Jk na woga wa wagombea kutoka bara

Warue

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
424
810
Kwa mara nyingine tena Jk amevunja katiba ya chama kwa kulazimisha maamuzi yasiofuata katiba na demokrasia ndani ya chama. Ikumbukwe kuwa Uozo ndani ya bunge la sasa imetokana na maamuzi ya JK ya kuzuia uhuru wa kugombea nafasi ya spika mwaka 2010 wakati wa uchaguzi wa spika. Sifa ya mgombea mwanamke alileta kwa lengo la kumkwepa Samwel Sita na hivyo tukapata spika mlinda mafisadi na uozo ndani ya serikali.

Safari hii wagombea wa nafasi ya mwenyekiti UVCCM taifa kutoka Bara wamezuiwa kuchukua fomu za kugombea eti nafasi hiyo ni maalum kwa watu wa zanzibar. Ikumbukwe kuwa mwaka 2008 nafasi ya mwenyekiti uvccm taifa ilipelekwa zanzibar kabla ya mshindi wa nafasi hiyo kuvuliwa madaraka baada ya kutofautiana na mtoto wa Rais. Haiingii akilini kama sifa za mgombea inaweza kuangaliwa kwa mahali anakotoka, hii ni kinyume kabisa na katiba ya chama na hata demokrasia ndani ya chama. Kwa mtindo huu, ushindani ni sifuri na hivyo uwezekano wa kumpata mgombea mwenye uwezo no mdogo sana. Wanachama amkeni! chama kinazamishwa kwa maksudi.
 
kama ni kweli kuna mushkeli hata kama CCM ni habari ya zamani sana.Kwani si halali kufanya hivyo na inaleta tafsiri km hizi:
-Vijana wa zanzibar hawawezi shinda wenzao wa bara wakiwepo.

-Ni kinyume cha katiba ya nchi na hata ya CCM wenyewe.

-Inawapa wazanzibar na wabara tafsiri mbaya sana.(suppose mtu akachukulia kuwa si kuwa ilikuwa na na lengo la kupata mzazibar, bali la kuongeza uwezekano wa kupata muislam? ).Responsible leader anahitaji kuondoa mazingira ya doubts.Kama sababu ya kumchagua Makinda, sababu ya kumchagua mwanamke haikuwaingia watu akilini na kuleta tafsiri kuwa walimweka kwa maslahi ya Serikali.

Hii pia inaashiria right away kuwa kuna kutoaminiana katika CCM na inaelekea kuna kambi moja imejiwekeza vizuri,kiasi cha kuwafuta kabisa wapinzani.
 
chama cha wafu, mwenyekiti dhaifu,waziri mkuu asiyejua hata madaraka yake ni yapi,katibu mkuu kilaza
 
To hell the shit CCM, "once they are done to scavange their party, they will turn their back to our wives".
 
Huo ndio utaratibu tuliojiwekea... tulizeni boli!

Huyu mkweree amefanya hicho chama ni chake kana vile alikianzisha yeye,kwani amekifanya kama bustani yake ya kule Msoga; anafanya analotaka na nyie vilaza wa magamba ngojeni hapo 2015 atawaambia mgombea wenu ni ASHA ROSE HAKUNA MTU MWINGINE KUCHUKA FOMU!!
 
inavyo elekea ifikapo 2015 atasema ni zamu ya Rais kutoka Zanzibar baada ya yeye kupata!!!
 
anatimiza malengo yake ya kumweka mgombea muislam kutoka zanzibar sababu kushinda chaguzi ndani ya ccm ni lazima upate sapoti ya uvccm..kamati zao kuu sijui cc nako aliwaweka wazanzibari kibao ambao automatic ni waislam...niite mdini ukitaka lakini mdini ni jk...
 
Kwa mara nyingine tena Jk amevunja katiba ya chama kwa kulazimisha maamuzi yasiofuata katiba na demokrasia ndani ya chama. Ikumbukwe kuwa Uozo ndani ya bunge la sasa imetokana na maamuzi ya JK ya kuzuia uhuru wa kugombea nafasi ya spika mwaka 2010 wakati wa uchaguzi wa spika. Sifa ya mgombea mwanamke alileta kwa lengo la kumkwepa Samwel Sita na hivyo tukapata spika mlinda mafisadi na uozo ndani ya serikali.

Safari hii wagombea wa nafasi ya mwenyekiti UVCCM taifa kutoka Bara wamezuiwa kuchukua fomu za kugombea eti nafasi hiyo ni maalum kwa watu wa zanzibar. Ikumbukwe kuwa mwaka 2008 nafasi ya mwenyekiti uvccm taifa ilipelekwa zanzibar kabla ya mshindi wa nafasi hiyo kuvuliwa madaraka baada ya kutofautiana na mtoto wa Rais. Haiingii akilini kama sifa za mgombea inaweza kuangaliwa kwa mahali anakotoka, hii ni kinyume kabisa na katiba ya chama na hata demokrasia ndani ya chama. Kwa mtindo huu, ushindani ni sifuri na hivyo uwezekano wa kumpata mgombea mwenye uwezo no mdogo sana. Wanachama amkeni! chama kinazamishwa kwa maksudi.

uchaguzi ndani ya CDM lini? nataka kuchukua form za NEC ya CDM
 
Uwe unachuja pumba zako kwanza kabla hujazimwaga hapa.

Umetumwa na Samwel Sitta?
 
Who cares about ccm? to hell!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

unalalamika nini wewe?kwani ccm baba yako au mama yako?yani huwezi kuishi bila ccm?chama lenyewe linakufa wewe unapiga kelele.toka nje uone mwanga wewe.people power
 
Back
Top Bottom