Katika hotuba yake ataongelea mambo yafuatayo muhimu kwa Taifa;
1. Inshu ya Jairo na CAG
2.Kupanda kwa gharama za Umeme
3 Posho mpya za Wabunge
4.Mgomo wa Madaktari na maslhi ya Watumishi wote wa umma na Binafsi
5.Mafanikio ya safari yake ya DAVOS
6. Mchakato wa Katiba Mpya
7. Kubadili baraza la mawaziri na Makatibu wakuu
8.Kukua kwa uchumi wa Taifa na kupanda kwa thamani ya Shilingi
Ndugu zangu Watanzania, Hali ilivyo hivi sasa ni mbaya sana sana!! Huyu Rais wetu na mwenyekiti wa chama changu, haoni haya wala aibu!! Alikuwa wapi asiyatekeleze haya? Karibia kila kitu kimekwama, mambo hayaendi and the guy is never be serious anyway!!
Mimi nadhani hakuna kitu kingine zaidi ya wananchi wote kuandamana mpk kieleweke. Nashangaa wananchi kulalamikia huduma usioridhisha maosptalini wakti wa mgomo wa madaktari lakini wale walio wazima wameshindwa kuwaunga madaktari mkono kugoma mpk kieleweke. Mbona sisi Wabunge tumeongezewa posho? Ingawa ****** wetu katusaliti tena? Rise up my people tuikomboe nchi yetu!!!