Naam Mkuu tuliandika sana hapa kabla ya uchaguzi wa 2010 na ushahidi uliwekwa wa kutosha tu kuonyesha kwanini msanii Kikwete hakustahili kuendelea kuwa Rais wa nchi yetu lakini magamba wakapuuza na katika uchaguzi mkuu ule ambao mimi naamini kabisa kwamba mshindi halali alikuwa ni Dr Slaa, magamba walitumia kitengo chao cha uchaguzi (Tume ya uchaguzi) na vyombo vya dola kuchakachua matokeo ya Urais na pia matokeo ya Ubunge katika majimbo mengi nchini.
Habari nilizonazo ni kwamba ameshatua anga hizo tayari!
source! Ni jamaa wa karibu na msafara wake!
mkuu ur conected'th system...naogopa kesho nikija decemba utanipolonium kama mwakyembe
mkuu mbona unaogopa sana!mkuu ur conected'th system...naogopa kesho nikija decemba utanipolonium kama mwakyembe
mkuu ur conected'th system...naogopa kesho nikija decemba utanipolonium kama mwakyembe
Shaka ondosha Kamanda wangu!
JK ni nyoka wa ngomani,hang'ati. Go to hell...
am not expecting anything labda siasa tu, he tends to pour cold anywhere he goes!!!
JK ni nyoka wa ngomani,hang'ati. Go to hell...
Kikwete huwa hasikii ushauri wa mtu yeyote zaidi ya R1 na mama Salma. Unapoteza muda wako kutoa ushauri mkuu.Napendekeza tumshauri Rais ni mawaziri gani wangemfaa?
Tukianzia na waziri wa
1. Fedha
2. Uchukuzi
3. Afya
4. nk