Jk ndan ya jiji la arusha mchana kweupee

Lema hawezi hata kumsogelea JK hana cheo chochote Arusha.

Atamsogeleaje mwizi wa pesa za Epa na muanzilishi wa Udini na ukabila Tanzania?Ati tukiwashitaji Mafisadi nchi itayumba hahahaha Rais huyoooo.Tanzania imepata Uhuru mwaka 11964 na umeunganishwa na visiwa vya Pemba na Zimbabwe!!
 
Halafu selaa huyu mdafanga niajeniaje arifu? anataka kuleta zipi tena sistaa? mbona masela wa ngalimii wakiamua wanaweza kwenda mpaka magogoni?

Ogopoa chali angu watu wa R chugga wakichafukwa...huo uzinduzi anaweza ufanya kwa simu arif...
 
halafu kamanda pole kwa kazi.......hatujapongezana ujue.........

Anko hebu fanya fanya sababisha basi tupongezane kwa ushindi.............kusanya vichwa kazaa hivi twende hata Bongonyooo tuangushe ng'ombe............
Tatizo lako upo makini na jimbo lako................hebu mtaimu beki tatu umzingue kana kwamba bado upo jimboni halafu unatimua vumbi destinesheni Bongonyoo!
 
Leteni Mboyoyo tu, next time uzinduzi eza fanywa online kwa Skype.

Ni aibu sana kwenda kwenye mkoa wa Nchi unayoiongoza na kujisifu.

Mkiheshimiwa mjiheshimu muache pang'ang'a, ooh upepo wa siasa unabadilika kila uchao, ohh machaliaraa hawajui soma 26%. Muulizeni alewatuma nini kilimsibu mpaka atumie KilimoAnga tena wakati kiko matengezoni wakati KIA ilikuwepo?


Arusha inawakaribisha wote, ila ukizingua haurudi tena. Batilda alihama kabisa
 
Back
Top Bottom