JK tulia kidogo nchini: Meli inapigwa mawimbi!!!

My hypothesis about you stands, however I stand to be corrected.
Mie naenda kulala, hilo wazo la huyo mkulima hapo juu vipi?
Nimechoka kuandamana kimawazo, sleep tight FF

Wallah! ntakuota miye

Ukioniota jichue, usisahau eenhh!
 
JK a.k.a Vasco Dagama a.k.a Globe Trotter - Asilaumiwe. Vizee na vikongwe vya Magamba ndivyo vilikosea kumdhibiti asitekeleze yote yaliyosheheni katika hotuba yake ya kwanza ya kihistoria ya 2005 wakati analizindua Bunge kipindi hicho. Sasa afanyeje - Trot around the Globe watajiju!! Kwanza amejitahidi sana kuyaanika na kuruhusu yaanikwe madudu mengi yaliyojili katika awamu ya tatu. (paradox - eh)
Thanks Mkuu, lakini kiongozi akichaguliwa kuwa Rais, hatakiwi kuwa passive, anatakiwa kuwa pro-active.
Vizee unavyo viongelea ni rahisi sana kuwaweka kwenye portfolio wanayostahili.
Kuyumba huku kunatokana na kuyaacha mengi bila kuchukua msimamo dhabiti.
 
Kwa nini tuandikie mate, peni ni intact.
Lakini kukuota haikuwa shida, tena ulikuwa kale kasamaki katamu katamu-changudoa.

Si utumie hayo mate unaponiota! unanchekesha, usiharibu mada ya watu. Wewe imekushinda potea.
 
My hypothesis about you stands, however I stand to be corrected.Mie naenda kulala, hilo wazo la huyo mkulima hapo juu vipi?Nimechoka kuandamana kimawazo, sleep tight FF
avatar43551_2.gif
Wallah! ntakuota miye
Yap, utamuota au umeshamuota? banaa! dhulma mbaya mpe ela yake bana! Kwa vile alikusumbua kwa mbio chakani huku na visingizio nanyonyesha, nanyonyesha nini? ulimpiga mtama wewe, mpoze basi hata buku jero! raha yoooote uliyopata? ngoja nami nivute hisia nijaaliwe niote! nikifanikiwa nitawajuza.
 
Mada imewashinda. FF kawashinda kwa hoja. Iliobaki mnaanza matusi, mnajulikana tu watu wenye upeo finyu. Msiharibu mada za watu, mkiendelea tunaowaombea ban, msilalamike.
 
Mada imewashinda. FF kawashinda kwa hoja. Iliobaki mnaanza matusi, mnajulikana tu watu wenye upeo finyu. Msiharibu mada za watu, mkiendelea tunaowaombea ban, msilalamike.
Threats don't work always!!
 
Broda , kuelewa hayo uliyoainisha inataka Hikma, kitu ambacho kwa huyo ****** 'Meti-Onyo', yaani hamna kitu! Anaongea BBC kuwa shida ya umeme Tz inaletwa na ukame, wakati anajua wazi watu wanahongana billions ili kuliua Taifa kupitia bajeti ya Wizara ya Nishati! Anachekelea hata hayo, anashindwa kuamua, wakati anayo full-support ya Bunge lote na Wananchi wote! My Hairs!
this is just ana impact poorly planned programme. tanzania tuna perenial rivers kama kalambo falls na lumakalya yenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya 250 . siasa nchi zinaua . hakuna mkakati wa dhati ispokuwa mkakati wa kisiasa zaidi. dodma jangwa ilikuwaje waweke dam kule badala ya kalambo na lumakaslya?
 
Hairs! this is just ana impact poorly planned programme. tanzania tuna perenial rivers kama kalambo falls na lumakalya yenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawata 250 . siasa nchi zinaua . hakuna mkakati wa dhati ispokuwa mkakati wa kisiasa zaidi. dodma jangwa ilikuwaje waweke dam kule badala ya kalambo na lumakalya.ubaguzi wa maeneo ya kusini na hasa southern ndio uliowapeleka mtera mkitegemea mito kutoka southern highlands upo hapo?
 
Mada imewashinda. FF kawashinda kwa hoja. Iliobaki mnaanza matusi, mnajulikana tu watu wenye upeo finyu. Msiharibu mada za watu, mkiendelea tunaowaombea ban, msilalamike.
yaalah, kuchua, kutumia mate sawa eeh! kazi ya juma kuchuma ya mwajuma kukaa ndani! kaa uwani mpikie rojo bwaana! haya huyawezi! watu wamepinda na wanauchungu humu na kero za magamba, ukishughulikiwa kwenye ndoto si vibaya!
 
HA HA HA HA !!
Nimecheka mpaka basi!
Aku miye simo,
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Miye nimemalizana naye kwenye ndoto!!!!
Ngoja niendelee na U Joni Walker mie
 
FF naona ufahamu wako ni mdogo sana, kama ww ni demu una*****mbaya kiasi huwezi fugika. Hiyo pesa unayolipwa inamwisho wake hata KANU walikuwa nayo, MCP walikuwa nayo lakini leo yako wapi, kwasasa CCM bora ya makaburu walikuwa na dhambi moja tu ya ubaguzi S.A ilijengwa na wao lakini CCM mnaifilisi Tanzania mpaka wanenu sasa wamekuwa mabillionea mda mfupi! Iko siku yatawashinda!!!!!!!!!!
 
Wakuu mimi ni pro-active CCM Member.
I am not apologetic na nakitakia mema chama changu, na ndio maana napenda tujadiliane yale makosa ambayo yanaweza kujadilika na kutolewa maamuzi endelevu.
Hivyo basi bado nina imani ya serikali ya CCM kujiweka sawa kusahihisha yale yote yanayoonekana kukera wananchi katika kipindi hiki cha miaka minne ilyobaki kabla ya 2015.
Tatizo si urais tu bali urais unaofanya kazi yake barabara,na inoyooneka kufanya kazi mbele ya macho ya wananchi.
Wahujumu ni lazima wachukuliwe hatua zinazostahili tena bila ajizi.
 
gwakisa, unaeleza vitu gani?? Hapa magamba wawaombe RADHI Wananchi Kwa usanii wote mnaoufanya, kisha MUONDOKE MADARAKANI Mkavuane magozi sijui magamba mtajijua wenyewe. Sasa INATOSHA INATOSHA! No nosence! hayeni muda utasema!
 
Mkuu kuondoka madarakani si rahisi mradi CCM tupo wengi.
Kuondolewa madarakani is the game, na hilo litawezekana tu pale wanaipinga CCM wakiwa wengi zaidi kuliko wana CCM.
Ndio democracy ya multiparty, na ndio maana namsihi Mh JK ashike usukani barabara ili wanao kiyumbusha chama na serikali yake watoswe baharini abiria wengi wapone.
 
yaalah, kuchua, kutumia mate sawa eeh! kazi ya juma kuchuma ya mwajuma kukaa ndani! kaa uwani mpikie rojo bwaana! haya huyawezi! watu wamepinda na wanauchungu humu na kero za magamba, ukishughulikiwa kwenye ndoto si vibaya!

Tuongee hoja, zinawashinda? mlijidai fujo zenu,mkatulizwa, sasa hivi kimya! na humu mkianza fujo tutawatuliza. Kama mtakuwa na ustaarabu tutajadiliana kama mnaaanza matusi, tunajuwa cha kuwafanya.
 
Tuongee hoja, zinawashinda? mlijidai fujo zenu,mkatulizwa, sasa hivi kimya! na humu mkianza fujo tutawatuliza. Kama mtakuwa na ustaarabu tutajadiliana kama mnaaanza matusi, tunajuwa cha kuwafanya.
Wee mbuguma, mkwala huo liwalo naliwe, liwalo na liwe humu wengine hatuna faida wala hasara! nakushangaa eti hoja una hoja wewe? unachonga, watu tumepigika hadi kuzikana na magunia! watoto wetu wamechakachuliwa sasa wanacheza gololi shuleni! mnawaandaa kuwa mateja kwa madawa ya kulevya! unainua kidole mmeshindwa hoja! Tafadhali usinitie kichefu chefu na glasi yako ya kohozi.
 
Tuongee hoja, zinawashinda? mlijidai fujo zenu,mkatulizwa, sasa hivi kimya! na humu mkianza fujo tutawatuliza. Kama mtakuwa na ustaarabu tutajadiliana kama mnaaanza matusi, tunajuwa cha kuwafanya.
Mamsap weye ni malkia wa mipasho na kujaza server.
Kimsingi katika hoja huna jipya, aidha la kupinga au kusapoti.
Na hapo ndio tunaona hakuna haja ya kubishana na mtu wa propaganda.
Ungekuwa na points za maana na si mipasho ungeweza kuelimisha au kuelimishwa.
Na ndio maana nikaona nijitoe kubishana.
Kama ni kubishana for its sake, tutalala na kula pamoja tu, na hakuna majotro!
 
Back
Top Bottom