JK na Fathers DAY

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
Jamani huyu mzee siku ya happy fathers day si anatakiwa awe na wanawe?

anngetembelea hata kituo cha yatima na kupiga nao stori moja mbili tatu na kuonyesha upendo kwa wanawe
Udom sio watoto wetu wale? hivi sisi ni wababa wa aina gani jamani?

Huyu mzee kweli tumeingia chaka kumpa nchi inawezekana alishaomba viza nchi nyingi akatoswa sasa hivi analipiza kisasi
 
Mhh mpaka uitwe baba kuna vigezo vingi tuu wengine ni wababa kisa wamemwaga sha hawa!!!
 
yani kijamaa ova kimelogewa kusafiri nje ya nchi!au anakomoa kwa watu kumsema,..au anaendeleza safari sababu akipunguza ataonekana amegive in kwa malalamiko ya wananchi..anakera,.
 
Mhh mpaka uitwe baba kuna vigezo vingi tuu wengine ni wababa kisa wamemwaga sha hawa!!!
MR bwana , yaani ukishaniona mm t unadhani tupo kwenye jukwaa letu nini? hahah
hili ni jukwaa la siasa bibie
sema hakijaharibika kitu coz sio tusi
 
Hivi anajifunza nini kwenye hizi safari zake, anatembelea kila nchi kuanzia zenye uchumi mkubwa, wa kati na wa chini, lakini inaonekana hazimsaidii kwani nchi inazidi kudorora kiuchumi, kimaadili na kila kitu.
 
Jamani huyu mzee siku ya happy fathers day si anatakiwa awe na wanawe?
anngetembelea hata kituo cha yatima na kupiga nao stori moja mbili tatu na kuonyesha upendo kwa wanawe
Udom sio watoto wetu wale?
hivi sisi ni wababa wa aina gani jamani?
huyu mzee kweli tumeingia chaka kumpa nchi inawezekana alishaomba viza nchi nyingi akatoswa sasa hivi analipiza kisasi

Mkuu asante kwa tangazo. Ngoja niku fedexskie maua hapo Kings C. Nafikiri ni bora kujipongeza wenyewe. JK is JK.
 
Mhh mpaka uitwe baba kuna vigezo vingi tuu wengine ni wababa kisa wamemwaga sha hawa!!!

Lady umejisahau upo jukwaa gani, jukwaa wanakojiachia hivyo wanachama wake huhakikiwa na kukubali masharti, hapa wengine unavyojiachia nguo fupi hivi tunaweza jisikia kichefuchefu, bora tutumie polite language.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom