JK: Ningekuwa na virusi ningefanyaje?

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,581
183
291328035.jpg

Jamani mimi hii picha nimeipenda, alafu huyu mama kanichapa sana fimbo mkononi dah!!!

Gazeti la Mwanchi la Dec 2, 2007 limemkariri Rais Jakaya Kikwete akisema;
"Baada ya kupima na kuingia kwenye banda kusubiri majibu nikawa najiuliza ikionekana nina virusi vya ukimwi itakuwaje?"

Source haki blog
 
Nimnukuu: "Baada ya kupima na kuingia kwenye banda kusubiri majibu nikawa najiuliza ikionekana nina virusi vya ukimwi itakuwaje?"

Natumaini rais wetu ni mwadilifu; angekutwa ameambukizwa basi angetueleza watanzania kuwa "Ninao" na kuwa "Nitaendelea kuishi kwa matumaini" maana hizi ni zama za uwazi na ukweli.

Meanwhile; wale wataalamu wa ushauri nasaha na kupima naamini wangemshauri aache kujuana kimwili na mkewe (endapo mke angeonekana hajaathirika) na huenda wangemshauri kama muungwana aachie madaraka by 2010 ili asijeanguka ghafla kwani madawa ya kuongeza nguvu yana mabalaa yake.

Hongera JK kama kweli majibu yalotolewa yalikuwa sahihi!
 
Mwenyewe najiuliza hayo majibu yangekuwa tofauti jamii ingejulishwa au ndio ingekuwa siri mpaka 2017?
 
Icadon,

Una hakika majibu yalotolewa ndiyo yenyewe hakuna siri?

Tatizo majibu ya HIV kwa Bongo huwa yanapindishwa. Sipendi kuamini kuwa majibu ya muungwana yalikuwa ya 'kukaanga'.

Walahi!
 
We mchokozi sasa Invisible! I think you want to hear something that you are not ready to say. Lakini honestly, kuna minong'ono mingi sana kuhusu JK na ukimwi! But they are all unproven. Lakini the same can be said about other politicians na watu maarufu. Hii ni kutokana na vitando vyao katika jamii. Mi nachoona ni muhimu kwamba mtu asipime publicly 'just because' bali iwe kama kitubio, unadhamiria kutorudia tena vitendo vile unavyojua havifai. Maana kama huna virusi ni kama Mungu anakwambia "Nimekusamehe, nenda na usitende dhambi tena' alafu unarudia kosa hapohapo! Sasa si yote ni bure tu!
 
katika public point of view, screening ni jambo muhimu sana kujua afya ya kila mwananchi ili kuweka mipango madhubuti (treatment au prevention).
hili swala la HIV/AIDS limechukuliwa tofauti kidogo,
kwamba ukipima ukakutwa unao basi umeupata kwenye uzinzi na wewe unaishi kwa matumaini na unasubiri kifo.
Ndiyo maana mkuu wa nchi kasema hana ,

Mimi binafsi nilitegema jibu la namna hii kutoka kwake
 
We mchokozi sasa Invisible! I think you want to hear something that you are not ready to say. Lakini honestly, kuna minong'ono mingi sana kuhusu JK na ukimwi! But they are all unproven. Lakini the same can be said about other politicians na watu maarufu. Hii ni kutokana na vitando vyao katika jamii. Mi nachoona ni muhimu kwamba mtu asipime publicly 'just because' bali iwe kama kitubio, unadhamiria kutorudia tena vitendo vile unavyojua havifai. Maana kama huna virusi ni kama Mungu anakwambia "Nimekusamehe, nenda na usitende dhambi tena' alafu unarudia kosa hapohapo! Sasa si yote ni bure tu!

Mie Mhhhh!
 
how far can we b sure liilosemwa abt matokeo ni kweli??ila hata hiyo 2017 tusingeambiwa ukweli halisi bali siku ikitokea ya kutokea si tutaambiwa ni ugonjwa wa moyo???duh yan kwa sasa ni bora ufe kwa ajali tuu as ukifa hata kwa kipindupindu u might b associated with ngoma
 
Ht akiwa nao haisemwi...anatoa damu...km changa la macho ikifika ndani fasta tiss wanaidaka..mkulu anarudi nayo ikulu ipimwe mutangaze
???
 
Back
Top Bottom