JK na Shahada za heshima

Leo, katika mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha Dodoma, hayati Kawawa pamoja na Kikwete wametunukiwa degree ya udaktari wa heshima.

Source. Live kutoka Chimwaga.
 
Hayati RM Kawawa, nadhani alisahaulika sana lakini ni mmoja wa wazalendo wenye kustahiki heshima hiyo, kwa maoni yangu mimi.
 
Nadhani,

sasa vyombo vya habari, especially ITV, TBC1 an StarTV watakuwa wanamwita

Dokta. Dokta. Jakaya Mrisho Kikwete!
 
jaman hv hz degree tunapeana 2!kama pipi au ndo uchakachuaji wa elimu.Ila tusaidiane kidogo kaka mkubwa kafanya nn cha mno kwenye elimu?shule za kata mmh hamna vitabu, walimu wakutosha maabara na vingine kifupi tabu tupu!
 
jaman hv hz degree tunapeana 2!kama pipi au ndo uchakachuaji wa elimu.Ila tusaidiane kidogo kaka mkubwa afanya nn cha mno kwenye elimu?shule za kata mmh hana vitabu walimu wakutosha maabara na vingine kifupi tabu tupu!

Huoni alichofanya?? fungua macho basi.

Acha mawazo-kokoto.
 
jaman hv hz degree tunapeana 2!kama pipi au ndo uchakachuaji wa elimu.Ila tusaidiane kidogo kaka mkubwa kafanya nn cha mno kwenye elimu?shule za kata mmh hamna vitabu, walimu wakutosha maabara na vingine kifupi tabu tupu!

Soma wasifu wa uongozi wake na mambo aliyoyafanya ndiyo wamempa kwa ajili hiyo. Hawa ni wana taaluma hawakumpa ovyo ovyo tu mkuu
 
acheni ushamba, huo ni udaktari wa heshima na anayo haki kwa juhudi zake, mwalimu Julius Nyerere alipewa udaktari wa heshima mara 16! Ndiyo mshangae Kikwete! idiot
 
Yaani, no one is in control, degree za bure zinagawiwa kama njugu, this is ridiculous, laughable, yaani mkuu wa chuo anaamua usiku akiwa na mke wake, kesho anatoa honorary degree, madudu meeengi.........!!!!!!!!!
 
For me i dont care hata akipewa degree mara 100, kwanza wanaopatia wanalipa fadhili kwasababu kama kuna mtu wangemfikiria kama wanataalum degree hiyo ya heshima ni mzee mkapa. Ila kwakuwa mzee mkapa hana mda na cheap popularity ya kijinga haruhusu ujinga huo na hata akipewa huwezi kusikia eti dokta dokta dokta kama mkwere anavyolazimishwa aitwe dokta .... baba wa Taifa hizo degree anazo kibao lakini hadi leo aliomba atambulike kama Mwl. Julius Kambarage Nyerere---Sasa huyu mkwere sifa za kijinga ndio zinamponza eti dokta dokta kwenda huko na udokta wa kununua--anadhani atarudisha credibility ya umma kwa kuitwa dokta kweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeenda huko
 
Soma wasifu wa uongozi wake na mambo aliyoyafanya ndiyo wamempa kwa ajili hiyo. Hawa ni wana taaluma hawakumpa ovyo ovyo tu mkuu

hakuna cha kushangaza hata makaburi yanapakwa rangi na kupandwa maua pamoja na kuwa ndani imehifadhiwa mifupa ya mfu. Kwa upande wa simba wa vita ni kweli anastahili tuzo hiyo.
 
UDOM ? Hawa ndio wale waliomchangia millioni moja ya kuchukua fomu? wampe na mama kwa mchango wake mkubwa alioufanya kwa kutumia asilimali za Taifa kuchangia ushindi wa Muzee. Then tutamu address kama Mheshimiwa mama mkubwa DR. SALMA KIKWETE. Itapendeza sana. Tehe tehe tehe.
 
Leo, katika mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha Dodoma, hayati Kawawa pamoja na Kikwete wametunukiwa degree ya udaktari wa heshima.

Source. Live kutoka Chimwaga.
Videgree vya kishenzi. Unampa mtu kama Kikwete degree ya heshima kwa sababu ipi? Unawezaje kusubiri mpaka mtu amekufa eti ndio unamtunuku degree ya heshima? upuuzi tu. kwa hiyo kwa suala la Kawawa tunafuta jina la marehemu/hayati na tunaweka Dr badala yake? upuuzi mtupu.
 
upuuzi mtupu!
payGod hebu tuhabarishe wamesema heshima ya nini?
Mi nadhani alistahili PhD ya siasa za mabavu na wizi!
Shame to all who initiated and supported the move. Sasa si waiite JK university! :angry:
 
crap..UDOM wanatoa honorary doctorate wakati hata hawana PhD graduands!!!!????!???!! sijawahi kuona wala kusikia hii!!!

kweli TZ ni nouma....
 
UDOM si ndio kile chuo kinazalisha mbumbumbu! Kama mwanao anasoma hapo wala usiwaambia watu, waambie tuu yupo Mazengo Secondary, ataheshimika zaidi.
 
Kama mnadoubt plz muulizeni prof. Nkunya kuhusu degree mills! Vinginevyo mwacheni mwenzenu a-enjoy lol!
 
Hii mantiki ya kumtunuku mtu akishakuwa marehemu imekaaje??

Kama ni kweli wanatambua mchango wa kawawa basi waite chuo kiwe Kawawa university au walipe jengo moja kati ya hayo maarufu yaliyopo jina la kawawa. Hii itasaidia kuliweka jina la kawawa hai hata baada ya miaka 20 ijayo.
 
Back
Top Bottom