JK na Malasusa wapelekewa malalamiko kuhusu askofu mdegela

inaelekea imani yako na uwezo wa kulikabili jambo unahitilafu. kama nia yako ni kutengeneza kwanini usipeleke jambo moja kwa moja kwa wanaohusika? kuliweka kwenye forum jambo kama hili sioni kama ni ustaarabu wa karne hii hata kama shutuma ni za kweli. wewe mwenyewe usiseme uchafu wako useme wa wengine? wanaume wote wahuni tu. unawajua vzr hao uliowa elekezea malalamiko?

ha ha aha! sasa mapovu ya nini? una uhakika kuwa aliyeleta hii thread ndiye aliyeandika hiyo barua? Kwani kuna tatizo gani watu wakijua maovu machache kati ya mengi yanayotendeka makasani?
 
sasa jamani, JK ni muislam, kesi za kanisa zinaenda kufanya nini? Hawa wanahitaji kusoma Biblia yao vema. Pia muhabarishaji, sidhani kama ni hekima kuweka habari kama hii hapa. It does more harm than help...my thoughts!
 
inaelekea imani yako na uwezo wa kulikabili jambo unahitilafu. Kama nia yako ni kutengeneza kwanini usipeleke jambo moja kwa moja kwa wanaohusika? Kuliweka kwenye forum jambo kama hili sioni kama ni ustaarabu wa karne hii hata kama shutuma ni za kweli. Wewe mwenyewe usiseme uchafu wako useme wa wengine? Wanaume wote wahuni tu. Unawajua vzr hao uliowa elekezea malalamiko?

bwana awe nawe askofu
 
hivi huko kkkt hawajitoshelezi kiuongozi na kiutatuzi wa masuala yao ya kikanisa na ya kiroho mpaka wampelekee kopi jk? Mbona mambo ya kanisani humalizwa kanisani? Inakuwaje wanafikia hatua ya kupeleka kopi mpaka kwa rais? Wanataka afahamu tu au awatatulie mambo ya kiroho? Mi nadhani kuna shida humo kanisani!

yuko kkkt na mkewe yuko hivi angekuwa rc sijui moto wake ungekuwaje ...
 
Its shame but i conquer with those of the opinion that such issues should be internally resolved by members disciplining each other. On the other hand, we are all sinners! if you are not a fornicator, you are a lier and so on, So help us God!
 
Its shame but i conquer with those of the opinion that such issues should be internally resolved by members disciplining each other. On the other hand, we are all sinners! if you are not a fornicator, you are a lier and so on, So help us God!
Mkuu usikurupuke. Unadhani hao waliomwandikia Barua malasusa hawajui kama zipo hizo taratibu za kusolve internally? Zikishindikana wanaenda wapi? Sikiliza bwana mdogo, Malasusa ni Mkuu wa KKKT ambapo kimamlaka ni 'boss' wa Mdegela. Ingawa katiba inampa kiburi Askofu wa Dayosisi yoyote kutoingiliwa na mtu mwingine lakini pia mambo yanapozidi KKKT taifa kupitia kwa Mkuu wa kanisa na vikao halali wanaweza kuintervene. Kwa hiyo kumpelekea barua Malasusa ni sahihi. La Kikwete vivyo hivyo, Mdegela amekuwa akinufaika yeye binafsi na loopholes za misamaha na unafuu wa gharama utolewao na serikali kwa taasisi za kidini, Anapelekewa taarifa afahamu na ni agizo la serikali siku zote kama kuna mtu anavunja sheria basi atajwe ili vyombo vinavyohusika vifanye kazi yake. Kwa hiyo usitegemee kuona serikali kupitia taasisi zake kama HELSB na TEA wanapeleka fedha Tumaini Iringa alafu askofu ana mis use alafu watu wanaona wakaekimya wasubiri kikao cha ndani cha Dayosisi ambacho Mdegela ni Mwenyekiti wake
 
haya ni majungu matupu.huyu askofu anajulikana kwa misimamo yake thabiti ya kuzuia ubadhirifu wa mali za kanisa.ni tishio sana kwa wale wenye kutaka kujinufaisha.hawa wanaoandika hizi email za ajabu,huwa hawajitokezi kuthibitisha madai yao hadharani.

ni maarufu mno kiasi kwamba hata viongozi wa nchi humshirikisha kwa ushauri na maoni juu ya uongozi wa nchi na maendeleo ya jamii.lakini naona hata humu ndani kuna mwana forum kasema ni rafiki wa mafisadi.hawa wanaomtusi hawajaongelea habari ya ufisadi,lakini kwa kuwa limesikika hapa,utawaona wiki ijayo wakiibuka nalo.

hizi email chafu hazitawasaidia maana naona hata akili yao ni ndogo mno...eti wana wa cc usalama wa taifa.wanawajua usalama wa taifa??ujinga mtupu.watulie,wamuache amalize muda wake na atastaafu na kuwaachia dayosisi yao na wao wakaiendeshe waone kama ni jambo rahisi.

ugomvi wa kuwania madaraka huu!
 
Back
Top Bottom