Thank God....yaani hii post niliitafuta sana.
Huyu bwana Jobo hajui asemalo... I happened to be around siku majaji walipoapishwa na kwa macho yangu walioapa kwa kutumia msahafu walikuwa ni majaji wawili 2 kati ya majaji 11
Sasa shutuma anazotoa huyu bwana kwa JK kama amewateua waislamu wenzake zinatia kinyaa. Tena yule jaji Ibrahim Sayida Mpawa alipewa msahafu kwa ajili ya kiapo akidhaniwa kama ni muislamu lakini kwa mshangao wa wengi akaomba bibilia. Sasa kama ulidhani na Rehema pia ni Muislamu..basi umela wa chuya..yule ni Mmisheni kwisha kazi!
Sasa ndugu yangu ikiwa majaji wawili tu kati ya majaji 11 walioteuliwa ni ishara ya udini basi tuna kazi kubwa kweli huko twandako.... Nyie ndio sampuli ya watu mnaotaka kila idara katika Tanzania yetu awepo John..Jacob..Peter na wenzake..na kina Ali,Omari waishie kwenye upishi na udereva tu.
Lakini dawa yenu ni moja tu ina chemka sasa hivi Baradhuli wewe.
Mtu mzima hatishiwi nyau! Hivi baradhuli ina maana gani? Kama ni tusi likurudie mwenyewe. Tumia nguvu ya hoja badala ya hoja ya nguvu. Kwa hiyo ulipata taabu sana kuona wanaoapa kwa msahafu ni wawili tu! Kama ungekuwa makini na kusoma thread hii vyema ungegundua kuwa hofu yangu ni jinsi hao ndugu zako wanavyotafutwa: Wanachopolewa kutoka kwenye uwakili wa kujitegemea au taasisi zingine. Kwa maoni yangu, na kwa kuwa wengi wao tunawajua, haangalii competence, just faith! Got it?