JK: Tanzania kujenga reli ya kisasa ya kimataifa

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Rais kasema reli inayotumika kwa sasa imeppitwa na wakati kwa hiyo serikali inajiandaa kujenga reli mpya na ya kisasa.
Kukamilika kwa reli hiyo kutaifanya bandari ya dare es salaam kutumika vya kutosha alisema.
Ahadi hiyo itatekelezwa kwa kupitia mkopo wa benki ya maendeleo afrika na nchi tajiri zitatoa misaada mbali mbali.
Mradi hadi kukamilika utatumia dola bilion 5.1 za kimarekani.
Source: ippmedia.com

Maumivu ya kichwa huanza taartibu, jamani mwenzetu anaumwa tena anaumwa saaaaaaaaaaaana, ili mradi kikombe cha babu kimeshindwa ndiyo basi tena.

mkuu usiniambie kikombe cha babu kimeshindwa, sasa Tutampa dawa gani tena?

Tatizo ni kuwa viongozi wetu wengi wanaandikiwa hotuba na wakipewa hawazipitii kabla ya kuzisoma live wao moja kwa moja wanasoma. viongozi wetu wavivu mno.

Rais kasema reli inayotumika kwa sasa imeppitwa na wakati kwa hiyo serikali inajiandaa kujenga reli mpya na ya kisasa.
Kukamilika kwa reli hiyo kutaifanya bandari ya dare es salaam kutumika vya kutosha alisema.
Ahadi hiyo itatekelezwa kwa kupitia mkopo wa benki ya maendeleo afrika na nchi tajiri zitatoa misaada mbali mbali.
Mradi hadi kukamilika utatumia dola bilion 5.1 za kimarekani.
Source: ippmedia.com

jamani hiyo modern railway anayoiongelea kikwete ni kama hii hapa chini,je litawezekana hilo? ama ndio wanataka kupeana miradi isiyo isha? yetu macho tumechoka,na train zenyewe ni zipi hizo zitakazo tumika zile za 47?
index.jpg

huyu bwana nadhani akachunguzwe, alihaidi atajenga barabara ya kupita hewani,imeishia wapi?leo amekuja na ndoto za kujenga reli, ahaa hii balaa bora uzaliwe mbwa ulaya si bongo.

Rais kasema reli inayotumika kwa sasa imeppitwa na wakati kwa hiyo serikali inajiandaa kujenga reli mpya na ya kisasa.

Kukamilika kwa reli hiyo kutaifanya bandari ya dare es salaam kutumika vya kutosha alisema.

Ahadi hiyo itatekelezwa kwa kupitia mkopo wa benki ya maendeleo afrika na nchi tajiri zitatoa misaada mbali mbali.

Mradi hadi kukamilika utatumia dola bilion 5.1 za kimarekani.

Source: ippmedia.com

Kwenye kampeni alisema treni za kasi! Mara mgao wa umeme boom hizo tereni utaziendesha vp?

Mhurumieni bure, hapo ndipo kafika kikomo cha uwezo wake wa kufikiri. Ulikodisha reli kwa wahindi matapeli kazi yao ikawa ni kuuza chuma chakavu mpaka shirika limekufa hata kusafirisha abiria ni tataizo leo unaota reli ya kisasa wakati hata hiyo ya zamani umeshindwa kuindesha. Watanzania hawahitaji hiyo reli yako ya kisasa turekebishie hii ya mjerumani aliyotuachia inatutosha pia tujengee barabara ya lami mpaka kigoma na mpanda hapo tutakushuru sana. Hiyo reli ya kisasa iweke kwenye makalabrasha wajukuu na vitukuu wetu wanakuja kujenda baadae.

Rais kasema reli inayotumika kwa sasa imeppitwa na wakati kwa hiyo serikali inajiandaa kujenga reli mpya na ya kisasa.
Kukamilika kwa reli hiyo kutaifanya bandari ya dare es salaam kutumika vya kutosha alisema.
Ahadi hiyo itatekelezwa kwa kupitia mkopo wa benki ya maendeleo afrika na nchi tajiri zitatoa misaada mbali mbali.
Mradi hadi kukamilika utatumia dola bilion 5.1 za kimarekani.
Source: ippmedia.com

nilikuwa namlalamikia wife katia chumvi nyingi kwenye mboga. nikatamani afadhali ningepata japo crap ingefaa.

ahsante mkuu kwa hii crap ya mkuu wa nchi.

naomba kuuliza:

1. ule mradi wa kigoma kuwa dubai ulishakamilika?
2. ile meli ya kisasa ziwa viktoria ilishaanza kutoa huduma?
3. ule mradi wa mabasi yaendayo kasi umeshaanza kazi?
4. lile tatizo sugu la umeme lilishakuwa historia?
5. hii ya reli ya kisasa ipo kwenye ilani ya chama?

"wife naomba vidonge vyangu nimeze kichwa kinaanza kuuma"

Kwanini hamtaki kusikia ahadi za Mkuu wa Nchni?!

Mnadhani haiwezekani?

Hii nayo ilikuwepo kwenye ilani? Au ndo mzee anazidisha ahadi as if bado kampeni? Tupige kazi mzee. Mzee fly overs muzee, nina wasiwasi na hiyo project ya billions of $!!! Mzee timiza hata hivi vidogo. Mwenyewe natamani kujenga mnara kama wa babeli lakini vipaumbele mzee!

inawezekana, si keshaanza na bajaji? Za kubebea wamama wajawaziti.. Bajaji moja dola 6000us dolla

Ebu hacha utani wewe Bajaji $6,000.00? mbona hiyo inanunua gari la mgonjwa! au kwa vile sheria yetu hairuhusu second hand items! Mbona hiyo sheria sasa hapo imeturudi wenyewe.

offcourse bajaji moja wananunua USD 5900. Na watanunua bajaji 400.

huyu bwana nadhani akachunguzwe, alihaidi atajenga barabara ya kupita hewani,imeishia wapi?leo amekuja na ndoto za kujenga reli, ahaa hii balaa bora uzaliwe mbwa ulaya si bongo.

we kamsamba naomba usirudie tena hii kauli yako kabisa katika maisha yako. Sawa?? Unajua maisha ya ulaya yalivyo wewe? Hivi unataarifa kuwa no free lunch in europe? Unajua maana yake? Hivi unajua kuwa watu wanajiua kwa sababu hawana kazi na wanauaga hadi familia zao kwa sababu ya maisha magumu? Na wote hawa wapo ulaya. Usiongee tu kwa sababu fulani kaongea. Sawa?

Back
Top Bottom