JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

WA TZ BITA NI BITA WAKINA MURAAA! TAYARI TUKO HUKU TUNAFANYA PATROO, WALE MADEMU WA MALAWI WAMEKUWA WADOGO BAADA YA SISI KUFIKA HUKU! MUSIJARI KABISAGA! JF NIKO NA MTANDAO HUKU NAWAPATA VIZURI, BAADAENI BANA NGOJA NITAFUTE KADEMU KAMOJA KA MALAWI HAPA NICHAKACHUE! NIMEWAMISI MASHAROBARO WANA SEMA mia
 
Malawi don't depends on Tanzania or Dar for transportation of her exports or Imports. They have been using South route since 60s and for them to declare Lake Nyasa, they have done their homework. America was found through war, so was England, China, and almost 3/4 of all nations had to fight war to gain Independence. Securing Independence is as fierce as sustaining development. If to retain nominal jurisdiction over Lake Nyasa and territories require military intervention - So be it!

I'm in Kyela right now and I see what might also be seen. I pray to God it ends up where it is right now, otherwise God have mercy on poor people on the ground. I do know how many solders does Malawi have, and as I made it clear right from my previous post that I do know who is behind Malawi's daring statement of war if any. I have being to Dafour, I have being to Kashmir and nothern Uganda, so I have an idea of what war means and where the hand of the western supporters ends. My friend better let it go than go with it. I submit
 
Kati ya vitu ambavyo hata sina ofu navyo ni vita dhidi ya Malawi.
Nina uhakika kama itatokea vita haitodumu hata miezi miwili Wamalawi watasalimu amri au watakuwa wamepoteza robo tatu ya majeshi yao na vibaraka wao.

miezi miwili mbona mingi mkuu
 
I'm in Kyela right now and I see what might also be seen. I pray to God it ends up where it is right now, otherwise God have mercy on poor people on the ground. I do know how many solders does Malawi have, and as I made it clear right from my previous post that I do know who is behind Malawi's daring statement of war if any. I have being to Dafour, I have being to Kashmir and nothern Uganda, so I have an idea of what war means and where the hand of the western supporters ends. My friend better let it go than go with it. I submit
Nyerere said "Dr. Banda was 'insane.' But, he warned, 'Dr. Banda must not be ignored; the powers behind him are not insane.[SUP]'"[/SUP]
 
Nyerere said "Dr. Banda was 'insane.' But, he warned, 'Dr. Banda must not be ignored; the powers behind him are not insane.[SUP]'"[/SUP]
It is clearly known from ancient greece that if you want piece prepare for war. And the grave mistake in any war is to undermine your enemy. By the way, are you aware of what is triggering the war right now? Or you still in the box of Herigoland Treaty? War is not the answer. Imagine Malawi gets mor loss than Tanzania, will they have achieved their objective?
 
Malawi don't depends on Tanzania or Dar for transportation of her exports or Imports. They have been using South route since 60s and for them to declare Lake Nyasa, they have done their homework. America was found through war, so was England, China, and almost 3/4 of all nations had to fight war to gain Independence. Securing Independence is as fierce as sustaining development. If to retain nominal jurisdiction over Lake Nyasa and territories require military intervention - So be it!

Mkandara

Ni dhahiri kwamba watanzania hatuwezi kuruhusu sehemu au kipande chochote cha nchi yetu kichezewe au kichukuliwe na nchi yoyote ya kigeni, hatutakubali!iwe kwa mazungumzo au kwa kuvamiwa. Lakini pamoja na ukweli huo ambao tunataka wenzetu wauelewe, bado hatuwezi kutegemea matumizi ya nguvu kama suluhu ya matatizo. Kwa hili suala sisi tunaheshimu makubaliano ya kimataifa juu ya maziwa na bahari, Malawi bila shaka watakubali wito wa Tanzania kuzungumzia namna tukavyolitumia ziwa Nyasa kwa manufaa ya pande zote mbili. Pamoja na kwamba nasema matumizi ya nguvu si suluhu, sisemi kuwa tusijiandae kijeshi kama wenzetu wanafanya hivyo, lakini iwe kwa ajili ya kujibu uchokozi na kujilinda.
 
Jirani akimega kashamba kako hata hatua moja tu,kesi hadi High court,Malawi wanataka kuchukua ziwa lote lenye Samaki,Mafuta na gesi eti tunasema tuzungumze,tuzungumze nini?hawa ni kichapo tu
 
ndo mwone sasa, kuwa kiongozi wenu alivyo dhaifu, kwa kupigwa mkwara na Mama wa malawi. Yule mama ni strong mara mia ya Jk wenu....haaaa haaaaa. ana msimamo na anaweza akawajambisha msimdharau kwani alidhubutu kumfukuza kazi mkuu wa polisi na jeshi sio wa mchezo ooooh!

Huu mgogoro haujafikia hatua ya mkuu wa nchi kujitokeza hadharani kuuzungumzia au kutangaza vita. Tukitaka kila mgogoro unaohusisha nchi nyingine basi rais atunishe misuli tutagombana na kila nchi. Waziri wa mambo ya nje ameshazungumza msimamo wa Tanzania kwamba Malawi isitishe utafutaji wa mafuta na gesi mpaka hapo kamati inayoshughulikia huu mgogoro utakapo pata muafaka. Sasa pamoja na hayo, mambo yanayohusu kujilinda na kulinda msimamo wa Tanzania uliotangazwa na Waziri wa Mambo ya nje lazima uzingatiwe na vyombo vya ulinzi na usalama kama jamaa zetu wataendeleza ujeuri.
 
Jamani nilichogundua ni kwamba, waTz tunafanya mambo kimya kimya waulizeni watu walioko Kyela watawapa info kuhusu vikosi vyetu. Jana na juzi hapa mbeya yamepita magari ya jeshi kibao sio lazima muambiwe kwamba tayari vikosi viko kule.[/QU Ahsante kwa kuliona hilo,halafu sidhani kama hali ipo serious hivyo shughuli za pale boda zinaendelea kama kawa maroli toka Malawi yapo kibao Mbeya pale Malawi Cargo Centre
 
Wakuu, tusiombe nchi kuingia Vitani. Hiki kipindi ni kigumu mno kwani ukweli hatuna jeshi, bali tuna makambi ya kulelea watoto wa wakubwa. 1978 tulikuwa na wanajeshi. leo tukianza vita, wakati hatuna wanajeshi, hata mabomu yanajilipukia yenyewe, pesa zote ziko kwa mafisadi, tutapigwa, tutatekwa, tutatawaliwa na mwanamke wa malawi, itakuwa aibu mara mbili.
"KAMA NI ZIWA NYASA TU, BORA TUMWACHIE, KWANZA LI NCHI LENYEWE KUBWA MNO, HATA LINATUSHINDA KUTAWALA"

......Ningekuwa na bunduki ningeanza na wewe....
 
Jamani nilichogundua ni kwamba, waTz tunafanya mambo kimya kimya waulizeni watu walioko Kyela watawapa info kuhusu vikosi vyetu. Jana na juzi hapa mbeya yamepita magari ya jeshi kibao sio lazima muambiwe kwamba tayari vikosi viko kule.[/QU Ahsante kwa kuliona hilo,halafu sidhani kama hali ipo serious hivyo shughuli za pale boda zinaendelea kama kawa maroli toka Malawi yapo kibao Mbeya pale Malawi Cargo Centre

Ipyacalypse,
Asante kwa taarifa. Wananchi wa kawaida wa Malawi na Tanzania wanaojitafutia maisha ya kila siku hawana tatizo lolote, wanashirikiana hadi kuoleana, ndiyo maana ni muhimu kama watanzania tukawa waangalifu kwenye jambo hili kwa kuwa watakaoathirika na mgogoro ni wale wasio na habari ya utanzania na umalawi katika maisha yao ya kila siku.
 
Ni wakati muafaka wa kuing'oa CCM madarakani! Vita ya ndani na nje! Natamani huyo Joyce Banda afanye haraka ili vijana tumpe support. Ni bora tupoteze ziwa Nyasa lakini tukaokoa raslimali nyingine zinazoendelea kuangukia mikononi mwa mafisadi wachache!!

mkuu naona hapa hapakufai......magamba na magwanda tunayaweka kando......uzalendo ndiyo uko mbele
 
Mangaline una akili sana. kwa uchumi na uongozi wa sasa uliotekwa na mafisadi ndani ya serikali,jeshi na wengineo tusiombe vita hata ya ndani ya nchi.
 
Last edited by a moderator:
Msiogope,vijana wa kazi tuko tayari hapa mpakani 2nasubiri kujibu chokochoko yoyote endapo tutachokozwa.
 
Jana vifaru vimepita hapa kahama kwny semi trailer vinatoka maeneo ya kigoma na kagera nafikiri vinaenda huko tusubiri.
 
Back
Top Bottom