Elections 2010 JK Muogope Mungu. Umetenda Mabaya Mengi Kuliko Mema.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Wiki mbili zinakutosha JK. Bwaga manyanga. Achana na urais

Acha unafiki. Kazi ulishashindwa. Watanzania hawakutaki.

Hao wapambe wachache wanaopewa shuka, fulana, kofia na usafiri wa bure wanawakilisha sehemu ndogo sana ya Watanzania.

Watanzania wengi wamekuchoka JK. Ulichoahidi mwaka 2005 hakuna hata kimoja umefanya.

Seriali yako imejaa kashfa za ufisadi, LAKINI kwa makusudi kabisa, pengine kwa kuwaona Watanzania mazumbukuku, hujawahi kuzungumzia namna utapambana na ufisadi ukichaguliwa tena.

JK unataka Urais wa nini?

JK wewe siyo Mungu(of course hata mimi siyo Mungu). Lakini, I warn you. Watanzania hawakutaki. Kama utang'ang'ania kuiongoza jamii ya watu ambao hawakutaki, HAKIKA HAUTADUMU. UTAAIBIKA!!
 
I salute you comrade

Pili uwe unakumbuka kutoa thanks maana umepata Thanks nyingi lakini hujatoa hata moja

Tatu na mwisho Nakupongeza kwa kazi nzuri uliyofanya kwa hizi wiki mbili. Nafikiri umemfunika malaria sugu

Asalam Alekum (Peace be Upon You)

Wiki mbili zinakutosha JK. Bwaga manyanga. Achana na urais

Acha unafiki. Kazi ulishashindwa. Watanzania hawakutaki.

Hao wapambe wachache wanaopewa shuka, fulana, kofia na usafiri wa bure wanawakilisha sehemu ndogo sana ya Watanzania.

Watanzania wengi wamekuchoka JK. Ulichoahidi mwaka 2005 hakuna hata kimoja umefanya.

Seriali yako imejaa kashfa za ufisadi, LAKINI kwa makusudi kabisa, pengine kwa kuwaona Watanzania mazumbukuku, hujawahi kuzungumzia namna utapambana na ufisadi ukichaguliwa tena.

JK unataka Urais wa nini?

JK wewe siyo Mungu(of course hata mimi siyo Mungu). Lakini, I warn you. Watanzania hawakutaki. Kama utang'ang'ania kuiongoza jamii ya watu ambao hawakutaki, HAKIKA HAUTADUMU. UTAAIBIKA!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom