JK umesikia haya ya Machangu DC wa Nzega na Resolute T LTD Nzega ?

Jamani JK amechoka, yaani viongozi wote OVYO OVYO, na nafikiri hata mwenyewe JK ni OVYO OVYO, halafu mimi nashangaa watu wengine wanaamka asubuhi na vichwa vya magazeti yao eti Obama amsifu JK, jamani Obama amsifu JK, si afadhali umsifu hata mbunge wa viti maalumu, sometime anapresent hata maada bungeni, halafu mkuu mwenyewe wa wilaya anaitwa MACHANGU----jamani huo si uwingi wa CHANGU, unyumbulishaji wa maneno, <br><br>Kusema kweli accountability hakuna kabisa katika serikali hii ya huyu jamaa, we need fresh blood to overhaul the whole system, we need young people with fresh minds, we need accountable and transparent young people to lead our country, it is time, we need changes---------yes we can!<br><br>rom<br>
 
Lunyungu!

Pole sana. Acha ubaguzi kama huyo DC SIO mke wa mtu then yuko huru kufanya mapenzi na mwanamume wa chaguo lake hata akiamua kuwa changu doa inategemea na aliyempa Job Description. Kama anakula uroda na Mtishi as long as sio wakati wa kazi hayo ni private life !!

Maamuzi ya Rais hayajadiliwi hapa Tanzania hata akimteua mkewe kuwa Prime Minister si katiba inamruhusu?

Kuhusu aliyepigwa paranja kwa kuingilia ulaji wa DC huyo mama nampa pole.

Nilishawaambia hapa jamii kwamba Mgodi wa Resolute unamilikiwa na Rostam Aziz mbunge wa Igunga period. Kesi ya nyani utapeleka kwa ngedere unatarajia nini hakuna kitu!!! Hao akina Tosialitumwa kutafuta dhahabu ya JMK kwani yeye ni shareholder behind the scenes !

Kwa taarifa hiyo andika maumivu na imekula kwako !! Next time be careful usikiguse kitumbua cha DC or else utchovywa kwenye Acid au ulambishwe cynide ukafie kwenu!!! Kalieni majungu tu mnavuna mlichopanda kwenye uchaguzi wa 2005. Si mlisema ana sura nzuri kalieni ugali kama ni ya samaki!!! Kidumu CCM na Rostam Aziz kanyaga twende pambaf!!!

Mkereme
Heshima mbele .
Umemshukia Lunyungu wa watu kosa lake ni lipi ? Kuleta habari za ndani za kizalendo na wazalendo wanavyo pewa hard time au kwa kitu gani ? Kuawa unakosema mbona wengi wamekufa yet people we are here talking ? Watanzania wale wanao umia ndani resolute , Tossi kuzama na kukuta mapesa kibao bank then wakajiuliza na kukaa kimya means wote .Mtu kesha potezewa maisha, NGO zinapata hard time watu wanawekwa ndani bila ya maelezo na kutolewa , DC anafanya mambo haya na OCD na OC CID wanakubali tu hivi hivi kutumika kuumiza mtu na kutaka afute kauli .Yet JK juzi kafanya reshuffle ya hawa wakuu kamuacha pale pale Machangu , inazua maswali mengi sana .Pinda kashindwa ndiyo maana tunasema mfupa huu ni wa JK .Auvunje tuone basi .

Watanzania mali zao zina waua kweli ? Bado Urenium
 
Ohhh mkuu Nziku ndauli beela siwipuliha?
Tume tumechoka mkuu hazina jipya wanasafisha tu watu wenye matope na wao sasa wamesha chafuka hawana jipya.

Mkuu hii tume siyo mpya, ilishaundwa siku nyingi, ni tume ya kudumu. Sijasikia hata siku moja kuchafuka au kuchokwa kwa tume hii. Kwasasa system imechafuka, i know but lazima tuwe na mahali pa kujishika.
 
Lunyungu!

Pole sana. Acha ubaguzi kama huyo DC SIO mke wa mtu then yuko huru kufanya mapenzi na mwanamume wa chaguo lake hata akiamua kuwa changu doa inategemea na aliyempa Job Description. Kama anakula uroda na Mtishi as long as sio wakati wa kazi hayo ni private life !!

Maamuzi ya Rais hayajadiliwi hapa Tanzania hata akimteua mkewe kuwa Prime Minister si katiba inamruhusu?

Kuhusu aliyepigwa paranja kwa kuingilia ulaji wa DC huyo mama nampa pole.

Nilishawaambia hapa jamii kwamba Mgodi wa Resolute unamilikiwa na Rostam Aziz mbunge wa Igunga period. Kesi ya nyani utapeleka kwa ngedere unatarajia nini hakuna kitu!!! Hao akina Tosialitumwa kutafuta dhahabu ya JMK kwani yeye ni shareholder behind the scenes !

Kwa taarifa hiyo andika maumivu na imekula kwako !! Next time be careful usikiguse kitumbua cha DC or else utchovywa kwenye Acid au ulambishwe cynide ukafie kwenu!!! Kalieni majungu tu mnavuna mlichopanda kwenye uchaguzi wa 2005. Si mlisema ana sura nzuri kalieni ugali kama ni ya samaki!!! Kidumu CCM na Rostam Aziz kanyaga twende pambaf!!!

Usimtukane Lunyungu bila kosa, wewe na rostam ni sawa tu. Unatetea ukahaba wa DC na wewe ni kiputo nini??
 
duh mzee umeamua kunitukana .Sijajua sababu au ulitaka habari hii isijulikane ? Mie nimeipata kwa wakubwa hapa wana haha nayo nikasema wacha niujulishe Ulimwengu wa wana JF .Nikiuawa na wao watakufa tu si jibu .Huwezi kufanyua udhalimu ukadhani utaishi milele.Kila muosha maiti naye ataoshwa kwa taarifa anikiniua naye atapata shida .Ufisadi huu ni mbaya sana ndugu zanguni.Mwalikua alikataa kuchimba madini haya akiwa na maana leo yanachimbwa watu wanakufa unasema ninyamaze ? Asante
 
Hatujui ilipoishia ila aliwekewa dhamana na akatoka hadi leo hatujasikia kesi ... na anaendelea na mambo yake kama kawaida ila kaanza fitina mgodi mzima kwamba kuna dada mmoja wanafanya naye kazi ndiye aliyemshitaki polisi ama kumtaja huko polisi lakini yeye ana uwezo na pia yeye anafahamiana na wakubwa hivyo hapatakuwa na kesi.

Lunyungu tunaomba mwongozo ili tuweze kukusaidia kuhusu ili swala. wewe ulisema idara nzima ya community mlikuwa watatu. sasa swla la wizi wa dhahabu linausiana vipi na mambo ya community???
 
Duuuh!nilitaka kushangaa hivi DC anaweza kusimamisha kaghorofa fastafasta namna ile pale Mbezi Makonde kwa mshahara tuuuuuuuuuuuuu!
 
Mkereme
duh mzee umeamua kunitukana .Sijajua sababu au ulitaka habari hii isijulikane ? Mie nimeipata kwa wakubwa hapa wana haha nayo nikasema wacha niujulishe Ulimwengu wa wana JF .Nikiuawa na wao watakufa tu si jibu .Huwezi kufanyua udhalimu ukadhani utaishi milele.Kila muosha maiti naye ataoshwa kwa taarifa anikiniua naye atapata shida .Ufisadi huu ni mbaya sana ndugu zanguni.Mwalikua alikataa kuchimba madini haya akiwa na maana leo yanachimbwa watu wanakufa unasema ninyamaze ? Asante

Luyungu!
Kunradhi sijakutukana labda nimetumia fasihi ya juu mno kupita uelewa wa wengi hapa jamii forums!! Nilikuambia imekula kwako meaning hakuna cha tume wala kesi itakayojibiwa!!! Mwizi anamkimbiza mwenye mali!!

Nilikuwa na maana kwamba DC anateuliwa na RAIS ili kumwakilisha kwenye Wilaya na hata Mkuu wa Mkoa hashirikishwi na ndio maana huwezi kujua nani ni bosi wa nani hapa TZ kwa sababu wote wateuliwa na RAIS!!

Kuhusu DC Machangu ni kwamba amepewa jukumu la kuangalia maslahi ya Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mgodi wa Resolute ambao unamilikiwa na Rostam Aziz aliyeuziwa na wale wazungu kutoka Australia ambao baada ya kuchuma janga wamerudi kula na wa kwao!!

Kwa vile Machangu ni askari wa miavuli ameamua kutumia mwili wake kumchuna huyo Mzungu na kuwa na total control after all huyo mdosi ameajiriwa na ni wakala wa RA period !! Hivi nitumie lugha gani mnielewe!

Katika machakato wa kukwapua na hizo senti za NGO wakataka kina mama wachukue asili mia hamsini, Kosa lako Lunyungu na wenzio ni kupeleka habari Takukuru ambako Hosea YUKO kwenye PAYOLL ya Rostam Aziz huku DC akiwa kapewa kazi na Rais sasa unafikiri hapo utapona!! Utaonekana wewe kanyau tu that is what I mean.

Narudia wote mlifurahia including Maaskofu kwamba JMK alikuwa chaguo la Mungu back in 2005 leo kawa mbaya actually mnavuna mlichopanda!!

Bila total revolution huu mdundiko utaendelea tu huko North Mara si mmesikia yanayotokea kuhusu CYANIDE kumwagwa mtoni watu wafe and hakuna anayejali kuanzia Pinda, Kikwete,Bunge na mawaziri wote!!

Iko siku atatokea mtu ambayo hamtaijua atawalipua mkifanya mzaha huko dodoma au kwenye mikutano yenu ya chama Iam just dreaming !!!
 
Mdau naomba nikusahihishe kidogo, ninavyofahamu mimi ule mgodi wa Resolute unamilikiwa na Resolute mining ltd ambayo ni kampuni ya Australia. Rostam anamiliki Caspian Mining ambayo ni kampuni iliyipewa dhamana ya uchimbaji wa dhahabu kule Golden Pride Nzega.
 
Huo Ndio Ukweli Rostam hajafikia That Much Money Kuweza Kumiliki...Mgodi...Nimeona somewhere Picha Ya mavura..kuweka Picha yake kunaweza kusaidia?Ok see this.
 
Attachments

  • Mavura Mariam.JPG
    Mavura Mariam.JPG
    37.7 KB · Views: 55
Lunyungu tunaomba mwongozo ili tuweze kukusaidia kuhusu ili swala. wewe ulisema idara nzima ya community mlikuwa watatu. sasa swla la wizi wa dhahabu linausiana vipi na mambo ya community???

Hii issue iko wazi kama kuna mtu wa kufuatilia nadhani anaweza tu .Nime elewa hivi .Kumetokea matukio 2 tofauti na yote Mama Mvura amekuwa involved.La kuomba rushwa alitaka wakale na DC likaleta shida .

Baadaye kumetokea wizi mkubwa , tena Mvura akadakwa nadhani hata bwana mkubwa mgodini anamjua ni mtu wa deal kwa sababu kwa nini akamatwe yeye tu hapo mgodini ? Pia walimwagwa askari wa kufa mtu ni kwa mari ya nani ? Lazima pia nusa nusa ilikuwepo na kuonekana kwamba Mvura ndiye kinara wa matukio.

Haya fuatilia sasa kwa msaada huu wa uchambuzi
 
Lakini kwenye haya makampuni ya kigeni kuna watu wengi tu wa usalama wa Taifa. unakuta mtu anaajiriwa pale kama profesional wa field fulani lakini yeye anakuwa anafanya kazi nyingine kabisa. kwa hiyo huyo mama kuhusishwa na hizo ishu mbili ni lazima kuna mtu wa pale pale ndio alisababisha huyo mama kukamatwa.

Hayo ndio mambo yanayoendelea kwenye migodi yetu!!!

Hivi huyu mama alishawahi kufanya kazi serikalini???
 
Huyu mariam mavura alikuwa anajisomesha pale open university MA(DS) sijui kama kamaliza na alionekana kutesa sana kwa vijisenti kumbe ndo mambo yake?? Kweli Watanzania tunaliwa sana, na huyo DC analifedhehesha taifa, kweli anatembea na mzungu ili hali unamwakilisha rais ktk wilaya yako!! Lol

Kwani kuna ubaya gani wa mtu kutembea na mzungu??? Kwa kuwa ni Mwanamke anahaki ya kutembea na mtu yeyote, haijalishi mi mzungu, mwarabu nk.

sasa hapa tunamsaidiaje Lunyungu kwenye hili janga lilimpata???
 
The Farmer!

Tafadhali ukiambiwa kitu na wakubwa wako unatakiwa ukubali. Ubishi hapa hautakusaidia wewe wala wanaosoma hapa Jamiiforums period!

Lunyungu hatuwezi kumsaidia kwa sababu mfumo umemkataa pale!!

Narudia wale wazungu wa Australia walisha hama ila sisi kwa uzumbukuku tutaendelea kubishana mpaka asubuhi. Mambo yote ni mdundo tu kuanzia Kempinski hadi Mwadui na GENERAL TIRE EA ltd washenzi wanatuibia kwa jina la wawekezaji!!! Tulipowaambia kwamba TICTS haikuwa kampuni ya Malyesia hamkukukbali hivyo hivyo IPTL na kuendelea hata hiyo kampuni ya RITES inayosadikiwa kumiliki hisa za TRL nayo hewa watu wa TZ bwana LABDA nichukue wembe kila anayebisha nimkate chale mbili usoni!!

Mwisho Lunyungu nakushauri utafute bishara nyingine hiyo hapo Resolute imedunda kichizi!!!Take it from me watu wa CCM can only see green hata kama kuna ukame wa kutisha!!!
 
Ndugu yangu, mimi niko gado. Nasema hivi mkuu, siku za hao watumiaji madaraka vibaya zimekwisha. Lingoma likivuma sana lakatika. Za mwizi arobaini na kabla ya hapo huwa zinafikishwa kwenye 18 za mwenye sura ya kipole, zikitimia tu wooooote watakwenda na maji hapo. Huyo mama ahesabu siku tu.
 
Back
Top Bottom