Mara ya mwisho kama sikosei ilikuwa 2006 au 2007 wakati alipokuja kuzindua Chuo cha Injinia na Technolojia cha Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (CoET). Nakumbuka kindipi hicho JK alikuwa bado kwenye fomu. Yani wanafunzi walikuwa wamejipanga kuanzia geti maji hadi ndani ya kiwanja kidogo cha CoET ambapo uzinduzi wa Chuo kishiriki ulikuwa unafanyika. Kila alipopita umati wa wanafunzi walikuwa wanamshangilia na kuimba JK, JK, JK, JK. Nakumbuka sana siku ile. Leo hii kama amefika na kuzomewa inabidi atafakari sana, Je akistaafu atafanywaje??.
Sura za wakuu zinatia huruma! Nje wanafunzi wanaimba balaa! Full kelele nje, wanazomea! Kikwete katajwa ndani wanafunzi nje, boooooo! Dah
Kaaaaaaaa, hawa watoto wetu jamani hawana adabu sana........mtu mzima mbele ya wageni haaibishwi lol
Wanamzomea wazi hadi inasikika kwenye ka TV kangu ka zamani ka ku-tune kama radio za mkulima....duh
sasa nimerudi rasmi baby. nilipita kwa sababu sikuelewa somo.
tupe habar ila angalia wasikudabue.
Tumempa live...tumechoka na utawala wake.....Yaani miaka 50 ya chuo lakina bado tu kuna vitanda wanalala watu wawili...... Huu na upuuzi, Hatuwezi kumvumilia.... Anaharibu Sifa ya Chuo.Kuna sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya chuo kikuu cha dsm ambapo itv wapo live,wageni wa adabu ni jk na mseveni,tumeona walau kwa muda wanafunzi ambao wapo nje wakiimba nyimbo za kumsifu kambarage na kulaani mafisadi.wakiwa na mabango!mliopo eneo la tukio mtujuze kinachojiri.
Nawasilisha.
nasikia kwenye redio kama amezomewa!!!! ni pale aliposema kuwa anaipongeza serikali yake na chuo kwa mafanikio.....am i wrong dudes?
Lowassa naye pia si ndo product ya huko pia.
Kama kuna m2 angewezakupima presha na joto la mkandala wakati anaanza kuongea cjui ingekuwaje? Leo nimeshuhudia JK akijishangilia mwenyewe
You get what you choose........ndivyo maisha yalivyo
Hivi mara ya mwisho kwa JK kwenda UDSM ilikuwa mwaka gani vile? Alishakuwa president?
Mara ya mwisho kama sikosei ilikuwa 2006 au 2007 wakati alipokuja kuzindua Chuo cha Injinia na Technolojia cha Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (CoET). Nakumbuka kindipi hicho JK alikuwa bado kwenye fomu. Yani wanafunzi walikuwa wamejipanga kuanzia geti maji hadi ndani ya kiwanja kidogo cha CoET ambapo uzinduzi wa Chuo kishiriki ulikuwa unafanyika. Kila alipopita umati wa wanafunzi walikuwa wanamshangilia na kuimba JK, JK, JK, JK. Nakumbuka sana siku ile. Leo hii kama amefika na kuzomewa inabidi atafakari sana, Je akistaafu atafanywaje??.
Kama kweli upo hapo umemwona, je amevaa suti aliyohongwa na Mwarabu?