JK na maadhimisho ya miaka 12 ya kifo cha Nyerere

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Wakuu muu hali gaani? Ningependa kujuwa jk alikuwa wapi wakati huu wa kuadhimisha death day ya mwasisi wa taifa letu na kipenzi cha wengi kwani ktk fuatilia yangu ya vyombo mbalimbali vya habari sijabahatika kumsikia wala kumwona akisungumzia kuhusu baba wa taifa, je ni kwamba yupo nje? Au najificha asijekujikosoa ktk maovu yake
nawakilisha
 
nami nilisikitishwa baada ya kushangazwa. Mbona anao muda wa kupiga picha hata na 50 Cent ama kutazama mamiss...anahudhuria hadi misiba imekuwaje kakosa muda wa kwenda Butiama? Ni fedheha!
 
Binafsi nilistaajabishwa katika hili, itabidi Ikulu watoe press release juu ya kwanini mkulu hakuwepo/hakuhudhuria wala kutoa nasaha katika kumuomboleza baba wa taifa kufikia miaka 12 ya kifo chake.
Yastaajabisha!
 
Hivi mlitarajia aseme nini? Wakati mwingine ni busara kunyamaza kimya kama hauna la kusema.
Kama kuna aliyewahi kutembelea Face Book account yake atakuwa alikutana na kauli yake kuhusiana na siku hiyo
 
Back
Top Bottom