JK ni msikivu sana ila Utekelezaji...

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
8E9U1092+-+Copy.jpg
 
Hasikilizi chochote, alikuwa ana-pose kwa ajili ya picha tu!
 
Hasikilizi chochote, alikuwa ana-pose kwa ajili ya picha tu!

Hata kama ali pose kwa ajiri ya picha tu......kwa wapiga kura mazezeta kama watanzania (walio wengi) tayari ame score credit....tena nyingi tu!!
 
Tunanuliwa kwa mambo madogo madogo kama unga, kipande cha kanga, mlo wa pilau nk. siku hizi hata picha tu zinanunua wapiga kula
 
jamani ata akifanya wema kidogo wa kusikiliza ''vulnerablez' bado hamuoni kama ni kitu? mie nadhani hapo alikuwa anasikiliza hata kama ilikuwa salaaaaam...looh baba wa watu afanyeje muone kafanya??? mbona hamuamuuamini kiasi hicho ? lol
mix with yours
 
Tusipinge as if JK ni kama Idd Amin...kumbuka kwenye utendaji hasa katika nafasi ile si mchezo. Kweli JK na CCM yake hatuwataki..ila sio kwamba tunamchukia JK kama yeye. Ukisema anafanya unafiki hapo, unatuhibitisho gani? Taratibu jamani, huyu jamaa uongozi wake tumeuchoka ila hatujamchoka yy kama Kikwete. Hata hivyo huyu jamaa ana utu kuliko Mkapa au wengi wetu. Believe me!
 
jamani ata akifanya wema kidogo wa kusikiliza ''vulnerablez' bado hamuoni kama ni kitu? mie nadhani hapo alikuwa anasikiliza hata kama ilikuwa salaaaaam...looh baba wa watu afanyeje muone kafanya??? mbona hamuamuuamini kiasi hicho ? lol
mix with yours

Dharau kaanza yeye, kwa kutukana wafanyakazi, na kumwacha Makamba atukane kila mtu na kuita hata wazee wake "Wehu"
 

Zitapigwa na kubandikwa nyingi. Kwenye somo la Siasa ya Masoko na Uvumishaji (Political Marketing and Promotion) hiyo himo na inaitwa Sympathetic Marketing Technique. Huyu Political Branding Manager wa JK anaonekana kuitumia sana kipindi hiki kabla ya Kampeni kuanza rasmi. Nimeona bango jingine liko pale njia panda ya kwenda Kigogo, JK anamsikiliza albino.
 
Ni zama za ushabiki tu.............
ikiwekwa picha ya slaa anajisaidia haja kubwa mtasema anamwaga mbolea ili mimea istawi watanzania wafaidi...si mnampenda!!!!!
sasa huyo bwana hata afanyaje NO ONE VALUE
 
ni zama za ushabiki tu.............
Ikiwekwa picha ya slaa anajisaidia haja kubwa mtasema anamwaga mbolea ili mimea istawi watanzania wafaidi...si mnampenda!!!!!
Sasa huyo bwana hata afanyaje no one value


hata picha yako wewe mwenyewe ukijisaidia ikiwekwa aliyeiweka tutamwona kichaa. Sasa jiulize why no one values except only you??????????????!!!!!!!!!!
 
Hivi kumbe Mwalimu nyerere pamoja na misimamo yake ya kupendaa usawa kijamii na kiuchumii tena kwa vitendo bado hakuwaa na upendo kama wa Jakay Kikwete????????????? kuna namna ya kusaka cheap popularity by any means!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom