Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
Avatar bana! Huyo unaemuuliza kama amefikiri ni wa kumuuliza hilo swali? Huyo kumtegemea afikiri ni sawa na kutegemea kupata damu toka kwenye jiwe.Umefikiria kweli?
Avatar bana! Huyo unaemuuliza kama amefikiri ni wa kumuuliza hilo swali? Huyo kumtegemea afikiri ni sawa na kutegemea kupata damu toka kwenye jiwe.Umefikiria kweli?
ff goma limerudi nini,huonekani
Umefikiria kweli?
Kuna cha kuumiza kichwa hapo kufikiria? Sasa huyo Nyerere kashika sururu na jembe na kujitembeza kwa miguu, toka wapi sijui hadi wapi, ndio nini?
Katujazia mawazo duni tu ya kudumaza fikra za watu. Kaachia uRais hata mashamba aliyochukuwa ya wazungu kayauwa yooote. Khaa, mashamba ya ukoloni yalikuwa, wacha matrekta, mpaka viberenge vya kusombea mazao utavikuta mashambani. Mzee huyu, vyote vikafa wakaanza kuuza skrepu za viberenge, reli zake, materekta, magreda, ooh eti tujikomboe kwa kulima kiujamaa, akatengeneza kiwanda cha UFI pale Ubungo akauwa kiwanda cha matrekta cha LONRHO, eti mabepari. Khaa, kwani hao Lonrho walimwacha. Wacha wamsakame mpaka akawalipa, unacheza na Tiny Rowlands?
vitu vya kumchafua haviogopi teheteheteheteeee
Kati ya Nyerere na JK nani anaonekana kujiandaa hapo? Nyerere kavaa suti 'chunlai' tena nyeupe au kijivu lakini huyu wakwenu ameva fulana tena nyeusi yenye ufito mweupe na suruali nyeusi. Nani alijiandaa hapa? Shame on you!!!!!!!!!!!! Alafu nyuma ya jk ni nani huyu manake naona tumbo tu?Hizi comparison zingine mnazofanya hazina mantiki kabisa. Ukiangalia vizuri hizo picha za Nyerere utagundua kwamba hayakuwa matukio ya kufungua shughuli fulani bali ni mtu aliyejiandaa kwenda shamba kulima tofauti na Jakaya ambaye anafungua tu tukio na kuendelea na mambo mengine. Ushabiki kama huu unapoendelezwa na watu mnaojiita griti sinkaz, inashangaza sana kwa kweli.
ushajisugua kisimi?Nipo shosti, hajarudi. Nimeshikwa na mihangaiko ya wageni si unajuwa June, July, watoto wako Holidays na wageni wa nje wengi MashaAllah basi wananiweka bz kidoogo. Gozi linarudi wiki hii inayokuja InshaAllah.
Hii picha inafikirisha. Anayeweza kufikiri, na afikiri.
tunaye huyu mmoja JKNa katika watawala bado kuna masharobaro kama .................!!!!!!!!!!!!!