Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
- Thread starter
- #81
Matatizo ya kutokuwa na accurate information ndio vinavyo propel hii notion ya kwamba Obama na JK wanafanana. Hivi kungekuwa na Primaries Tanzania ambapo wananchi (badala ya NEC) wanapiga kura kumchagua mgombea wa chama..Hivi Kikwete angepata nomination ya CCM? .
Kakaka primary zipo lakini sio ktk chama chenu. CHADEMA walitumia Primaries system mwaka 2005.....Mbowe akaibuka mshindi...ofcourse hakuwa na mpinzani mkali lakini iliwapa wanachama wao nafasi ya kutambua wagombea wao....
Tanzanianjema