JK na Shahada za heshima

Wewe mbona uliishia darasa la saba hatusemi ? Badala ya kuandika 'freedom' unaandika 'fredom' kweli mwalimu wako wa kiingereza ndivyo alikufundisha hivyo ? rudi shule tafadhali elimu ya watu wazima

Mkuu,
Hapo kwenye nyekundu..si tungo sanifu. Je na wewe tuseme umeishia darasa la saba?
 
ukistaajabu ya musa utayaona ya firwauni. Inabidi vyuo vyote vya bongo vimtunuku huyu jamaa PHD anazipenda sana hilo lipo wazi. Kama vipi nawashauri UDSM wampe uprofesa kabisa ili waifunike UDOM
 
Ndugu zangu,
Hili nalo ni mojawapo ya masuala yanayonishangaza katika zama hizi za "maisha bora kwa kila mtanzania". Wakati wa uhai wake Baba wa Taifa Hayati Mwl. J. K Nyerere alitunukiwa mara kadhaa udaktari wa heshima kwenye vyuo mbalimbali vyenye hadhi ya hali ya juu duniani vikiwemo vya Marekani na Canada. Mzee Mkapa nae nakumbuka katika moja ya ziara zake nje ya nchi amewahi kutunukiwa udaktari wa heshima. Katika nyakati zote hizo watanzania hatukusikia Nyerere wala Mpaka wakiitwa kwa jina la DOKTA. Lakini hali imekuwa tofauti kwa Kikwete. Hivi sasa kila mwanasiasa hususani wa chama tawala anapomtaja JK lazima aanze na neno DOKTA. Baadhi ya vyombo vya habari navyo vimekuwa vikiandika DOKTA.

Ninachoomba kuuliza ndugu zangu ni je, kwa nini udaktari wa heshima wa JK umevuma kiasi hicho????? Au udaktari wa heshima una ranking yake kwa maana kwamba aliopewa JK ulikuwa mzito au wa juu zaidi?? Au ni mojawapo ya mbinu za kisiasa za kumpropagate kiongozi???? Tafadhali wajuzi wa mambo mnifahamishe.
 
Alimaliza degree ya economics akaenda kufanya kazi za katibu mwenezi wa chama hamuoni utata hapo?
 
Umevuma sana kwa sababu wchumia juani wameshajua kwamba kikwete anapenda kusifiwa!. kwa wale wa kujipendekeza hawaishi kujikomba kwa kumwita dokta!
 
Misterdennis nakubaliana nawe! Vile vile chochote kile ambacho si stahiri lazima kiwe na mbwembwe kwa maana ya ku-justfy. Kwa JK kuna issue kubwa tu kuhusiana na uwezo wake ktk leadership. Hivyo ndio maana wachumia juani wanafight sana kumelevate anyhow ikiwa ni pamoja na kulobby apewe udaktari wa heshima. Yeah badala ya kuproject uwezo na mafanikio na kwa vile havipo inabidi kupromote title ya udaktari. Kazi kweli kweli!
 
Kwa sababu anataka ajiweke on the same level na Dr. Slaa, but Slaa hakupewa udaktari, he earned it academically; na kwa sababu Slaa ni kiboko cha JK, kwa hiyo yeye pamoja na wapambe wake wanatumia hiyo mbinu ya kumwita dokta, maana hataki aonekane yuko chini ya popular Doc wa Watanzania wazalwndo
 
Ninachoomba kuuliza ndugu zangu ni je, kwa nini udaktari wa heshima wa JK umevuma kiasi hicho????? Au udaktari wa heshima una ranking yake kwa maana kwamba aliopewa JK ulikuwa mzito au wa juu zaidi?? Au ni mojawapo ya mbinu za kisiasa za kumpropagate kiongozi???? Tafadhali wajuzi wa mambo mnifahamishe.

Kwa sababu watu wenye roho korosho na roho mbaya zilizojaa husda, wivu na gere kama wewe na wengine wengi kama wewe walikuwa ima hawapo kwa wingi kama mlivyo sasa AMA walikuwa wamezibwa midomo yao. Wakati wa utawala wa Nyerere wewe na familia yako nzima mngeishia kunyia kwenye kopo.

Hiyo ni heshima aliyopewa na Chuo Kikuu kilichompa hiyo degree ya heshima. Sasa kama wewe inakukera sana basi una options mbili. Moja ni kukaa kimya a.k.a. kufunga domo lako. Option ya pili ni kutafuta kamba na kujinyonga! First option inahitaji uvumilivu na kama ulivyoonyesha kuwa huna uvumilivu basi option ya pili ni best option for you! Make sure unaandika good suicide note ili ufikishe ujumbe kwa watu wengi kisa na sababu kilichokufanya uchague option ya pili. Best wishes!
 
uache jazba wewe huo udokta aliopewa Kikwete amepewa na chuo ambacho hakiko accredited sio... na pia huo udaktari wa Kawawa (post humously) unatoka wapi wakati hakuwa hata na diploma... watu wasio na akili bwana... kabalaghabao
 
Kwa Mwl JK wakati ule watu wamepamba moto kumuita mtukufu, mh, nk alilitolea ufafanuzi hili na hasa baada ya kugundua kuwa watu wengi wanamuita hivyo ima kwa unafiki au kujipendekeza kwake na kuwaambia, asingependa watu wamuite mtukufu kwani mtukufu ni MUNGU, angependelea zaidi aitwe ndugu na asiyeweza/asiyependa kumuita ndugu amuite mwl kwani hiyo ilikuwa taaluma yake kabla ya kuingia kwenye siasa. Hata hivyo kuna msemo wa kiswahili wa debe tupu.............utamalizia!
 
Kwa sababu watu wenye roho korosho na roho mbaya zilizojaa husda, wivu na gere kama wewe na wengine wengi kama wewe walikuwa ima hawapo kwa wingi kama mlivyo sasa AMA walikuwa wamezibwa midomo yao. Wakati wa utawala wa Nyerere wewe na familia yako nzima mngeishia kunyia kwenye kopo.

Hiyo ni heshima aliyopewa na Chuo Kikuu kilichompa hiyo degree ya heshima. Sasa kama wewe inakukera sana basi una options mbili. Moja ni kukaa kimya a.k.a. kufunga domo lako. Option ya pili ni kutafuta kamba na kujinyonga! First option inahitaji uvumilivu na kama ulivyoonyesha kuwa huna uvumilivu basi option ya pili ni best option for you! Make sure unaandika good suicide note ili ufikishe ujumbe kwa watu wengi kisa na sababu kilichokufanya uchague option ya pili. Best wishes!

Pamoja na kukitumia 'lugha ya ******', kama ulivyolelewa, bado hujajibu swali lakini nashukuru watu walioenda shule angalau wamezima kiu yangu. Ukweli ni kuwa kumwita mtu dokta (wa heshima) kwa kasi, ari na nguvu zaidi kuliko dokta wa kweli (academic) kuna sababu kuu mbili. Moja ni ulimbukeni na pili ni propaganda ya kuwaghiribu wananchi wasiojua tofauti ya udokta wa heshima na udokta wa darasani/taaluma.

Ukipata nafasi fika UDOM nawe upewe udokta wa lugha chafu. Wenye vichwa vinavyohitaji marekebisho/ukarabati, kama wewe watakuita Dr. kudadeki ili nawe ukenue meno na kufurahi kama chizi aliyeona jalala.
 
Umevuma sana kwa sababu wchumia juani wameshajua kwamba kikwete anapenda kusifiwa!. kwa wale wa kujipendekeza hawaishi kujikomba kwa kumwita dokta!

You are very right. Hili lilijitokeza pia awamu, kila kiongozi alipopata muda wakuongea lazima angemtaja Rais wa awamu ya nne amesema/ameahidi/ ilimradi tu awasikie. Tangu mwanzoni mwa Nov, tunaona matatwi ya CCM nje ya nchi. Mbona kabla ya hapo hayakujulikana. watu wanajua jamaa njia ya kupalilia ulaji. Shame on them.
 
Pamoja na kukitumia 'lugha ya ******', kama ulivyolelewa, bado hujajibu swali lakini nashukuru watu walioenda shule angalau wamezima kiu yangu. Ukweli ni kuwa kumwita mtu dokta (wa heshima) kwa kasi, ari na nguvu zaidi kuliko dokta wa kweli (academic) kuna sababu kuu mbili. Moja ni ulimbukeni na pili ni propaganda ya kuwaghiribu wananchi wasiojua tofauti ya udokta wa heshima na udokta wa darasani/taaluma.

Ukipata nafasi fika UDOM nawe upewe udokta wa lugha chafu. Wenye vichwa vinavyohitaji marekebisho/ukarabati, kama wewe watakuita Dr. kudadeki ili nawe ukenue meno na kufurahi kama chizi aliyeona jalala.

Duh! Ama kweli nyani haoni kundule!

Sasa wewe "mthomi" embu tueleze udokta wa heshima na udokta wa Ph.D. unatofautishwa vipi wakati wa kumu-address mtu kama Dr. Jakaya Mrisho Kikwete?
 
uache jazba wewe huo udokta aliopewa Kikwete amepewa na chuo ambacho hakiko accredited sio... na pia huo udaktari wa Kawawa (post humously) unatoka wapi wakati hakuwa hata na diploma... watu wasio na akili bwana... kabalaghabao

Unaweza ukakitaja hicho chuo unachodai kuwa hakiko accredited badala ya kubwabwaja kama kasuku aliyetafuna pilipili hoho?
 
Back
Top Bottom