JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

kwani kuna ubaya gani kujua nchi yetu inawaumini wangapi wa dini mbali mbali na ambao hawana dini? mi sioni tatizo lolote hapo...
 
Hmhmmhmhmh KIKWETE ANAENDESHWA NA WANAOMUENDESHA NI KANISA SO WAISLAM KM WAILSAM TUNAIGOMEA SENSA YAO NA HIKO KIPENGERE CHA DINI WATABAKI NACHO WENYEWE,YN TOKEA UKOLONI WAISLAM NI WENG LEO HII MTU ATOKE PA KUTOKA ASEME SIE WACHACHE HAINGII AKILINI NA NDIO MAANA ILA BASI NINA HASIRA NA HII NCHI 1 DAY NITAJITOA MUHANGA NIFE NA HAO VIONGOZI WANAFKI,JWZ KWANZA.
 
Serikali inaogopa nini? Anhaa inaogopa mfumokristo! Kama ndivyo basi aongeze magereza kwakuwa yaliyopo hayatatosha. Chukua mfano waislam ni nusu ya Watanzania! Robotatu ya waislam washiriki sensa na robo ambayo ni zaidi ya milioni tano wanagomea sensa! JK atawaweka wapi watu wote hawa? Serikali inakawaida ya kutisha na kutenda,lakini kwa hili mh! Amani mashakani.

samahi mkuu, uko kwenye mfungo??
 
source habari leo na jambo leo

akiwa mjini mbeya rais j. Kikwete kasema kuwa ni marufuku kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;

kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.

Concern

liwalo na liwe

jk anawakumbatia maaskofu yeye hawamtaki.pole sana jk
 
Source Habari Leo na Jambo leo

Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;

Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.

Concern

LIWALO NA LIWE

siku utayobadili dini na kuanza kuingia kanisani ndio utakuwa rafiki wa maaskofu na mapadri wazt. Lkn kwa hivi hiivi tu hata uwaridhishe vipi hao wataunga Mkono chadema tu Kumbuka Jk amewapa mabilion ya shilingi ya makataba wa MOU, hatimae mapadri na maaskofu wanamwita dhaifu, Muuulize Ali hassan Mwinyi. Maaskofu na mapadri watz ni watu wa ajabu. sijawahi kuona watu kama hawa dunia hii
 
Source Habari Leo na Jambo leo

Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;

Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.

Concern

LIWALO NA LIWE

Welcome back Mr. President... I support you on this...
 
Mnafiki tu! Anawalea mwenyewe hao wanaopiga domo la kususia sensa kwa kipengele cha udini halafu anajifanya hayupo nao. Hipocrite!

Mnafiki, Hipocrite......Anawalea blaa blaa blaaaa......hv hamna cha kukomenti hadi mtoe mitusi? Mbona alichozungumza ni kitu very clear? Mbona ameeleweka kwa uzuri tu! Au nawe unatumiwa na kundi lile?
 
Mimi nilikuwa najiuliza kwanini ATAMKE HIVYO AKIWA MBEYA na sio Dar?.

Nikagundua Mbeya ni mkoa unaongoza kwa kuwa na makanisa na madhehebu mengi sana katika Tanzania. au wenzangu mnafikiriaje?
 
Sisi kama Watanzania inabidi tufanye kazi kwa ajili ya hatma ya taifa moja, lenye nguvu na umoja. Hivi ile hali ya zamani imekwenda wapi kwa watu wa dini zote kupendana na kushirikiana?

Mimi kama mtanzania ningependa kama Bwana Juma akitoka msikitini, kama ni usiku na njia ina vibaka, awe huru kugonga hodi kwa Yosefu amsindikize. Na kama Yosefu siku ametoka kanisani na akapata kiu, basi awe huru kuomba maji hata chakula ka bwana juma. Nina wasi wasi shutma nyingi watu wanazotoleana humu si za kweli.

Ifike kipindi tuwe na aibu. Siwezi leo nikamtukana Mkristo au Muislam katika Jamii forum, ati tu kwa sababu identity yangu haijulikani, wakati katika hali halisi, nina marafiki wa imani husika. Hivi unajisikiaje unavyomshutumu mtu wa imani fulani, halafu huko mabara barani unapata huduma kutoka kwake?

Labda niulize tu: Kipimo cha UDINI ni nini? Ni wangapi kati yetu, wanaosema Fulani "Mdini" (iwe Mkristo or Muislamu) wamewahi kubaguliwa kidini na mtu husika? Imefikia wakati sisi watanzania tunapoteza hata uwezo wa kufikiri katika mambo fulani. Kwa nyakati tofauti, kwa mfano, nimesoma Mz Ruksa, na Mh Samwel Sitta, wote wakishutumiwa kua wadini, kisa tu walisema "Kiongozi bora ni Mcha Mungu"! Hivi leo msemo huu wa kiswahili wa kawaida umegeuka kua UDINI?

Ni lazima tutafakari mara mbili kabla ya kutoa kauli zetu. Niliwahi kuandika sehemu, na sasa naandika tena: Iwapo mtu akiteua viongozi, ukaangalia tu ukaona ambao hawafanani na imani yako ni wachache, halafu ukaamua kumshutumu mfanya uteuzi ni mdini au mkabila, basi wewe ndiye una matatizo, kwa kua tunajua wazi kwamba katika teuzi za kitawala, iwe ngazi ya kijiji au hata uwaziri, kwa msemo wa Mwl Nyerere, sio nafasi za matambiko au Ibada... Hivyo basi, suala la wangapi ni kabila gani au wangapi ni dini gani, kama linakukera, basi wewe ndiye unatatizo (haijalishi unaitwa Gabriel au Hussein), na ni lazima ufanye kazi kuliondoa moyoni mwako.
Nina wasi wasi, wengi tunaotoa shutuma za UDINI au UKABILA, sisi ndio tuna matatizo, na si hao tunao watuhumu.
 
Serikali inaogopa nini? Anhaa inaogopa mfumokristo! Kama ndivyo basi aongeze magereza kwakuwa yaliyopo hayatatosha. Chukua mfano waislam ni nusu ya Watanzania! Robotatu ya waislam washiriki sensa na robo ambayo ni zaidi ya milioni tano wanagomea sensa! JK atawaweka wapi watu wote hawa? Serikali inakawaida ya kutisha na kutenda,lakini kwa hili mh! Amani mashakani.
Hamfiki nusu ya watanzania. Mpo 20 percent
 
That must be a gvt stand, idadi ya waumini inasaidia nini zaidi ya chokochoko? waislam madrasa na shule, wakristo kanisa na shule. At the end wasomi wa kiislam wataongezeka, baadae tutabalance, kulalamikia hakutasaidia, ukweli haufutwi kwa malalamiko. Anglican diocese of Dar wanatarajia kutangaza idadi ya waumini wao baada ya kufanya sensa yao, wengine nanyi igeni msilalamike tu. wakati we unalalamika wenzako wanatake action kesho mtalalamika wenzetu wanajua idadi yao. System ya kuanzisha jumuia za nyumba kwa nyumba ni zaidi ya sensa, walianza wakatoliki waanglican wakaichungulia nao wameshaanzisha. Lalama wenzako wanasonga
 
Source Habari Leo na Jambo leo

Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;

Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.

Concern

LIWALO NA LIWE
“Siku ya Agosti 26, iliyopangwa kuanza hiyo inayoitwa sensa, Waislamu tumejipanga kufanya maandamano makubwa ya amani nchi nzima kupinga misingi dhuluma dhidi ya Waislamu…tutatoka nchi nzima ili ulimwengu washuhudie idadi ya Watanzania ambao hawakushiriki kuhesabiwa,” alisema Ponda.

Alisema kumekuwepo na takwimu mbalimbali zinazokinzana kuhusu idadi ya Waislamu na Wakristo, huku akiishutumu serikali kwa kufumbia macho takwimu hizo zikiwemo zilizopo kwenye tovuti ya Kanisa Katoliki, Bodi ya Utalii na Idara ya Uhamiaji.
JK ANATAKA KUFURAHISHA WATU WASIOMTAKA
 
Any way... kikiwemo au kisipokuwemo... mi yote sawa tu... ! What is the problem? Kama kuna mtu anasema kiwemo au kisikuwemo kwa mskumu tu... kwamba ili "imani ya mwenzake iwe chini", then mtu huyo ni mdini.
 
Ukandamizaji haupo, ndiyo maana wapo, wakati wa kanisa hawakuwapo na mnakiri! kwasababu ya mfumo wenu wa kutaka kila kitu na wengine wakose. Unafiki mkubwa!
Ni kweli kabisa hawa kina Sheikh Ponda walikufa naona ghafula wamefufuka wakati wake huu.
 
nawashauri waislamu wote mgomee sensa. Sisi wakristo tutaesabiwa. Hapo ndito mtaamini kuwa sisi tupo wengi maana hata mkigoma watakaoesabiwa watazidi milioni 32.
 
kuchunga mbuzi ni rahisi kuliko kuongoza binadamu,maana binadamu anaridhika akiwa kaburini tu vinginevyo akishiba kero akiwa na njaa matatizo,akipewa mvua anataka jua,mfupi anataka urefu mwembamba anataka unene mweupe anataka weusi,doh!
 
Nauliza swali kwanini watu wanapenda kufanyiwa kila kitu an serikali? Kama mnataka kujua idadi ya waumini wenu si mfanye sensa yenu? Nani kawazuia? Hata Juzi tumeanzisha kadhi nani katuzuia? Acheni kupenda kudandia kila kitu,
 
Back
Top Bottom