JK ndiye aliyeanza na huyu Ngeleja naye kafuata mkumbo kulinda kibarua...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Jk ndiye kiongozi wa kwanza ndani ya CCM aliyedai "Maisha Bora kwa kila Mtanzania" hayawezekani bila ya misaada ya kutoka kwa wafadhili na kuongeza ya kuwa elimu na afya bure ni ndoto za alinacha ikimaanisha ya kuwa CCM haina majibu ya adui zetu wale wakubwa watatu wa maradhi, ujinga na umasikini.

Sasa na Ngeleja ili kulinda kibarua chake hapo kwenye baraza la mawaziri ameanza kuimba wimbo huo huo wa "Maisha bora kwa kila Mtanzania" hayawezekani pale aliposema afya na elimu bure ni ndoto za alinacha. Mheshimiwa huyu amekuwa akiimba ngonjera hizi kwenye kampeni zake huko jimboni kwake.....................
 
Teh..teh....teheeeeeeeeeeeeeee...

WANAREKODI YA DUNIA YA KUSAHAU..... (Ongeza hii kwenye rekodi za mkulu duniani)
 
Jk ndiye kiongozi wa kwanza ndani ya CCM aliyedai "Maisha Bora kwa kila Mtanzania" hayawezekani bila ya misaada ya kutoka kwa wafadhili na kuongeza ya kuwa elimu na afya bure ni ndoto za alinacha ikimaanisha ya kuwa CCM haina majibu ya adui zetu wale wakubwa watatu wa maradhi, ujinga na umasikini.

Sasa na Ngeleja ili kulinda kibarua chake hapo kwenye baraza la mawaziri ameanza kuimba wimbo huo huo wa "Maisha bora kwa kila Mtanzania" hayawezekani pale aliposema afya na elimu bure ni ndoto za alinacha. Mheshimiwa huyu amekuwa akiimba ngonjera hizi kwenye kampeni zake huko jimboni kwake.....................

What is your message here? Sikuelewi may be unajaribu kufanya threads ziwe nyingi cos i'm sure ipo thread inayoongelea usemi wa JK kwamba huduma za jamii bure kwa Tanzania haiwezekani. Sasa hapa wewe unataka kumfanya Ngeleja nae awe topic ya kudiscus hapa JF??
 
its politics, its ccm policy, its for all ccm candidates to say it, so what is the problem if ngeleja has said
 
Back
Top Bottom