Elections 2010 JK- Tumeweza na kuvuka lengo (Ajira 1,300,000)

Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,354
1,010
Wakuu,

Jana katika mkutano wake na waandishi wa habari JK kwa mdomo wake alinishangaza pale alipotoa mfano wa ajira walizo leta katika kipindi cha miaka mitano ni "uanzishwaji wa Groceries mitaani apapo wafuna visoda wamepata kazi"

Hivi kweli huu ndiyo ubora wa JK & CCM towards ajira walizotengeneza kwa wananchi!!! Kweli tuna-aim kwa kiwango kidogo hivi!!!

Mimi nawashauri tukamuachishe kazi JK kwa kuchagua CHADEMA hiyo kesho!!!:peace:
 
Back
Top Bottom