Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328
Nimepata wasiwasi! Hakuna atakae jiuzulu.
Hilo la m.k.w.ere kutofika 2015 ndio sala yangu kila nikiamka na kabla ya kulala!
Hakuna, tatizo ni yeye, si mawaziri.Napendekeza tumshauri Rais ni mawaziri gani wangemfaa?
Baraza la mawaziri wala hatabadilisha, subirini mtaonaMunaharibu kwa kuacha mada. Tutarajie nini? Je, atabadili baraza ama atalivunja? Kuvunja ni hatari kwake maana PM atakayemchagua atahitaji kura za wabunge, na upepo si mzuri ndani ya Bunge, akikosa ni hatari.
Asituumize vichwa huyo, tuna mtaji wetu wa signature 75, kazi itakuwa ni kubadili heading tu - badala ya kutokuwa na imani na PM inakuwa KUTOKUWA NA IMANI NA RAISI.Simple!
kwa mjibu wa PM via TBC habari kamili tutaipata J3 tuwe wavumilivu wakuu
Tumsaidie Rais wetu ndo maana ana watendaji chini yake, na ili kujua kinachofanyika kwenye nchi yake alimuagiza CAG kukagua matumizi ya serikali yake. Matokeo mmeyaona. Hongera sana Rais wetu zidi kuwaumbua Mafisadi usiangalie sura.
mkuu wahi Milembe
Japo nimeiweka kama tetesi lakini muda wowote atakuwa kaingia Dodoma na tutarajie lolote. Safari hii hakuna cha "Wazee wa Dar".
Nitakuja na updates baadae kidogo
Updates:
More updates baadae.
As if report ya CAG hakupewa yeye kwanza!!Anaenda Dom kufanya nini? Alikuwa wapi miaka yote kuushughulikia utendaji mbovu wa Baraza lake la Mawaziri? Kazi imemshinda maana ameshindwa kwa miaka chungu nzima kuwawajibisha Mawaziri wake hadi Wabunge wa Magamba walipoona umuhimu wa kufanya hivyo....Arudi Ikulu tu kufunga virago vyake kisha kulitangazia Taifa kwamba kazi ya kuongoza nchi imemshinda hivyo anaachia ngazi ili kupisha Serikali ya muda.
Kuna member mmoja humu anaitwa Mungi wa Arachuga,What???.. Malawi!! yani hapo ndio nimechoka kabisaa, kweli hii ki kansa, si bure haki ya nani
Hilo nalo neno!!Hoja ya Zitto Kabwe itabadilishwa kutoka Pinda ielekezwe kutokuwa na imani na President Kikwete. Hakuna kuuzunguka mbuyu kwa sasa, ni moja kwa moja to face this rude guy.