JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

For those who are proposing war with Malawi should clearly know from the beginning that, in any war there is no winner. Those who go to war both loose and the difference is the level of loss one nation encours. We must do a through analysis as to who is behind Malawi? Can this small land locked country dare initiate war with Tanzania while almost half of her economy is connected with Dar given the transportation of her export and import? We need to do our homework throughly before engaging our brothers and sisters into war. I submit
 
Natamani ingekuwa mi ndo JK,kikosi cha oljoro chote nakipigisha kambi LUDEWA.mama akileta choko Narusha MAGURUNETI
 
hatuwezi kuruhusu sehemu ya Jamhuri yetu ya Tanzania,kutangazwa kuwa ni eneo la nchi nyingine,kisha Jk anachekacheka.
kwa mujibu wa taarifa mbalimbali za habari kutoka Malawi,zinasema kuwa serikali ya Malawi haipo tayari kukubaliana na Tanzania,kuwa sehemu ya ziwa liwe la Tanzania,bali Ziwa lote ni lao,sasa eti Serikali ya Tanzania inataka mazungumzo,huu ni wendawazimu
 
Ni wakati muafaka wa kuing'oa CCM madarakani! Vita ya ndani na nje! Natamani huyo Joyce Banda afanye haraka ili vijana tumpe support. Ni bora tupoteze ziwa Nyasa lakini tukaokoa raslimali nyingine zinazoendelea kuangukia mikononi mwa mafisadi wachache!!

Kama huna hoja ni vyema ukanyamaza kuliko kupayuka ujinga huu: Tanzania kwanza, CCM, CHADEMA baadaye.
 
Mkataba wa 1890 kati ya mjerumani na mwingereza "To the south by the line that starts on the coast of the northern border of Mozambique Province and follows the course of the Rovuma River to the point where the Messinge flows into the Rovuma.

From here the line runs westward on the parallel of latitude to the shore of Lake Nyasa. Turning north, it continues along the eastern, northern, and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the mouth of the Songwe River".

Fine! Lay down the influence of British on Nyasaland.
 
Nakumbuka mwaka 2010 kulitokea vurugu hapa Tunduma zilizohusisha wananchi wa Tanzania na Zambia wanaoishi mpakani, zilizopelekea IGP Mwema kuja tunduma kuangalia jinsi ya kusuruhisha mgogoro..baada ya kusemekana kuwa zambia wameleta wanajeshi upande wao. Tanzania ilileta haraka sana maofisa wa jeshi wasiopungua kumi wakitokea kambi ya Mbalizi wenyewe walisema wamekuja kuangalia usalama wa mpaka maswala ya vurugu hayawahusu, polisi wapo....naamini jeshi letu bado lipo makini sana sitashangaa kusikia badae maofisa usalama wa jeshi waliingia ndani ya malawi na kutoka bila kujulikana. Maana ni raisi sana mtanzania kuingia malawi kuliko mmalawi kuingia tanzania hii ni kwa sababu watanzania wengi sana malawi.
 
mh.NANYARO EPHATA..,umeongea kitu cha msingi sana nimependa ulivyomzalendo ..lakini kuna jambo nazani utakuwa uko wrong kidogo kutokana na uwelewa wangu mdogo nilionao ..sidhani kama ni busara kutangaza vita haraka haraka katika inshu sensitive kama hii mimi nazan yafanyike mazungumzo pande zote mbili ili kusettle hili suala na endapo njia za kidiplomasia zitashindikana ndo njia nyingine zifuate .......suala jingine mpaka malawi kufikia kutangaza ziwa nyasa ni mal yao mimi nazani ni mpango wa muda mrefu hivyo nazani wamejipanga kwa lolote hivyo hatutakiwi kukurupuka tusijeingia mtegoni ...kama tukishagundua lengo lao inabidi tututmie njia za kijajusi kuleleza ili tushinde kirahisi....ni mawazo tu
 
WanaJF

Pamoja na kwamba Rais J.K ameonesha kuwa weak kwenye mambo mengi, lakini hili la mpaka wetu na Malawi ninaamini yuko makini kuliko maelezo. Usishangae vijana wetu tayari wako kwenye uwanja wa mapambano na wengine wanakunywa chai pale Lilongwe na Zomba, hususani kwenye Kamuzu na Cobbe barracks. Tanzania, iko fit kwenye hizi nyanja, acheni kukebehi na kutukana. Kudhihirisha haya niyasemayo, naomba usikilize hoja ya Mhe. Bernard Membe, siku ya Jumatatu au Jumanne (6-7 Agosti 2012). Ninawasilisha
 
mh.NANYARO EPHATA..,umeongea kitu cha msingi sana nimependa ulivyomzalendo ..lakini kuna jambo nazani utakuwa uko wrong kidogo kutokana na uwelewa wangu mdogo nilionao ..sidhani kama ni busara kutangaza vita haraka haraka katika inshu sensitive kama hii mimi nazan yafanyike mazungumzo pande zote mbili ili kusettle hili suala na endapo njia za kidiplomasia zitashindikana ndo njia nyingine zifuate .......suala jingine mpaka malawi kufikia kutangaza ziwa nyasa ni mal yao mimi nazani ni mpango wa muda mrefu hivyo nazani wamejipanga kwa lolote hivyo hatutakiwi kukurupuka tusijeingia mtegoni ...kama tukishagundua lengo lao inabidi tututmie njia za kijajusi kuleleza ili tushinde kirahisi....ni mawazo tu

Mkuu Baro
Hili swala halijaanza leo,na kama umenisoma vizuri nimesema Amiri Jeshi mkuu apeleke vikosi ziwa Nyasa,kwa kufanya hivyo,tutahakikisha ulizni wa wananchi wetu waishio jirani na hili Ziwa,Mgogoro wa Ziwa nyasa umeanza toka enzi za awamu ya kwanza.
kuendelea kukaa kimya kunaadhiri wananchi wetu na kuwapa nguvu wavamizi hawa,
 
yap ni good idea...kaka
 
Wewe mpuuzi kweli, mjinga na si mtanzania. Watu kama nyinyi walikuwepo hata tulipokuwa tunadai uhuru, waliona bora ukoloni uendelee na baadhi ya makabila yalitaka uhuru wao tu(Kaskazini corridor). Mjinga wewe natamani nikung'oe macho. Sasa kama hamna uchungu na nchi mnauchungu na nini. Kama uko radhi nchi yako ichukuliwe, kelele za uchungu wa nchi mnatoa wapi!
 
Hao ndio cdm bwana, wanatamani kumpa support Joyce Banda. Halafu hili jina la Nanyaro si walewale jamaa wa Kaskazini wanaotaka kujitenga! Cdm wanafikiri vita ni kama maandamano yao barabarani.
 
Hao ndio cdm bwana, wanatamani kumpa support Joyce Banda. Halafu hili jina la Nanyaro si walewale jamaa wa Kaskazini wanaotaka kujitenga! Cdm wanafikiri vita ni kama maandamano yao barabarani.

acha kukurupuka,jenga hoja,matusi na kejeli yanakushushia heshima yako.Soma thread kwa makini ndio upost
 
For those who are proposing war with Malawi should clearly know from the beginning that, in any war there is no winner. Those who go to war both loose and the difference is the level of loss one nation encours. We must do a through analysis as to who is behind Malawi? Can this small land locked country dare initiate war with Tanzania while almost half of her economy is connected with Dar given the transportation of her export and import? We need to do our homework throughly before engaging our brothers and sisters into war. I submit
Malawi don't depends on Tanzania or Dar for transportation of her exports or Imports. They have been using South route since 60s and for them to declare Lake Nyasa, they have done their homework. America was found through war, so was England, China, and almost 3/4 of all nations had to fight war to gain Independence. Securing Independence is as fierce as sustaining development. If to retain nominal jurisdiction over Lake Nyasa and territories require military intervention - So be it!
 
Wakuu, tusiombe nchi kuingia Vitani. Hiki kipindi ni kigumu mno kwani ukweli hatuna jeshi, bali tuna makambi ya kulelea watoto wa wakubwa. 1978 tulikuwa na wanajeshi. leo tukianza vita, wakati hatuna wanajeshi, hata mabomu yanajilipukia yenyewe, pesa zote ziko kwa mafisadi, tutapigwa, tutatekwa, tutatawaliwa na mwanamke wa malawi, itakuwa aibu mara mbili.
"KAMA NI ZIWA NYASA TU, BORA TUMWACHIE, KWANZA LI NCHI LENYEWE KUBWA MNO, HATA LINATUSHINDA KUTAWALA"
 
Kati ya vitu ambavyo hata sina ofu navyo ni vita dhidi ya Malawi.
Nina uhakika kama itatokea vita haitodumu hata miezi miwili Wamalawi watasalimu amri au watakuwa wamepoteza robo tatu ya majeshi yao na vibaraka wao.
 
Back
Top Bottom