JK Nyerere Intern. Airport haina choo kwa domestic abiria!!

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
31,244
31,355
Imenishangaza sanaa, yaani kile chumba cha kuchukulia mizigo kwa abiria wa ndani ya TZ pale uwanja wetu wa ndege wa KIMATAIFA HAKUNA CHOO .....!!!!!!!!!!!!!! Yaani ukibanwa na haja pale lazima uvuke sehemu ya kucheck passport kwa abiria watokao nje ya nchi. Kimbembe ni wakati unatoka kujisaidia na huna passport wala document yoyote ya kuwepo eneo lile.........
 
Yani ukitaka kuchanganyikwa mapema na Uongozi wa kitanzania na vituko vyao ndio hayo wana uwezo wa kuwalipa watu wa kipawa ila kutengeneza kachoo kadogo tuu kwao ni taaaaabu kweli kweli tuko kimaslahi zaidi kuliko kuijenga nchi isonge mbele. na kualzimisha kuipanua Air port ya Dar tuuuu je Dodoma mji ambao sooon in 2020 serikali itakayokuwepo iata hamia je.

Could this be the case?
Mbona kitakuwa kituko cha ajabu sana kwa uwanja mkubwa hivi!
Kweli hii inji inaliwa na wenye meno!
 
Siku moja ukisafiri na ndege za ndani ya nchi ulizia pa kujisaidia utaona maajabu yake
 
Inawezekana bado wanatafutwa wahisani/wafadhili wa nje waje kugharimia ujenzi wa choo hicho.
 
ile ni njia panda ya ulaya.........watu wajisaidie kwao wasitegemee vyoo vya eapoti........pale ni kupanda na kushuka tu kujisaidia kwenu..........
Imenishangaza sanaa, yaani kile chumba cha kuchukulia mizigo kwa abiria wa ndani ya TZ pale uwanja wetu wa ndege wa KIMATAIFA HAKUNA CHOO .....!!!!!!!!!!!!!! Yaani ukibanwa na haja pale lazima uvuke sehemu ya kucheck passport kwa abiria watokao nje ya nchi. Kimbembe ni wakati unatoka kujisaidia na huna passport wala document yoyote ya kuwepo eneo lile.........
 
wanasubiri mgawo wa fedha zilizorudishwa za EPA...............nasikia mgawo wao upo......
Inawezekana bado wanatafutwa wahisani/wafadhili wa nje waje kugharimia ujenzi wa choo hicho.
 
Mbona niliona kamoja pembezoni na ile drisha la kukatia ticket za Precision air pale nje
Kile ni cha nje...........Ukiwa ile sehemu ya kusubiri misingo kwa abiria wa ndani ya nchi hakuna choo
 
Mimi siku zote nabishana na wabongo wanaodai kuwa ile ni interanational aiport, Wao wanachoangalia ni eneo ambalo nalo pia ni dogo kwani kwa ndege kubwa njia ya kurukia ni moja.
Hilo pembeni kwenye swala la choo kweli ni aibu tupu. Hata hivyo vya foreiners navyo ni vichafu kupindukia. Mlango wa soft board ambayo imeanza kubanduka. Chini ni matone ya mkojo tu. Haiwezekana choo kisafishwe kila baada ya saa ishirini na nne. Sehemu kama zile inatakiwa kila baada ya dakika kumi mtu anaingia kuafisha siyo usiku hadi usiku,
 
Imenishangaza sanaa, yaani kile chumba cha kuchukulia mizigo kwa abiria wa ndani ya TZ pale uwanja wetu wa ndege wa KIMATAIFA HAKUNA CHOO .....!!!!!!!!!!!!!! Yaani ukibanwa na haja pale lazima uvuke sehemu ya kucheck passport kwa abiria watokao nje ya nchi. Kimbembe ni wakati unatoka kujisaidia na huna passport wala document yoyote ya kuwepo eneo lile.........
acha uongo wewe kijana!
 
kuhusu uwepo wa choo nadhani tatizo lilitokea kabla hata ya kujenga uwanja.kuna kitu kinaitwa concept design wadau ambao ni wizara ya mawasiliano wakati huo walitakiwa kuwasilisha wazo la vitu kama location za vyoo kwa mchoraji wa ramani ya jengo.sasa hii itakula kwetu mpaka terminal mpya ijengwe sijui ndio baada ya three years ? lakini kingine kinachonikera ni yale maduka nje ya jengo pale na zile extension yenye maofisi ya travel agencies ambazo zamani hazikuwepo walahi nikipata uwaziri nitazivunja zote
 
Mimi siku zote nabishana na wabongo wanaodai kuwa ile ni interanational aiport, Wao wanachoangalia ni eneo ambalo nalo pia ni dogo kwani kwa ndege kubwa njia ya kurukia ni moja.
Hilo pembeni kwenye swala la choo kweli ni aibu tupu. Hata hivyo vya foreiners navyo ni vichafu kupindukia. Mlango wa soft board ambayo imeanza kubanduka. Chini ni matone ya mkojo tu. Haiwezekana choo kisafishwe kila baada ya saa ishirini na nne. Sehemu kama zile inatakiwa kila baada ya dakika kumi mtu anaingia kuafisha siyo usiku hadi usiku,

Mkuu,

Umesomea mambo ya UJENZI WA VIWANJA VYA NDEGE?

Tafadhali bwana, heshimu field za watu. Ina maana leo hii kiwanja cha Tabora tukijenga vyaa 20 na viwe vinasafisha kila baada ya mtu kutoka, ndiyo itakuwa Airport Intern.?

Sipo hapa kutetea uchafu na uzembe wa kushindwa kutengeneza zile ngazi za umeme. Uzembe wa kushindwa kuweka AC mle ndani wakati wanakula dola 20$ kwa kila abiria. Ila inabidi tukubali kuwa kile ni kiwanja cha ndege cha kimataifa ambacho wamewekwa washikaji wakisimamie na kinafanya kazi kishkaji.

Hivi yule Mhindi bado tu mwenye maduka yote pale uwanjani DIA?
 
Back
Top Bottom