JK na uamuzi wa kwenda MWEZINI

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
Rais wa zamani wa marekani John Kennedy(JK) aliamua kufanya uamuzi mgumu wa kuipeleka nchi yake kwenye anga za juu ikiwemo mwezini. Uamuzi ambao umeelezwa na baadhi ya wachambuzi kuwa kati ya mambo yaliyosabisha wamarekani kumchukia sana lakini sasa hivi wanamuona kama shujaa aliyefanya ndoto kuwa kweli.

Kennedy alidhubutu,lakini wengi hawakumuelewa kwa wakati huo na wakamchukia. Je tuna cha kujifunza kutokana na hilo?Hali kama hiyo ya kutokubali maamuzi na namna viongozi wanavyofanya kazi imejitokeza sana hapa nyumbani Tanzania, cha kujiuliza ni kwamba viongozi wanakosea au watu hawawaelewi?kama ambavyo wamerekani hawakumuelewa JK wao?huenda siku tutakuja kukaa chini na kushukuru Jk wetu kwa safari za mara kwa mara zikileta manufaa kwa taifa, tuvute subira!!.

AA
 
Kuna haja ya wewe kusoma historia na kujua context iliyomfanya John Kennedy kuamua kuwaambia wamerekani kuwa wajifunge mikanda ili kumpeleka binadamu mwezini!! He did this in the cold war era when the Russians had been into space before them!!Kama Rais kijana ilibidi afanye uamuzi wa namna ile kuwadhihilishia wamerekani na ulimwengu kuwa alikuwa jasiri kwani mpaka anachaguliwa kuwa Rais kwa kumshinda Nixon kwa kura chache sana, viongozi wengi including former President Truman walikuwa na wasi wasi na uwezo wake given his age and experience. Sio kweli kuwa wamarekani walimchukia kwa hilo kwani walijua kuwa walikuwa na ushindani na communism. Kama kuna uamuzi ambao Kennedy aliufanya ambao ungemfanya achukiwe na wamarekani ni ile fiasco ya BAY OF PIGS waliposhindwa kumuangusha Castro!! Kumfananisha Kennedy na huyu mkweree wenu does not make sense at all.Safari anazofanya mkweree zinafaida kwake mwenyewe kwenda kuchukua suti na wapambe wake lakini hasara kwa nchi; mabalozi wangeweza kufanya hivyo anavyosema anakwenda kuhimiza at nominal cost ,including inviting people to come and invest here.
 
Naona bado mnatafuta watu wenye akili zao ili mjifananishe nao! Yule wa Marekani anatambulishwa kama JFK.... na wala siyo kama unavyojaribu kuchakachua hapa.
 
Nakumbuka kuna kipindi tulikuwa na askari wa miavuli!!!!!!!!!!!
 
JFK alikuwa anakabiliana na USSR. Je JK ana nani au nini kinacho mfanya aende nje na wenza weeengi?

Chaguwa wa kufananisha na matukio.

TZ hai hitaji kusuwa suwa kufanya maamuzi hadi tuamuliwe na wa majuu. Sisi tutakuwa huru kweli? TAFAKARI.

Askari wa miamvuli wa mwanzo walisomea Israel. Wote wale wa zamani wamestaafu au wamekufa. Ingawaje wapo wa sasa lakini hawavumi sababu jeshi letu hivi sasa ni jeshi la kweli.
 
he he he unachekesha ndugu,JFK na jk huwezi wafananisha hata kidogo...we umeona wapi serikali ina ukata wa hela halafu haijaribu hata kupunguza matumuzi yake?safari za jamaa zipo palepale,hamna effort ya kufufua viwanda yaani mpaka uda wameshindwa kuiendesha,ma vx v8 yanajaa tu mtaani ukiangalia plate number ni stk au su....
 
Dah! na mimi nilikuwa na mawazo kama yako maana hakuna nchi hajakanyaga bado mwezini.

Jamaa hashindwi kabisa,atajitetea ameenda kuangalia ardhi ya mwezini kama inafaa kwaajili ya kilimo aikomboe tz na njaa
 
AA umenizingua na heading yako ulipoanza na JK nikashituka na kudhani ni Jakaya Kikwete!
Huyo unayemzungumzia aliitwa JFK bana sio JK.
 
Kichwa cha habari kimenistua ile mbaya. Nakumbuka ule mchezo wa enzi za utoto ulikuwa unaitwa 'doba ngumi' kweli hapo mleta mada kafanikiwa kunipiga doba...
 
This is rubbish.
Rais wa zamani wa marekani John Kennedy(JK) aliamua kufanya uamuzi mgumu wa kuipeleka nchi yake kwenye anga za juu ikiwemo mwezini. Uamuzi ambao umeelezwa na baadhi ya wachambuzi kuwa kati ya mambo yaliyosabisha wamarekani kumchukia sana lakini sasa hivi wanamuona kama shujaa aliyefanya ndoto kuwa kweli.

Kennedy alidhubutu,lakini wengi hawakumuelewa kwa wakati huo na wakamchukia. Je tuna cha kujifunza kutokana na hilo?Hali kama hiyo ya kutokubali maamuzi na namna viongozi wanavyofanya kazi imejitokeza sana hapa nyumbani Tanzania, cha kujiuliza ni kwamba viongozi wanakosea au watu hawawaelewi?kama ambavyo wamerekani hawakumuelewa JK wao?huenda siku tutakuja kukaa chini na kushukuru Jk wetu kwa safari za mara kwa mara zikileta manufaa kwa taifa, tuvute subira!!.

AA
 
Kuna haja ya wewe kusoma historia na kujua context iliyomfanya John Kennedy kuamua kuwaambia wamerekani kuwa wajifunge mikanda ili kumpeleka binadamu mwezini!! He did this in the cold war era when the Russians had been into space before them!!Kama Rais kijana ilibidi afanye uamuzi wa namna ile kuwadhihilishia wamerekani na ulimwengu kuwa alikuwa jasiri kwani mpaka anachaguliwa kuwa Rais kwa kumshinda Nixon kwa kura chache sana, viongozi wengi including former President Truman walikuwa na wasi wasi na uwezo wake given his age and experience. Sio kweli kuwa wamarekani walimchukia kwa hilo kwani walijua kuwa walikuwa na ushindani na communism. Kama kuna uamuzi ambao Kennedy aliufanya ambao ungemfanya achukiwe na wamarekani ni ile fiasco ya BAY OF PIGS waliposhindwa kumuangusha Castro!! Kumfananisha Kennedy na huyu mkweree wenu does not make sense at all.Safari anazofanya mkweree zinafaida kwake mwenyewe kwenda kuchukua suti na wapambe wake lakini hasara kwa nchi; mabalozi wangeweza kufanya hivyo anavyosema anakwenda kuhimiza at nominal cost ,including inviting people to come and invest here.

JFK alivyotaka Wamarekani waende mwezini alienda nje kuomba misaada?

Kwenye speech yake alisema "I believe that this nation should commit itself to achieving the goal, before this decade is out, of landing a man on te moon and returning him safely on the earth"

Hakuna kuomba msaada hapo, anaongelea Wamarekani wenyewe wafanye mambo yao.
 
Bold determination
 
kama ni yale maswali ya kuoanisha ya primary school huyu jamaa angebugi JFK na JMK wapi na wapi! kwanza 'M' ikiongozana na 'K' kwetu ni matusi makubwa!
 
Mtoa mada unafananisha ardhi na mbingu!
ILa inawezekana mpaka 2014 akawa hana pa kwenda humu duniani so mwezini itakuwa ndo sehemu pekee ambayo atakuwa hajagusa
 
Kuna haja ya wewe kusoma historia na kujua context iliyomfanya John Kennedy kuamua kuwaambia wamerekani kuwa wajifunge mikanda ili kumpeleka binadamu mwezini!! He did this in the cold war era when the Russians had been into space before them!!Kama Rais kijana ilibidi afanye uamuzi wa namna ile kuwadhihilishia wamerekani na ulimwengu kuwa alikuwa jasiri kwani mpaka anachaguliwa kuwa Rais kwa kumshinda Nixon kwa kura chache sana, viongozi wengi including former President Truman walikuwa na wasi wasi na uwezo wake given his age and experience. Sio kweli kuwa wamarekani walimchukia kwa hilo kwani walijua kuwa walikuwa na ushindani na communism. Kama kuna uamuzi ambao Kennedy aliufanya ambao ungemfanya achukiwe na wamarekani ni ile fiasco ya BAY OF PIGS waliposhindwa kumuangusha Castro!! Kumfananisha Kennedy na huyu mkweree wenu does not make sense at all.Safari anazofanya mkweree zinafaida kwake mwenyewe kwenda kuchukua suti na wapambe wake lakini hasara kwa nchi; mabalozi wangeweza kufanya hivyo anavyosema anakwenda kuhimiza at nominal cost ,including inviting people to come and invest here.

beware of ban.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom