JK Rais asiyejiamini..!!!

Pilato

Member
May 29, 2008
60
1
Mbali na kupiga picha na Mablazamen( Boyz 2 Men)wa marekani ,na ikulu kupambwa na magari ya kifahali BMW, Nimejaribu kufuatilia mara nyingi,Huyu Rais wetu mh JK.kikwete katika ziara zake nje ya nchi anapokuwa anakutana na Marais ama viongozi mbali mbali ,mara nyingi huwa anakuwa makini katika kuhakikisha,yuko nadhifu zaidi japo amekuwa tayari amependeza kwa suti nadhifu za bei mbaya, mfano kwa mara ya mwisho mh.JK akiwa Doha Uarabuni alikutana na Katibu Mkuu wa UN. (Hon Ban kin moon), na zaidi wakiwa katika kusalimiana mh.JK alikuwa akitumia mkono wake wa kushoto kutelezesha kila mara sehemu ya kifuani akiashiria anaweka sawa sawa suti yake, na alikuwa akirudia kila mara ,na Baada ya kuketi kwenye viti vyao alitupa macho kwenye Miguu yake na kuseti vizuri kiatu chake cha Gharana aina ya (Travolta), na wakati huo mkono wa kushoto ukiwa bado kifuani,na akiongelea kwa mapana
umaskini wa Bara la Africa,hii inaonyesha JK hajiamini japo anakuwa tayari amependeza....!!!!!!!$#******
 
hii inaonyesha JK hajiamini japo anakuwa tayari amependeza....!!!!!!!

- Labda Jeetu Patel, Lukaza, Yona na Mramba wanaweza kutupa analysis saafi sana kuhusu hiki kitendawili mkuu, unless nina-miss maana kujiamini.
 
I think that is not so bad as long as he does not Concentrate on that. Kikwete is confident unless we differ in the definition on kujiamini. and what you have written appears to be too personal and is something that even Bush or Putin or Obama can do. Jamani tunataka Rais wetu aweje?
 
- Labda Jeetu Patel, Lukaza, Yona na Mramba wanaweza kutupa analysis saafi sana kuhusu hiki kitendawili mkuu, unless nina-miss maana kujiamini.

Wakuu,

Mkuu wa nchi ni mtu mwenye kujiamini sana ila tatizo lake ni wakati inapokuja Chama wanatak kitu ,huwa inamuwia vigumu.Nguvu ya vyombo kama NEC na CC ndivyo huwa vinaharibu utendaji wa rais siku zote sababu watu huwa wanatishia kama asivyofuata wanavyotaka basi watamng'oa.

Nahisi tunahitaji mfumo mpya wa jinsi vyama vyetu vinavyoongozwa.Ila Mpaka sasa nina imani kubwa sana na mkulu wa nchi
 
Mkuu wetu anajiamini.walitaka yafanyike mapinduzi ya matokeo ya uchaguzi huko Tarime na akawaambia NO.....aliyeshinda mpeni haki yake bwana.

Anajiamini kwa sababu hata watuhumiwa mapapa wamefikishwa mahakamani na wengine wanafuata.

Tukiangalia kumbukumbu za huko nyuma hakuna kiongozi aliyeamua kuwafikisha mapapa wa ufisadi katika vyombo vya sheria kwani wengi waliokuwa wakikamatwa vilikuwa vidagaa tu.

Amehimili pressure kubwa ndani ya chama chake na anafanya kila jambo kwa uangalifu mkubwa.

Zaidi ya kuwa ni mwana diplomasia kumbukeni pia ni Kanali na huko aliwiva.Kwa kujiamini anajiamini sana....no doubt about it.
 
Kweli anajiamini sana, mpaka Mkapa atamburuza kortini siku si nyingi.....
 
Jakaya hajiamini na hili linadhihilishwa pale anapohutubia au kuelezea jambo; anapenda sana kutumbukiza maneno kwa kiingereza ili watu wajue kuwa nae msomi!!!
 
Jakaya hajiamini na hili linadhihilishwa pale anapohutubia au kuelezea jambo; anapenda sana kutumbukiza maneno kwa kiingereza ili watu wajue kuwa nae msomi!!!

ANOTHER INTERESTING ANALYSIS, in that context watanzania wote HATUJIAMINI.
 
Una point ndugu lakini umelack substance kidogo. Mimi ningesema kama anajiamini EPA, Richmond, import support, Radar, ndege na IPTL yote yangekuwa yameshughulikiwa. Kusingekuwa na kigugumizi cha kushughulikia haya. Lakini hata hivyo hatujui ukweli unaomfanya awe na kigugumizi cha kufanya uamuzi wa kutumia madaraka aliyopewa na katiba ya chama na katiba ya jamhuri kushughulikia mambo haya. Kwa upande mwingine naona hataki kuendeshautawala wa kidikteta ambao pia anaweza kuuendesha kwa mujibu wa katiba yetu, katiba inamruhusu kufanya hivyo.
 
confidence = the feeling that you can do something well [oxford english dictionary]
 
Kweli anajiamini sana, mpaka Mkapa atamburuza kortini siku si nyingi.....

Nitamuona JK anajiamini pale atakapojipeleka yeye mwenyewe mahakamani kuhusu sakata ya EPA. Naamini mnajua nini kilichomo ndani ya EPA.
 
I think that is not so bad as long as he does not Concentrate on that. Kikwete is confident unless we differ in the definition on kujiamini. and what you have written appears to be too personal and is something that even Bush or Putin or Obama can do. Jamani tunataka Rais wetu aweje?

Kuna kitu kinaitwa body languange na ni kigezo kizuri tu cha tabia ya mtu - huonyesha kiwango cha utashi na dhamira. Wakati mwingine hukinzana na maneno au matendo na huweza pia kuonyesha ishara ya woga au kutojiamini.
 
Wakuu,

Mkuu wa nchi ni mtu mwenye kujiamini sana ila tatizo lake ni wakati inapokuja Chama wanatak kitu ,huwa inamuwia vigumu.Nguvu ya vyombo kama NEC na CC ndivyo huwa vinaharibu utendaji wa rais siku zote sababu watu huwa wanatishia kama asivyofuata wanavyotaka basi watamng'oa.Nahisi tunahitaji mfumo mpya wa jinsi vyama vyetu vinavyoongozwa.Ila Mpaka sasa nina imani kubwa sana na mkulu wa nchi

Hivi Katiba ya CCM inampa nguvu gani mwenyekiti wa chama?, Hana veto power?, wataalam hebu nisaidieni kwa hilo maana siasa ya chama ilifundishwa mara ya mwisho Secondary mwaka 1993, na sisi ndiyo tulikuwa wa mwisho kuafanya mtihani wa SIASA mwaka huo kabla kubadilishwa na kuwa CIVICS. Tokea hapo sijawahi gusa katiba ya CCM tena.
 
Kujiamini hujengwa juu ya maarifa/kujua mambo. Hali hiyo humuwezesha mtu kuona fursa na hatari za mazingira/nafasi aliyomo.

Je, kwa maelezo haya, JK anajiamini? Sidhani. Sifa moja tu nampa JK: ni mtoto wa mjini.
 
Ukiangalia body language ya mh. Kikwete na hasa anapokuwa viwanjani ni dhahiri kuwa hajiamini...
 
Nitamuona JK anajiamini pale atakapojipeleka yeye mwenyewe mahakamani kuhusu sakata ya EPA. Naamini mnajua nini kilichomo ndani ya EPA.

You made me laugh!!, ndiyo maana nilitaka aanze na Mkapa kwanza ...

Aha, hahaaaaaaa!!! akifanya hivyo mama yangu, Nyerere atafufuka!!

Waberoya
 
Mkuu wa nchi ni mtu mwenye kujiamini sana ila tatizo lake ni wakati inapokuja Chama wanatak kitu ,huwa inamuwia vigumu.Nguvu ya vyombo kama NEC na CC ndivyo huwa vinaharibu utendaji wa rais siku zote sababu watu huwa wanatishia kama asivyofuata wanavyotaka basi watamng'oa.

Nahisi tunahitaji mfumo mpya wa jinsi vyama vyetu vinavyoongozwa.Ila Mpaka sasa nina imani kubwa sana na mkulu wa nchi

- Mkuu wa nchi anajiamini sana wewe safari za nje Mkapa alikuwa anamsubiri uwanjani wa ndege uliwahi kusikia wapi rais anasubiri waziri? hivi unakumbuka swali la kwanza aliloulizwa kwenye kampeni za urais, aliposema yeye kushinda sio suala la mjadala na la kushindwa halipo kabisa na akashinda anyways!

- Hajiamini ilikuwaje Kigoda chaguop la Mkapa akawekwa pembeni? Tumseme mengine lakini la kujiamini sidhani, unless kuna ushahidi zaidi ya uliotolewa hapa so far! Ndani ya CCM anakuwa makini sana maana anajua one mistake chama kinavunjika, lakini in the end siku zote anataimiza anayotaka, ingawa huenda sio kwa speed tunayoitaka hapa JF.

- Leo Mramba na Yona wamerudi lupango, anatakiwa ajiamini vipi zaidi jamani wakati so far anafanya kweli?

Mnyonge mnyongeni lakini haki tumpe!
 
Back
Top Bottom