jeshini au kuingia siasa.....wapo wengi mnawajua ..kama kikwete,john komba,mkuchika,makamba.nnauye...na wengine wengi waliamua kuvua magwanda.....

....lakini hata hivyo kuna baadhi ya nchi duniani majeshi yao yana vitengo vya siasa[political wing]...lakini mara nyingi kwenye mfumo wa majeshi ya ukombozi au uasi ..umuhimu wa vitengo vya siasa ni muhimu zaidi hasa upande wa kujenga LEGITIMACY ya mapambano....vitengo hivi vimesaidia sana ANC..,ZANU..SWAPO,....NA siku za karibuni..kina kabila,LORDS RESISTANCE ARMY[kitengo chao cha siasa karibuni kimefanikiwa kubadili sura ya kikundi kutoka wapiganaji wasiokubali mazungumzo...na sasa kinaongea amani kikitumia political wing yake ambayo..ina wasomi]

kimsingi siasa jeshini kwa kipindi kile ilikuwa na umuhimu wake...maana JESHI LETU LILIKUWA PIA JESHI LA UKOMBOZI.......

......yes jeshini kuna maafisa na wapiganaji.....lakini mwisho wa siku wote wanaaza kwa kuwa maaskari..and they are always pride of being soldiers foremost.....[/B[/B
]]
 
-Mkuu sina historia nzuri/ufahamu sana wa Mambo ya Kijeshi haswa Nyumbani Tz. je?, ni nani aliyekuwa mkuu wa kituo cha mafunzo ya kijeshi(cadet) kwa wakati huo(JK's time)
-Naelewa kupanda vyeo jeshini hutegemea sababu mbaliX2(Ushujaa,Muda Maalumu,kutimiza Kozi fulaniX2)ila sidhani kama siasa/upendeleo ni sababu mojawapo.
-Naelekea kufikiri Rtrd.Gen.Waitara(4star Gen.),Rtrd.GenSayore(3star Gen.),Rtrd.Brig.Gen.Gwilizi(1star Gen.),hawa ni zaidi ya Askari,ni Maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi(kwa nidhamu ya kijeshi sidhani ni sahihi kuwaita askari)
-Jamani kwani ukishakuwa afisa wa kijeshi basi kucheka nako mwiko??

Kuna mambo fulani ambayo unajifunza au unabadilika automatikally baada ya kuwa kwenye kazi fulani..mfano ukiwa ofisa wa jesho kwa miaka kathaa "tone" ya sauti yako inabadilika na unakuwa na sauti ya kikakamavu. Au ukisomea upadri, by the time unamaliza masoma na kuwa "Father" tayari utajikuta unaongea kwa upole kama Pope..!! Hiki ndicho ambacho JK anakosa, hakuna kitu alichonacho kinachoashiria alipitia Jeshini na kuwa ofisa wa Jesho wa Cheo ch Lt Col..!!
 
kucheka Na Kutocheka Ni Maumbile Ya Binadamu!!! Rais Wa Kenya Ana Kawaida Ya Kufinya Finya Uso... Lakini Hiyo Haimfanyi Asiwe Rais Wa Nchi...

In Short Tuna-mitizamo Tofauti... Wale Wanaotaka Demokrasi Na Wale Wanaotaka Dikteta.

........sasa Rais Mrembo Anatusaidia Nini.......tunapochagua Rais Hatuangalii Sura Au Kufinya Finya Jicho.....huwezi Kulinganisha Perfomance Ya Kiuchumi Ya Kenya Na Yetu..na Hawajawahi Kuwa Na Rais Handsome.......

Nadhani La Muhimu Ni Uwezo...........

..utawala Wa Nchi Ni Zaidi Ya Demokrasia...rais Wa Nchi Hawezi Kushindwa Kuitumia Mamlaka Yake Kikatiba Kwa Kisingizio Cha Demokrasia.....kuna Mambo Ambayo Dhahiri Yanahitaji Uamuzi Au Amri Ya Rais ..akishindwa Hatuwezi Kumtetea...

Rais Hawezi Kuvunjiwa Adabu..halafu Still Anakuwa Easy Lazima Awe Tough!!!....siku Hizi Watendaji Naweza Kusema Aidha Hawamuogopi Au Hawamuheshimu!!
 
..katika hali ya kawaida usalama wasingeweza kumruhusu apande hiyo..boti..that is obvious......sio suala la conclude wala nini...

..mtu yeyote anaweza kumtetea ..kama unavyotetea.......

Na kabla hawajamkataza kupanda huo mtumbwi, walitakiwa wamzuie asiende kwenye sherehe hewa.
Nina mashaka makubwa na usalama wa rais wangu
 
Hivi watu bado wana nguvu ya kutetea JK wa ze comedy, hivi hamuoni kituko hiki kama ni tusi kubwa kwa utawara wa JK, hivi kama habari ya kuwa anakwenda kufungua daraja ilikosewa kwanini hawakuirekebisha kwa kumtumia silva kabla JK hajakwenda huko maana sitaki kuamini kuwa walikuwa hawajui kuwa daraja halijakamilika.

Hivi mkuu wa mkoa hakwenda site kuona maandalizi ya kumpokea raisi siku moja au masaa machache kabla ya raisi kufika, hivi usalama wa taifa wanafanya nini? au ni kwamba JK anakuwa kichwa ngumu kuwasikiliza wasaidizi wake.

nashindwa hili tukio niliiteje kwani naona naweza kutukana bila sababu ya msingi kwani inauma kuona raisi anadangwanywa kwenye kitu ambacho anakwenda kukiona je kama ni taharifa tu na alionekani itakuwaje au ndo kuwekewa data za uongo.
 
Jamani nadhani humu ndani inapokuja jina la Kikwete tunajikuta tukiconclude with prejudices zetu kuhusu mkuu huyu....i mean kuhusu mkwere huyu....ama "mswahili" huyu....

Haingi akilini kuwa alifika hapo bila ya kujua atakachokikuta....

Inawezekana hii ni another side ya JK kuwafanyizia watu wake with smiling face....

Watendaji wengi serikalini wamekutwa na sokombingo kama hili. Tatizo ni kuwa huishia kwa kuambiwa wajirekebishe na wao huamini kuwa wameogopwa....

Tanzanianjema
 
.... Au ukisomea upadri, by the time unamaliza masoma na kuwa "Father" tayari utajikuta unaongea kwa upole kama Pope..!!
...teh!..teh teh,duhh..Mkuu say no more, i don't suppose there is a better example to drive Ur point home like the one above.
**Understood!!
 
[

Inawezekana hii ni another side ya JK kuwafanyizia watu wake with smiling face....

Watendaji wengi serikalini wamekutwa na sokombingo kama hili. Tatizo ni kuwa huishia kwa kuambiwa wajirekebishe na wao huamini kuwa wameogopwa....

Tanzanianjema[/QUOTE]

..HUJIONA WAMEOGOPWA AU WANANCHI HUONA HIVYO KWA SABABU BAADA YA HAPO BUSINESS HUWA AS USUAL...WATENDAJI WANAKOSEA MBELE YA RAIS...NA KAZI HUENDELEA KAMA KAWAIDA......ndio yale yale..."nawajua wauza unga..wajirekebishe"..HAJAKAMATWA HATA MMOJA....'watendaji wa halmashauri mnaokula pesa nawajua ..acheni au nitawataja"- PESA ZA HALMASHAURI ZINAENDELEA KUTAFUNWA...kumbuka ndiko sehemu kubwa ya bajeti ya maendeleo tunakopitishia ...na kazi ya rais sio kuwataja...amtajie nani wakati YEYE NI WA KUCHUKUA HATUA TU...tunaotakiwa kutishia kutaja ni sisi wananchi kwa kuwa hatuna DOLA!!....such scenerios!!!
 
Mtizamo wangu kwenye hili ni huu...Inawezekana JK aliamuwa kwenda kwani kutokufanya hivyo kungewapa wapinzani kelele za kupiga kwa kusema kuwa JK hajali.

Sasa hapo lawama anataka kuwaangushia wakandarasi kama alivyofanya kipindi cha nyuma kwa kuwaambia viongozi wasiogope kuitwa mafisadi pale wanapotowa tenda kwa wakandarasi.

Ni mchezo mchafu tu wa siasa kwani watu walio responsible ni wale waliopiga saini mikataba na makampuni hayo....Kuangaliwe kama ni kweli vigezo vyote vilifikiwa wakati wa ku offer contract hizo.

Sasa kama wakandarasi hao walipewa tenda na viongozi wasaidizi wa JK kwanini hawawajibishwi?

Kwa upande mwingine...Ninamwomba pia Mh Rais awe makini sana.Kwani wa mozambique hao si ndio waliokuwa upande wa wapinzani huko ZIM? Na hapo JK alikuwa anajuwa kabisa kila kitu huu ni mpango wa kisiasa ili kuneutralize issue hii ili wakandarasi wapewe lawama na si mafisadi waliotowa tenda hizo kwa wakandarasi wa ajabu ajabu kwasababu tu ya tamaa ya ten pasenti.

Hata hivyo huko Msumbiji nako inategemeana kwani usalama wake hautakuwa mzuri sana kwa jinsi siasa za Africa zilivyokaa kwa sasa...Kuaminiana ni kugumu sana hasa baada ya matatizo ya Mwanawasa.

Halafu daraja lenyewe pia sijuwi kama ujenzi wake ulifadhiliwa na nani...Hilo kama tukijuwa basi tutaweza kutambua kama kuna interests hapo kuhusiana na utowaji wa tenda hizo.
 
Back
Top Bottom