JK Monduli!

Mkuu,
Safari yangu yote kwenda kupata coverage ya jambo hili ilikuwa ni pamoja na ku'chance kumwona mama huyu, lakini kwa hakika hakuwepo...Nilikuwa na kijikamera changu standby, ili angalau ningekuwa mtu wa kwanza kubandika picha yake hadharani, lakini nimegonga mwamba!...Nimekutana na sura za kawaida za akina Andengenye na Isidori Shirima!...huh!

Lema ni mbunge je alienda kumpokea, vipi meya alikuwepo
 
Back
Top Bottom