JK: Tanzania kujenga reli ya kisasa ya kimataifa

Ubongo wake bado uko kwenye kampeni........liar

Mkweree kwa kutoa ahadi ndio mwenyewe halafu ni msahaulifu sana amekwishasahau kuwa aliwaahidi wadanganyika FLY-OVERS ; sasa anawaambia atawajengea reli ya kisasa yenye treni za kisasa huku watu wanakufa njaa!!
 
Back
Top Bottom