Haya mambo yanayotokea,kumstopisha magufuli,kuwazodoa mawaziri hazarani wakati JK akitembelea wizara.,migogoro ndani ya jumuiya za CCM,JE NI DALILI YA SERIKALI KUPANIC? Naona kama serikali inajaribu kutafuta public sympathy kwa kujaribu hiki na kile...yaani inatafuta wapi pa kuwagusa wananchi..just a thought.