Jk sidhani kama umeitendea haki wilaya ya Kyela

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Nimepokea kwa mshangao uteuzi wa wilaya tatu, Mkuranga, Rufiji na Kilombero kupewa kipaumbele na serikali ktk kudhalisha mpunga huku Kyela ikitupwa mbali. Sijajua vigezo vilivyotumika lakini kwa kigezo cha ubora, kyela ilipaswa kupewa nafasi.
 
Back
Top Bottom