JK tazama mwezio huyu

Wakuu hapa tusidanganyane, Rais Kikwete, alinunua media zote na vyombo vyote muhimu vya taifa ikiwa ni pamoja na Usalama wa Taifa chini Mkurugenzi ya mstaafu wa huko, na mwishoni alimnunua mpaka rais Mkapa, aliyetumia madaraka yake kumpitisha kwa nguvu,

Kikwete pia aliwanunua mpaka waalimu wa Mlimani, aliwanunua mpaka baadhi ya wa-Tanzania wenzetu waliokuwepo BBC London, hawa kwa kushirikiana kwa pamoja walituhadaa wananchi wa Tanzania tena bila aibu kuwa wamefanya Polls ambazo zinaonyesha Kikwete tu ndiye anayetakiwa kuwa rais, lakini toka awe rais hatujasikia wakifanya Polls tena kutuambia anything else kuhusu taifa letu, au hata huyo rais alipo na Polls leo.

Kaka u can do better than this mediocrity generalization/conclusions)samahani kwa kutumia maneno mazito).

Kuhus MEDIA unajua wazi kuwa sio JK aliyehusika kwa karibu na hili. Ilikuwa ni shughuli ya LOWASSA na ROSTAM kwa manufaa yao wenyewe. Vilevile sio wote waliokuwa wakimremba JK walinunuliwa. Wapo waliokuwa wakiamini wazi kuwa ndiye anayewafaha na hawakuwa wakifanya waliyoyafanya kutokana na kununuliwa kama unavyodai. Lakini kumbuka JK aliuzika sio kwa uwezo wake lakini kwa kuwa mbadala wa "mwarabu" Salim, "Kikongwe" Malecela "aliyelaaniwa na Mwalimu", "FISADI ama ZERO" Sumaye, "Mlevi na rafiki ya MKAPA" Kigoda na propaganda zengine za kweli na zisizo za kweli....

Kuhusu wasomi na hapa nasema tena kuwa si kweli JK alikuwa na uwezo wa kuwanunua wasomi hasa wale wa MLIMANI. Kama ni suala la REDET mimi nimekuwa karibu na shughuli zao na hata ile opinion poll iliyofanyika kabla ya uchaguzi wa 2005. Si kweli zoezi lile halikufanyika kisomi. Hatua zote za kisomi zilifuiatwa na wala zoezi hii halikumhusisha Prof Mkandala pekee ambaye ndiyo amekuwa kinara wa tuhuma kuwa wasomi walikuwa wanatumiwa na JK. Zoezi la kujua maoni ya watanzania lilifuata hatua zote za kisomi. Tatizo ni ukaribu wa JK na Prof Mkandala (na UKADA wake kama walivyo wasomi wengine) wakati ule na hata hivi sasa ambao ulipelekea kujenga taswira ya kumbeba JK....

Kuna wasomi kama Prof CHACHAGE ambaye alikuwa na mategemeo makubwa na JK. Katu huwezi kuniambia kuwa Prof Chachage niliyemjua mimi naye pia alikuwa amenunuliwa na vijisenti vya JK. Wapo walikuwa wakiamini kwa dhati kuwa JK ni mwakilishi wa wanyonge na angekuwa na uwezo mkubwa wa kushughulikia madhila ya wanyonge wenzake. Wapo waliokuwa wakiamini kuwa JK ni mjamaa asilia ambaye angeweza kuirudisha CCM kutoka katika mikono ya Walalakheri na kuwawezesha walalahoi kurudisha sauti yao katika chama hicho. Prof Chachage alikuwa mmoja wa hawa na katu imani yake kwa JK halikuwa eti kwa kuwa alinuliliwa.....Namtumia Prof Chachage kama mfano wa wasomi ambao walimuunga mkono JK kwa dhati kutokana na imani waliyokuwa naye juu yake na sio eti walinunuliwa......wapo wengi wengine..

Tanzanianjema
 
Big crowd doesn't means that people will cast their vote for you. I think Dems wenyewe wanahofia Bradly effect.
Mimi naofia another watergate scandal kwenye campaign finance. Milion 150,000 a month?
Hey where is the money coming from?

Hivi wewe unafuatilia kweli siasa za huko au unasema tu? Kama hujui hela zinatoka wapi usiropoke ovyo. Every money that people donate to Obama is accounted for as per law and regulations. We unakuja na Third World take on things unajua kila kitu rushwa! Unafikiri hizi ni pesa za Rostam?
Biggest percent of money of Obama is coming from small donors who donate 100 USd or less to the campaign! Hiyo ndiyo democracy, siyo kuwa bankrolled by the govenrment (like McCain and CCM) or by lobbyists (like Republicans)
Ungekuwa makini ungeanza kufuatilia campaign ya Obama since the primary na hiyo million 150 kwa mwezi isingekushtua.
JK hana hadhi hata ya kufuta viatu vya Obama!!! Obama has proved himself time and again that he is ready to lead, hiyo ya midahalo ni mfano mzuri lakini pia katika economic crisis alionyesha umahiri wake, not to mention the way he is handling his campaign, he is hands on, hayumbishwi! Labda candidate aliyefanana na JK in the US ni Barr! Au Ross Perot??? Ha ha haaaa!
 
sasa mkuu utamwta Obama mwenzie na JK?Huoni kama there is a very big difference hapa?Obama and JK wana tofauti kubwa sana ukianzia kwenye thinking capacity yao!JK leo asimamishwe kwenye debate hata na kijana aliyeiva siasa na sheria kwenye mdahalo si ataishia kucheka na kusema usipoliwa huli?
JK is a big time fool!
 
I think we are mixing things bwana JK hana jipya kwa watz tofauti na kwenda marekani kusikiliza miziki ya boyz 2 men.
 
Kweli,inaonekana alikuwa na strategy ya kuingia madarakanbi tu. Alitumia miaka kumi akijiandaa kuingia madarakani.Lakinim inavyoonekana, hakuwa na strategy ta jinsi ya kuongozi akishaingia madarakani
Mimi nadhani sahihi ni kusema Mafisadi (matajiri waovu) walitumia miaka kumi kumuandaa kuingia madarakani. Lengo na nia yao wote tunaifahamu,waje wavune kiasi watakacho huku jamaa anachekelea tuu,si wanamfahamu udhaifu wake!
Angekuwa mwerevu kama anavyodhani yeye mwenyewe, angewageuka hao wachache waliotumia ujanja wao kumuingiza madarakani halafu akawageukia wananchi wampe ulinzi wa nguvu ya umma kwa kuwafanyia japo machache ya yale aliyoahidi na kuwafyekelea mbali mafisadi na angeona Mbeya anapokewa na mashada ya maua na sio mawe.
Kuna waliosema humu kuwa la kuvunda halina ubani,mimi nadhani anao muda wa kujirudishia heshima kwa kuchukua hatua za dhati katika maovu makubwa yaliyo fanywa na wachache kuliko kutuletea hizo bla bla za eti haki za binadamu!!
 
Hivi wewe unafuatilia kweli siasa za huko au unasema tu? Kama hujui hela zinatoka wapi usiropoke ovyo. Every money that people donate to Obama is accounted for as per law and regulations. We unakuja na Third World take on things unajua kila kitu rushwa! Unafikiri hizi ni pesa za Rostam?
Biggest percent of money of Obama is coming from small donors who donate 100 USd or less to the campaign! Hiyo ndiyo democracy, siyo kuwa bankrolled by the govenrment (like McCain and CCM) or by lobbyists (like Republicans)
Ungekuwa makini ungeanza kufuatilia campaign ya Obama since the primary na hiyo million 150 kwa mwezi isingekushtua.
JK hana hadhi hata ya kufuta viatu vya Obama!!! Obama has proved himself time and again that he is ready to lead, hiyo ya midahalo ni mfano mzuri lakini pia katika economic crisis alionyesha umahiri wake, not to mention the way he is handling his campaign, he is hands on, hayumbishwi! Labda candidate aliyefanana na JK in the US ni Barr! Au Ross Perot??? Ha ha haaaa!

Kaka thanks kwa remark zako. Lakini nadhani upo wrong kidogo, kwanza kabisa hebu log kwenye web ya Sen. Obama, kisha tazama houw easy unaweza kuchangia campaign. Kumbuka under the Law huwezi kuchangia campaign kama wewe your not US citizen au perm residence. Sasa basi hakuna njia ya kuvett status za watu kwa kutumia internet. How will the prove kwamba wewe ni Residence au Citizen? Under federal statue unatakiwa uonyeshe all proves kwa mtu atake donate more than $200. Sen. Obama mwenyewe campaign yake ime acknowledge kwamba ni ngumu kuzuia internet fraud.

American politics sio sawa na Tanzania politics. This is the dirty game, and hardball. People can turn anything and held it against you. Tuangalie Oct surprise, again bado watu wanaogopa Bradley effect. When it is quite and no one is in the room will white people cast their vote for a black man? This is million dollar question, neither you no Obama knows.

Again, spend sometime to analyze issue.
 
Kaka u can do better than this mediocrity generalization/conclusions)samahani kwa kutumia maneno mazito).

Kuhus MEDIA unajua wazi kuwa sio JK aliyehusika kwa karibu na hili. Ilikuwa ni shughuli ya LOWASSA na ROSTAM kwa manufaa yao wenyewe. Vilevile sio wote waliokuwa wakimremba JK walinunuliwa. Wapo waliokuwa wakiamini wazi kuwa ndiye anayewafaha na hawakuwa wakifanya waliyoyafanya kutokana na kununuliwa kama unavyodai. Lakini kumbuka JK aliuzika sio kwa uwezo wake lakini kwa kuwa mbadala wa "mwarabu" Salim, "Kikongwe" Malecela "aliyelaaniwa na Mwalimu", "FISADI ama ZERO" Sumaye, "Mlevi na rafiki ya MKAPA" Kigoda na propaganda zengine za kweli na zisizo za kweli....

Kuhusu wasomi na hapa nasema tena kuwa si kweli JK alikuwa na uwezo wa kuwanunua wasomi hasa wale wa MLIMANI. Kama ni suala la REDET mimi nimekuwa karibu na shughuli zao na hata ile opinion poll iliyofanyika kabla ya uchaguzi wa 2005. Si kweli zoezi lile halikufanyika kisomi. Hatua zote za kisomi zilifuiatwa na wala zoezi hii halikumhusisha Prof Mkandala pekee ambaye ndiyo amekuwa kinara wa tuhuma kuwa wasomi walikuwa wanatumiwa na JK. Zoezi la kujua maoni ya watanzania lilifuata hatua zote za kisomi. Tatizo ni ukaribu wa JK na Prof Mkandala (na UKADA wake kama walivyo wasomi wengine) wakati ule na hata hivi sasa ambao ulipelekea kujenga taswira ya kumbeba JK....

Kuna wasomi kama Prof CHACHAGE ambaye alikuwa na mategemeo makubwa na JK. Katu huwezi kuniambia kuwa Prof Chachage niliyemjua mimi naye pia alikuwa amenunuliwa na vijisenti vya JK. Wapo walikuwa wakiamini kwa dhati kuwa JK ni mwakilishi wa wanyonge na angekuwa na uwezo mkubwa wa kushughulikia madhila ya wanyonge wenzake. Wapo waliokuwa wakiamini kuwa JK ni mjamaa asilia ambaye angeweza kuirudisha CCM kutoka katika mikono ya Walalakheri na kuwawezesha walalahoi kurudisha sauti yao katika chama hicho. Prof Chachage alikuwa mmoja wa hawa na katu imani yake kwa JK halikuwa eti kwa kuwa alinuliliwa.....Namtumia Prof Chachage kama mfano wa wasomi ambao walimuunga mkono JK kwa dhati kutokana na imani waliyokuwa naye juu yake na sio eti walinunuliwa......wapo wengi wengine..

Tanzanianjema

Mkuu,

Nadhani wewe ndiye u can do better than your mediocrity generalization/conclusions nikilinganisha uliyoyaongea na aliyoongea FMES.

Inaingia kichwani kwa nani kusema waliotumia Magazeti walikuwa ni kina EL na RA kwa faida yao. Mtu ambaye alikuwa ANATARAJIWA kuchukua madaraka makubwa ya NCHI alikosa UWEZO wa kujua kwamba akina EL na RA walikuwa wanamtumia kupitia magazeti kujinufaisha wakati yeye hanufaiki chochote! Walichokuwa wanafanya EL na RA kwa asilimia 100 kilikuwa na baraka za JK! Basi.

Umetaja kuwa kuna watu walikataliwa kwa Uarabu wao, kwa Ukikongwe wao, kwa Uchapombe wao lakini unasahau kuna watu walitajwa kuwa ni 'wagonjwa' au wewe hukusikia au hukutaka kusikia au unajifanya hukusikia?

Hakuna mahali ambapo FMES amesema watu wote waliomuunga mkono JK walinunuliwa lakini TUNAAMINI watu wengi waliomuunga mkono JK walinunuliwa kwa bei taslimu (unapewa chako mapema) na wapo walionunuliwa kwa mkopo (ahadi za kupewa vyeo) au wewe unadhani fedha za EPA zilifukiwa kaburini?

Kwa taarifa yako SISI tunawajua kwa majina wasomi woote walionunuliwa pale UDSM! Kama wewe huwajui nyamaza kwa sababu wewe sio PRO wao! REDET ninayoijua mimi ni MALI ya Prof Mukandala ukubali usikubali. REDET ni Mukandala na Mukandala ni REDET! Hao wengine unaowasema ni vivuli tu! Ni mambo ya kawaida kabisa pale UD watu kujichukulia taasisi na kuzifanya ni za kwao. Anzia ESAURP ya Profesa Teddy Malyamkono, pitia Kijiji cha Sayansi na Teknolojia cha Profesa Shayo, nenda CEST ya Profesa Mwandosya, usisahau kupitia ESRF ya Profesa Wangwe. Pamoja na kwamba JK alikubalika wakati ule wa utafiti wa REDET lakini kuna 'chumvi' nyingi tu iliwekwa kumuongezea umaarufu. Suala la JK na Mukandala ni zaidi ya UKADA kama unavyotaka kudhihirisha. Hapa tunaonglea suala la USWAHIBA wao! NIPE nikupe. Waambie REDET leo waende wakafanye UTAFITI tena na UONE kama watatuletea matokeo SAHIHI! Hawajipendi? Au wako busy na kufanya tafiti za migomo ya wanafunzi wa vyuo, walimu, madaktari kwa sasa?

Umemtaja Profesa Chachage (RIP) kwamba alikuwa na mategemeo makubwa na JK! Hivi ni kweli kwamba akina Chachage na usomi wao uliotukuka, na tafiti zao zote walizofanya ni kweli kwamba waliamini JK PEKEE (BILA CCM yote) ndio mkombozi wa wanyonge? Unataka kuniambia Chachage naye alikuwa ni miongoni mwa watu waliomwona Salimu ni Mwarabu, Malecela ni Kikongwe, Kigoda ni Chapombe na JK ni Chaguo la Mungu? Binafsi ni mmoja wa watu ambao nilikuwa namheshimu sana Marehemu Chachage, lakini nilikuwa mmoja wa watu walioshitushwa na kitendo cha Profesa kuigeukia CCM! Kumbuka Marehemu alianguka hadi kupelekea kifo chake pale Kibaha akiwa anafanya kazi za CCM! Sipendi kusema mengi lakini inawezekana marehemu naye alikuwa na 'mkataba' fulani na CCM! Tumuache apumzike na amani huko aliko alifanya mengi ya maana kuliko yasiyo na maana.

Sio kina Chachage tu waliobadilika ETI kwa kumuona JK ni chaguo la Wanyonge. Bado tunazo kumbukumbu za kina Salva Rweyemamu, akina Jenerali Ulimwengu, akina Prince Bagenda, akina Gideon Shoo walivyoligeuza Gazeti la Rai na kuwa JUKWAA la kummaliza SAS na kumuinua JK! Katika hawa nadhani wapo walionufaika na wapo ambao hawajanufaika hadi leo! Jenerali Ulimwengu aliyekuwa na ushawishi na nguvu kubwa pale habari cooperation ALIKUBALI vipi kuuza 'utu' wa gazeti la RAI? Je na yeye 'alikopwa' na hajalipwa kama alivyolipwa Salva? Au majibu ya swali hilo ndio kuanzishwa RAIA MWEMA! Ni kweli kwamba Habari Cooperation ilikaribia kufilisika ndio ikaamua kutafuta 'mwekezaji' mpya RA? Jenerali alivyo mzoefu wa duru za siasa za Bongo, aliona ni sahihi kabisa kumuuzia RA kampuni yao? Nawasilisha.
 
Baadhi yetu tunavyoandika humu ni kama vile tuliemtaka awe Rais badala ya huyu JK tulienaye hakuwa na kwa sababu hiyo tu JK anaonekana hafai kwelikweli! Hebu tujiulize swali dogo tu:
Katika wale alooshindana nao 2005, ni nani angefanya kazi nzuri zaidi katika ngazi hii kuliko JK?
 
wakati jk anapigwa mawe na watu waliomchagua, tazameni mwenzie obama leo st louis amabako umati wa watu laki moja walikuwa wanamsikiliza

2i0ejvb.jpg

obamastlouis_q_20081018135311.jpg

gt:

Thanks but no thanks....

That was not a fair comparison btn obama and jk; probably you should have shown us jk nyomi akiwa kwenye campaign (kwani na yeye alijaza watu sana)... I will only compare the photos za obama akiwa three years ndani ya madaraka na jk vilevile;

pamoja na hayo, mimi pia ni mhanga wa wale tuliojidanganya na ushabiki kwa jk... He (jk) is way below par; kama ni maksi za darasani labda angedisco first seating
 
mkuu,

sio kina chachage tu waliobadilika eti kwa kumuona jk ni chaguo la wanyonge. Bado tunazo kumbukumbu za kina salva rweyemamu, akina jenerali ulimwengu, akina prince bagenda, akina gideon shoo walivyoligeuza gazeti la rai na kuwa jukwaa la kummaliza sas na kumuinua jk! Katika hawa nadhani wapo walionufaika na wapo ambao hawajanufaika hadi leo! Jenerali ulimwengu aliyekuwa na ushawishi na nguvu kubwa pale habari cooperation alikubali vipi kuuza 'utu' wa gazeti la rai? Je na yeye 'alikopwa' na hajalipwa kama alivyolipwa salva? Au majibu ya swali hilo ndio kuanzishwa raia mwema! Ni kweli kwamba habari cooperation ilikaribia kufilisika ndio ikaamua kutafuta 'mwekezaji' mpya ra? Jenerali alivyo mzoefu wa duru za siasa za bongo, aliona ni sahihi kabisa kumuuzia ra kampuni yao? Nawasilisha.

mtume!!! Nafwaaa... Ndinalyooo... Mayooo
 
Baadhi yetu tunavyoandika humu ni kama vile tuliemtaka awe Rais badala ya huyu JK tulienaye hakuwa na kwa sababu hiyo tu JK anaonekana hafai kwelikweli! Hebu tujiulize swali dogo tu:
Katika wale alooshindana nao 2005, ni nani angefanya kazi nzuri zaidi katika ngazi hii kuliko JK?

Sina hakika kama hilo ulilouliza ni swali! (Kama ni swali basi ni la kizushi) otherwise uliyoyasema hapo juu ni namna nyingine ya kutuambia katika wagombea wote kuanzia huko CCM na Taifa aliyekuwa 'the best' ni JK! Kazi kweri kweri! Hilo swali lako mtafute Serukamba au Kingunge watakujibu unavyotaka!
 
Katika wale alooshindana nao 2005, ni nani angefanya kazi nzuri zaidi katika ngazi hii kuliko JK?

Kweli unathubutu kuuliza swali hili? Yaani katika wagombea wote wale huoni ambaye angekuwa bora zaidi ya JK? Ama kweli wewe JK alikuungia kisawasawa. Any way ngoja tukusaidie kukujibu. Yeyote katika waliogombea angefaa zaidi kuwa Rais kuliko huyu wa sasa. Yaani hata mama Senkoro angekuwa bora.

Wala msijifariji mliomuunga mkono JK kwamba hapakuwa na alternative. Nyie kubalini tu kwamba JK aliwapagawisha pasipo sababu za msingi. Mabango yake barabarani yaliwatia hamasa mkachanganyikiwa hata kushindwa kufikiri sawasawa!
 
Sawa Mzee. Baadhi tunayaona ambayo JK ameyafanya ambayo pengine mwingine yeyote asingeyafanya. Alikubali EL aondoke madarakani. Hili halikutarajiwa na wengi hasa kwa kuzingatia ukaribu wao. Najua atachukua hatua dhidi ya UFISADI wa BENKI KUU. JK alikuwa bora sio tu 2005 bali hata 1995 na bila shaka 2010.
 
Uncle you must be out of your mind.
Kama huna maslahi basi lazima ndugu yako labda ni waziri wa fedha ama somethin.....Yani huo ubora wa JK unapanda tu ndani ya akili yako.
Ama kweli ndio maana conflicts mara nyingine haziepukiki.....Kwasababu hiyo formula yako ya ku calculate ubora wa JK unaoendelea kupanda kwa kasi,hari na nguvu mpya ya ufisadi hadi 2010 then ndio very wild kinda formula and certainly not a card.

NB:Ni vigezo vipi hivyo ulivyovitumia kufikia hiyo conclusion?
Hicho cha Lowassa kujiuzulu? Uncle acha utani.....Eti alikubali EL aondoke..Wewe Richmond nini? Wewe ungetaka abaki?
 
Semeni basi JK kashindwa lipi kama Rais wetu? Hivi kweli asingeruhusu CAG kufanya uchunguzi wa kina pale BOT sasa hivi hata BALALI angezikwa kwa heshima zote za NCHI hii.
 
Alishindwa kuyazuia mawe kule Mbeya.
Alishindwa kusimamia ushindi wa chama chake huko Tarime.
Ameshindwa kuprovide anything kati ya alivyowaahidi wananchi ikiwemo maisha bora.
Ameshindwa kuwashughulikia mafisadi na sasa hadi vilema ni maadui wake.
Wild Card...Umesema eti unajuwa kuwa atawashughulikia watu wa EPA....Nyie si mlishafanya na maandamano ili kuipongeza ile hotuba yake ya Ki Fidel Castro? Ama unafikiri ilikuwa bahati mbaya?
OK....Weka vigezo vyako vya ubora kabla sijaendelea.
 
Hivi wewe unafuatilia kweli siasa za huko au unasema tu? Kama hujui hela zinatoka wapi usiropoke ovyo. Every money that people donate to Obama is accounted for as per law and regulations. We unakuja na Third World take on things unajua kila kitu rushwa! Unafikiri hizi ni pesa za Rostam?
Biggest percent of money of Obama is coming from small donors who donate 100 USd or less to the campaign! Hiyo ndiyo democracy, siyo kuwa bankrolled by the govenrment (like McCain and CCM) or by lobbyists (like Republicans)
Ungekuwa makini ungeanza kufuatilia campaign ya Obama since the primary na hiyo million 150 kwa mwezi isingekushtua.
JK hana hadhi hata ya kufuta viatu vya Obama!!! Obama has proved himself time and again that he is ready to lead, hiyo ya midahalo ni mfano mzuri lakini pia katika economic crisis alionyesha umahiri wake, not to mention the way he is handling his campaign, he is hands on, hayumbishwi! Labda candidate aliyefanana na JK in the US ni Barr! Au Ross Perot??? Ha ha haaaa!

Ukiwa na mtazamo wa kishabiki huwezi kuwa mchambuzi makini wa mambo kama haya. Huwezi ukaifananisha marekani na Tanzania. Tanzania kwa marekani ni kama Jimbo moja tu la Uchaguzi. Ni sawa na ulinganishe umaarufu wa Kepten Komba kwa JK.

Lakini kwa heshima ya kitaifa ilivyo, leo Obama akiwa rais atakuwa na heshima ile ile aliyonayo JK katika ngazi za kiutawala. Tofauti inayokuja hapa ni adhari ya utawala wa Marikani unaathiri Dunia nzima tofauti na Tanzania utawala wake ukiwa wa hovyo utamuathiri mtanzania mwenyewe.

kujua kuongea sana katika siasa haimaanishi utendaji, kwa kweli Obama ni muongeaji tena kwa mbwembwe taam taam lakini je ana nini kikubwa kinachothibitiasha kweli anaweza kuongoza America?

CHANGE what CHANGE? CHANGE haina tofauti na kusema ARI MPYA NGUVU MPYA NA KASI MPYA. tuombe JF idumu kwa miaka 4 ijayo ya Obama utaona hawa hawa mashabiki ndo watakuwa wapondaji wakubwa wa Obama, maana wengi wetu hapa ndo tulikuwa tunamsifu JK hivi sasa tumemgeuka na kumuona Fisadi.

Ujinga wa wamarikani wanadhani eti Obama akiwa Rais then wanakuwa na peace na Middle east attacks, wamechemka.

Clinton aliremba remba na Terrors wakakikuona cha moto TwinTowers. Magaidi huwa hayana rafiki ati. Hussein Obama atuambie yeye atawawekaje sawa hawa magaidi ili MMarekani aweze kutembea bila ulinzi huko mashariki ya kati.
 
Wandugu !
Nadhani kuna tofauti kati ya Marekani na Tanzania, Marekani kuna system zinazofanya kazi siyo Tanzania. Marekani unaweza kuiweka kwenye-auto drive ikaenda mwendo kidogo siyo Tanzania
 
Mkuu,

Nadhani wewe ndiye u can do better than your mediocrity generalization/conclusions nikilinganisha uliyoyaongea na aliyoongea FMES.

Inaingia kichwani kwa nani kusema waliotumia Magazeti walikuwa ni kina EL na RA kwa faida yao. Mtu ambaye alikuwa ANATARAJIWA kuchukua madaraka makubwa ya NCHI alikosa UWEZO wa kujua kwamba akina EL na RA walikuwa wanamtumia kupitia magazeti kujinufaisha wakati yeye hanufaiki chochote! Walichokuwa wanafanya EL na RA kwa asilimia 100 kilikuwa na baraka za JK! Basi.

Umetaja kuwa kuna watu walikataliwa kwa Uarabu wao, kwa Ukikongwe wao, kwa Uchapombe wao lakini unasahau kuna watu walitajwa kuwa ni 'wagonjwa' au wewe hukusikia au hukutaka kusikia au unajifanya hukusikia?

Hakuna mahali ambapo FMES amesema watu wote waliomuunga mkono JK walinunuliwa lakini TUNAAMINI watu wengi waliomuunga mkono JK walinunuliwa kwa bei taslimu (unapewa chako mapema) na wapo walionunuliwa kwa mkopo (ahadi za kupewa vyeo) au wewe unadhani fedha za EPA zilifukiwa kaburini?

Kwa taarifa yako SISI tunawajua kwa majina wasomi woote walionunuliwa pale UDSM! Kama wewe huwajui nyamaza kwa sababu wewe sio PRO wao! REDET ninayoijua mimi ni MALI ya Prof Mukandala ukubali usikubali. REDET ni Mukandala na Mukandala ni REDET! Hao wengine unaowasema ni vivuli tu! Ni mambo ya kawaida kabisa pale UD watu kujichukulia taasisi na kuzifanya ni za kwao. Anzia ESAURP ya Profesa Teddy Malyamkono, pitia Kijiji cha Sayansi na Teknolojia cha Profesa Shayo, nenda CEST ya Profesa Mwandosya, usisahau kupitia ESRF ya Profesa Wangwe. Pamoja na kwamba JK alikubalika wakati ule wa utafiti wa REDET lakini kuna 'chumvi' nyingi tu iliwekwa kumuongezea umaarufu. Suala la JK na Mukandala ni zaidi ya UKADA kama unavyotaka kudhihirisha. Hapa tunaonglea suala la USWAHIBA wao! NIPE nikupe. Waambie REDET leo waende wakafanye UTAFITI tena na UONE kama watatuletea matokeo SAHIHI! Hawajipendi? Au wako busy na kufanya tafiti za migomo ya wanafunzi wa vyuo, walimu, madaktari kwa sasa?

Umemtaja Profesa Chachage (RIP) kwamba alikuwa na mategemeo makubwa na JK! Hivi ni kweli kwamba akina Chachage na usomi wao uliotukuka, na tafiti zao zote walizofanya ni kweli kwamba waliamini JK PEKEE (BILA CCM yote) ndio mkombozi wa wanyonge? Unataka kuniambia Chachage naye alikuwa ni miongoni mwa watu waliomwona Salimu ni Mwarabu, Malecela ni Kikongwe, Kigoda ni Chapombe na JK ni Chaguo la Mungu? Binafsi ni mmoja wa watu ambao nilikuwa namheshimu sana Marehemu Chachage, lakini nilikuwa mmoja wa watu walioshitushwa na kitendo cha Profesa kuigeukia CCM! Kumbuka Marehemu alianguka hadi kupelekea kifo chake pale Kibaha akiwa anafanya kazi za CCM! Sipendi kusema mengi lakini inawezekana marehemu naye alikuwa na 'mkataba' fulani na CCM! Tumuache apumzike na amani huko aliko alifanya mengi ya maana kuliko yasiyo na maana.

Sio kina Chachage tu waliobadilika ETI kwa kumuona JK ni chaguo la Wanyonge. Bado tunazo kumbukumbu za kina Salva Rweyemamu, akina Jenerali Ulimwengu, akina Prince Bagenda, akina Gideon Shoo walivyoligeuza Gazeti la Rai na kuwa JUKWAA la kummaliza SAS na kumuinua JK! Katika hawa nadhani wapo walionufaika na wapo ambao hawajanufaika hadi leo! Jenerali Ulimwengu aliyekuwa na ushawishi na nguvu kubwa pale habari cooperation ALIKUBALI vipi kuuza 'utu' wa gazeti la RAI? Je na yeye 'alikopwa' na hajalipwa kama alivyolipwa Salva? Au majibu ya swali hilo ndio kuanzishwa RAIA MWEMA! Ni kweli kwamba Habari Cooperation ilikaribia kufilisika ndio ikaamua kutafuta 'mwekezaji' mpya RA? Jenerali alivyo mzoefu wa duru za siasa za Bongo, aliona ni sahihi kabisa kumuuzia RA kampuni yao? Nawasilisha.

And this is LAYMAN's analysis....jitahidi kutafuta ukweli zaidi ya kutegemea hizi onface conclusions...

Tanzanianjema
 
And this is LAYMAN's analysis....jitahidi kutafuta ukweli zaidi ya kutegemea hizi onface conclusions...

Tanzanianjema

Layman conclusions!! So what? Wewe Katibu Muhtasi wa REDET una nini cha maana zaidi ya kutaka KUWABEBA hao Mabosi wako! Ni mizigo ya moto hiyo! Haibebeki wala haishikiki! Waambie waende Mbeya wakafanye UTAFITI yale mawe yalikuwa na kilo ngapi! Naijua REDET vizuri kuliko wewe Kopitaipisti! Nimeishi hiyo mitaa tangu nikiwa darasa la nne na sasa nina 'mimvi' kibao! Nazijua siasa za UDSM kuliko wewe!

Ukitaka kujenga Hoja siku nyingine kusanya nguvu kwanza sio kukurupuka tu na kuwaambiwa wenzako ni mabingwa wa conclusions! Huu ni mjadala. Kinachotakiwa hapa ni Nguvu za Hoja na si Hoja za Nguvu unazotaka kutultea WEWE mtunza bustani wa Mukandala!
 
Back
Top Bottom