!!! JK Tangaza "hali ya hatari" uweze kunusurika !!!

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
JK,

Kama unapita pita hapa jamvini nakushauri hivi:

1... Tangaza HALI YA HATARI haraka sana iwezekanavyo, MAFISADI PAPA wanakaribia kukumaliza!!!!

Kuna mengi yaja na usipokuwa makini utakuwa sikio la kufa!!!
 
Naona mmelewa Mbege mmechanganya na Valeur sasa zimepanda kichwani, msipokuwa makini mtakuwa wehu na hivi madaktari wamegoma sijui mtatibiwa wapi.
 
mkuu ina maana uti wa mgongo wa mgomo huu ni wana CCM uamsho? hebu tujuze tukae mkao wa kula..
 
hehehe napata raha au utamu pikipiki ya tigo imekuja hapa wanatuambia kazeni kwa nguvu makelele watu wengi waje hehehe
 
Naona mmelewa Mbege mmechanganya na Valeur sasa zimepanda kichwani, msipokuwa makini mtakuwa wehu na hivi madaktari wamegoma sijui mtatibiwa wapi.

Endelee kuamini katika vyama vya siasa!
 
Naona mmelewa Mbege mmechanganya na Valeur sasa zimepanda kichwani, msipokuwa makini mtakuwa wehu na hivi madaktari wamegoma sijui mtatibiwa wapi.

wana macho lakini hawaoni,wana masikio lakini hawasikii.

wanafurahia na kupendelea kuambiwa yale yanayoyafurahisha masikio yao.

wana vibaraka wao wanaowafurahisha ili wapate kula yao,tunawajua.
 
Jitahidi kuignore mambo mengi lakini si kila kitu uignore. Sidhani kama kila linalosemwa hapa ni mzaha.
 
JK,

Kama unapita pita hapa jamvini nakushauri hivi:

1... Tangaza HALI YA HATARI haraka sana iwezekanavyo, MAFISADI PAPA wanakaribia kukumaliza!!!!

Kuna mengi yaja na usipokuwa makini utakuwa sikio la kufa!!!

Hujaeleweka vizuri, eleza kwa uwazi ni kwa nini atangaze hali ya hatari? na hao mafisadi papa wanammalizaje?
 
Jitahidi kuignore mambo mengi lakini si kila kitu uignore. Sidhani kama kila linalosemwa hapa ni mzaha.

Lipi lililosemwa hapa ambalo si la mzaha? mtu anakurupuka tu eti JK tangaza hali ya hatari, sijui kama unajua vizuri maana ya hali ya hatari!
 
Mkuu siungi mkono Jk kutangaza hali ya hatari, ila katika haya yanayosemwa humu na si hili tu yale ya kweli ayafanyie kazi kwa faida Taifa.
 
Back
Top Bottom