JK rais mwenye Bahati Duniani

Mleta Thready amekosea ni Vasco da Gama lakini Message Sent!


VASCO DA GAMA sioni kama ni jina lenye kejeri bali sifa kwa wanaomfananisha JK na VASCO DA GAMA. Nani asiyejua mchango wa VASCO DA GAMA tangu enzi zake hadi leo?????

Walioleta utani huu wameingia choo cha kike kama ni wanaume na choo cha kiume kama ni wanawake.
 
Wewe achana na JMK, hajapata urais kwa bahati mbaya au nzuri kama waliotangulia. Huyo ni ambitious toka skuli, alikuwa anasema atakuwa Rais na kaufanyia kazi. Na hakuna Rais mpaka sasa Tanzania mwenye sifa na utendaji kama JMK.
 
kumpa mwanae, Mwanaasha stress kwa mambo yake na kumsabishia kufeli mtihani wa kidato cha NNE
 
Ni lini Watanzania tutathubutu kusema tumeifanyia nini nchi yetu kabla ya kunyosha kidola kwa JK peke yake. Watanzania ndio maana hatuendelei zipo nchi zimeanguka kwa sababu ya kuwa na Rais mzuri lakini wananchi wa hovyo.

Rais na wananchi ni partners katika kuleta maendeleo ya nchi lakini mara nyingi sisi wananchi tunajitoa bila kuweka wazi nafasi yetu katika maendeleo hayo.

Tanzania tofauti na nchi unazofikiri, wananchi ni wazuri lakini rais ni wa hovyoooooo!!!
 
msisahau kuwa huyu ni kinara mkubwa wa mambo ya dini, kabla hajamteua mtu kwenye nafasi yoyote kwanza anaanza kuangalia dini yake pasipo kutafakari utendaji wa huyo mtu na uwezo wake,' baba mwana' bwana!


Mkuu katika matatizo yote ya JK hili ndilo huwa nashindwa kulitetea!!Samahani hebu naomba uweke mifano hapa ukim-compare na marais wenzake waliowahi itawala Tanzania angalau unifumbue macho na mimi!
 
JK ni miongoni mwa marais wachache wanaotawala bila ya kuwa na presha toka kwa watawaliwa pamoja na hali ngumu wanayo kuwa nayo watawaliwa.Jk amekuwa na bahati zifuatazo:-

1.Amewadanganya watz kwa ahadi kemkem na bado watu wako kimya tu

2.yanatokea majanga ya kizembe kama mabomu gongo la mboto,Jk bado yupo tu magogoni bila presha

3.Rushwa Imetamalaki,Jk yukp salama

4.Mtoto wake anaimiliki tz kwa kofia ya Jk,yeye no digid

5.Madaktari wanagoma,hewala bwana acha wagome

6.Umeme usioaminika jK ana majibu mepesi,yeye sio wingu la mvua

7.... endelea na wewe

Ni bahati iliyoje kuongoza Tanzania,

NATAMANI KUWA jk
Nautatamani sana tu ***** we.
 
Ni lini Watanzania tutathubutu kusema tumeifanyia nini nchi yetu kabla ya kunyosha kidola kwa JK peke yake. Watanzania ndio maana hatuendelei zipo nchi zimeanguka kwa sababu ya kuwa na Rais mzuri lakini wananchi wa hovyo.

Rais na wananchi ni partners katika kuleta maendeleo ya nchi lakini mara nyingi sisi wananchi tunajitoa bila kuweka wazi nafasi yetu katika maendeleo hayo.

Zitaje hizo nchi mkuu, wa-Tz wapate kufunguka macho na masikio!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom