jk na mizengo pinda mmetuulia dar es salaam

kikoti007

Member
Aug 27, 2012
24
1
jk na mh.pinda turudushieni mamlaka ya dar es salaam kwa meya moja tu awe na sauti na mji wake huu uozo mlotuwekea kuwa namameya wengi hauna na hautakuwa na tiba kwa jiji hili hii ni njia kuongeza matatizo tunayoyaona sassa mji moja mameya sita kuna mkuu wa mkoa mkurugenzi nae ana sauti waziri wa tamisemi nae ana sauti kwa mji moja tu pls jamaa vitu vingine hamuhitaji muwe ma rocket scientist i hate this administration
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom