JK na Dk.slaa nani zaidi?

Msenshe

Member
Dec 18, 2010
40
2
Jk alitunyima fursa muhimu wakati wa uchaguzi kuweza kumpima yeye kama kiongozi wa nchi na mtu aitwaye Dk. Slaa kwa kukimbia mdahalo. Dk.slaa anaaminika kwa wasomi wengi kuwa na uwezo mkubwa kuliko JK.
 
huwezi kumlinganisha dr Slaa na huyo kibonde. kwanza kwa uwezo wa kufikiria Dr. Slaa yuko juu sana
 
Mimi naona Kikwete nizaidi na huwezi kumfananisha hata kidogo na dr. slaa kwa kuasisi udini........
 
Naona kila mmoja yuko zaidi kwa namna yake. JK kwa kuasisi udini, kuruhusu ufisadi na kufisadi, kutalii duniani (vasco da gama), mtalaam wa ufitni (dr slaa na dr salim) na uchakachuaji (uchaguzi 2010), hajui kwa nini tu maskini, mwenye degree fake nyingi.<br />
Dr slaa ni zaidi kwa uzalendo, kupambana na ufisadi, si mfitini, mkweli na mchapakazi, anayeumia wananchi wakiwa maskini
 
Naona kila mmoja yuko zaidi kwa namna yake. JK kwa kuasisi udini, kuruhusu ufisadi na kufisadi, kutalii duniani (vasco da gama), mtalaam wa ufitni (dr slaa na dr salim) na uchakachuaji (uchaguzi 2010), hajui kwa nini tu maskini, mwenye degree fake nyingi.<br />
Dr slaa ni zaidi kwa uzalendo, kupambana na ufisadi, si mfitini, mkweli na mchapakazi, anayeumia wananchi wakiwa maskini

Pia mkwere yupo juu kwa Totos
 
Ndugu yangu katavi kujadiliwa sana hii mada sio tatizo,kila siku ktk medani za siasa yanatokea matukio yanayotulazimu kuwaweka watu hawa kwenye mizani. Hatuwezi kuwapima kwa historia pekee.
 
Pia mkwere yupo juu kwa Totos

kila mwanamume lijali lazima hili alifanye,thats why hata slaa ilibidi aoe tena baada ya kumiss mambo kwa mda mlefu,hata mfalme mswati anazaidi ya wake sijui kama wajuwa hilo

kwa kuwa jk ndio rais basi jk ni zaidi

ila kwa kuchanganuwa mambo namkubali slaa

mapinduziiii daimaaaaaa
 
Afadhali mswati kila akioa anatangaza. Hawa wetu kimyakimya. Urais wa JK unakosa uhalali wa kimantiki.
 
wakuu,kuna tofauti kubwa,kama tamthilia prison break. Dr slaa ni michael scolified (genious mpanga mipango sahihi ya kujenga na kunusuru wenzie)wakati mkwere ni sawa T bag(shenzi,pumbavu, muuaji,fasiki na mharibifu wa mambo mazuri) kwa wafuatiliaji wa tamthilia hii nadhani mmenisoma
 
Elimu! wote wana Phd za kupewa Padr Slaa= kapewa na kanisa(sheria za kanisa(canon law )ambayo hakusomea kwani hakuwa na pre qualification hivyo kapewa) JK Phd za heshima, -bora huyu maana ana bachelor ya uchumi
Uongozi Jk yupo mbali saana maana huyu Padr anafaa kufanya kazi kama takukuru vile, nafikiri angem replace Hosea
 
Aikaotana naona una matatizo ya kufikiria. Dk.slaa ana digrii ya phylosophy ambayo inamruhusu kusoma masters ya sheria. Canon laws ni ngumu kuliko hata unazozidhani ww,mbona tuna majaji waliospecialize ktk water laws!! Mkwere hajawahi kupractize uchumi alizama ktk siasa tena chafu.
 
Jk fisadi slaa siyo fisadi, jk dictator slaa mzalendo, jk kilaza slaa makini, jk msanii slaa mstaarabu, jk misifa slaa results oriented, jk mdini slaa mugwana, jk kabaila na bepari slaa mjamaa wa kati, jk hataki katiba mpya slaa anataka katiba mpya, slaa anataka elimu na afya bure jk hataki elimu na afya bure, slaa hataki nyumba za tembe na mbavu za mbwa jk anafagilia nyumba za tembe na mbavu za mbwa, slaa anataka baraza dogo la mawaziri na kufuta wakuu wa wilaya jk anataka serikali kubwa mawaziri 50 na zaidi, slaa mkweli jk muungo alidanganya maisha bora kwa kila mtanzania, slaa ana phd ya ukweli na kusomea jk ana phd ya upendeleo na kununua
 
Dr. Slaa (PhD) = 1,000,000 x Dr. Kikwete (heshima)

Na Bachelors yake iko wapi? na Masters jee?

PhD ya kanoni? duhh, nayo unaihesabu wakati hiyo kanoni inamkataza kuacha, naye kaacha? wakati hiyo kanoni inamkataza kuzini na mke wa mtu, naye unajuwa anafanya nini? huoni haya wewe?
 
Na Bachelors yake iko wapi? na Masters jee?

PhD ya kanoni? duhh, nayo unaihesabu wakati hiyo kanoni inamkataza kuacha, naye kaacha? wakati hiyo kanoni inamkataza kuzini na mke wa mtu, naye unajuwa anafanya nini? huoni haya wewe?

Kabla ya kuendelea na hoja ya tofauti ya Dr. Slaa (PhD) na Dr. jk (heshima), naomba kwanza ninukuu sehemu ya mahojiano yake na mwandishi mmoja wa habari mwanzoni kabisa wa uongozi wa jk, kama ifuatavyo:

''Mwandishi: Mhe. Rais unadhani kwa nini nchi yako ni maskini wakati ina rasilimali nyingi zinazoweza kuwaletea wananchi maendeleo?

Jk: Aksante kwa swali zuri. Kwa kweli hata mimi sielewi kwa nini nchi yetu ni maskini. Nami nashangaa sana.''

Sijui kama kuna rais yeyote duniani anayeweza kudiriki kujibu hivyo. Lakini kwa mkwere, bila ajizi tena kwa tabasamu zuri kama kawaida yake ndivyo alivyojibu. Huyo ndiye rais ambaye wapambe wake wanalazimisha tumwite Dr. Bahati nzuri hata wapambe wake wanafahamu usanii wanaofanya ndiyo maana waligoma katakata kupambanisha kwa njia ya mahojiano kwenye vyombo vya habari tena 'live' kati ya Dr. wa PhD na Dr. wa Heshima tena heshima yenyewe alipewa chuo cha uarabuni.
 
Back
Top Bottom