Jk ungelijua watanzania wanavokutabiria ungekata tamaa

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
2,569
499
Wana jamvi.

Jana usiku mida ya saa 2 kamili nikiwa kwenye baa moja nikijipongeza kwa kulitumiakia taifa sikuamini kilichotokea.

Ilikuwa taarifa ya habari radio one ilianza hivi..

mtangazaji..

habari tulizopata hivi punde kutoka ikulu zinasema rais jakaya kikwete..........mara umati wa watu baa nzima wakasimama huku mkono mmoja ukiwa juu kuashiria ushindi, shwangwe au furaha..mtangazaji akaendelea kusema amewateua makatibu/katibu mkuu mara watu wote wakashusha mikono na kuzogoa ahaaaaaaaaaaaa wote kwa pamoja na kusema nilidhani amekufa tupate uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi...sikuamini macho yangu kwani 30% ya watu hao walikuwa polisi, nikashikwa na butwaa mpaka sasa siamini na ninajiuliza hivi watanzania hawawezi kufanya chochote mpaka wamuombee afe?? Hichi ni kimeo angalia watu hawa wasije gawana vya kwako pale utakapo kuwa huna kinga.

Naamini matukio kama haya yanatokea sehemu nyingi ya tz kama kuna la zaidi wakuu mnaweza kuongezea
 
mkuu sina mbavu kwa mazingira ya stori lkn natafakari mana waswahili husema, ukiambiwa changanya na zako
 
Hayo mbona yanasemwa kila mahali na kila mtu mkuu? Hakuna jipya hapo. Huyu bwn amekua msaníi sana,hakuna maisha bora aliyoahidi bali sasa imekua bora maisha. Ahadi kibaaaaoo zakuombea kura, baada ya hapo anajichimbia. Uchumi unaopaa hatuuoni. Ufisadi/mafisadi ndo kabisa usiseme, anawachekeachekea tuuu...Ntalia mie, tobaaa! Nikutakie Heri ya mwaka mpya.
 
We need the motherfaka alive to answer all his motherfakas deeds.
 
Wana jamvi.

Jana usiku mida ya saa 2 kamili nikiwa kwenye baa moja nikijipongeza kwa kulitumiakia taifa sikuamini kilichotokea.

Ilikuwa taarifa ya habari radio one ilianza hivi..

mtangazaji..

habari tulizopata hivi punde kutoka ikulu zinasema rais jakaya kikwete..........mara umati wa watu baa nzima wakasimama huku mkono mmoja ukiwa juu kuashiria ushindi, shwangwe au furaha..mtangazaji akaendelea kusema amewateua makatibu/katibu mkuu mara watu wote wakashusha mikono na kuzogoa ahaaaaaaaaaaaa wote kwa pamoja na kusema nilidhani amekufa tupate uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi...sikuamini macho yangu kwani 30% ya watu hao walikuwa polisi, nikashikwa na butwaa mpaka sasa siamini na ninajiuliza hivi watanzania hawawezi kufanya chochote mpaka wamuombee afe?? Hichi ni kimeo angalia watu hawa wasije gawana vya kwako pale utakapo kuwa huna kinga.

Naamini matukio kama haya yanatokea sehemu nyingi ya tz kama kuna la zaidi wakuu mnaweza kuongezea

hahahaha!
Hata mi simpendi JK Lakin nashindwa kuamin jins hao wa2 walipofikiri kwa pamoja wazo moja la ajabu!
Labda mlikuwa mmelewa pombe ya aina moja?
 
mkuu sina mbavu kwa mazingira ya stori lkn natafakari mana waswahili husema, ukiambiwa changanya na zako
ni kweli mkuu za kuambiwa changanya na zako kama ****** anavosema ila hata mimi mwenyewe nilishangaa sana mkuu ni live na source ni mimi mwenyewe nilijiuliza maswali mengi sana na mwisho nikajichekea mwenyewe
 
hahahaha! Hata mi simpendi JK Lakin nashindwa kuamin jins hao wa2 walipofikiri kwa pamoja wazo moja la ajabu! Labda mlikuwa mmelewa pombe ya aina moja?
Mkuu inawezekana walilewa kilevi kinachofanana lakini pia nilijiuliza kama ni kilevi mbona imekuwa kama igizo? kwanini maelezo, mtazamo, fikra na hata hisia zifanane kwa wakati mmoja?
 
Back
Top Bottom