JK Monduli!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
JK amewasili Arusha leo na kuelekea Monduli kutoa kamisheni kwa maafisa wa Jeshi.

Mara baada ya kushuka kwenye ndege aliwauliza waliojipanga kumpokea..."Vipi, FUJO ZIMEISHA?...MBONA MADIWANI WETU NI WENGI KULIKO WAO, WANATAKA NINI HAWA?"...ameuliza kwa masikitiko!
 
Source please?
 
Alikuwa anawajoki au? Ina maana Mwema hampelekei taarifa kma fujo zimeisha au vipi? But this proves that he has nothing tangible to say to Arusha people
 
Alisema kama joke lakini ukimwangalia sura anasomeka vema...yuko kwenye stress sana.
 
Red Color ndo jibu hakupaswa kuulizwa coz anajua A-z!
 
Alisema kama joke lakini ukimwangalia sura anasomeka vema...yuko kwenye stress sana.
Sidhani kama jambo hili linapaswa kuwa joke, especially from the Head of the State provided kuwa hajasema lolote la maana kuhusiana na sakat hili tangu limeanza. Shame on him
 
Kwa hiyo kama hazijaisha alitaka na yeye akajoin au?shame on him na ndo maana anajistukiastukia ka mgonjwa wa tumbo la kuhara.
 
Alikuwa na huyu bosi wake hapo kwenye avatar?mtujuze wakuu.

Haha haaa...!..Bosi wake huyo atampeleka Monduli kweli?...Huyo popote alipo anaelekeza nini kifanywe!
Awe Bombay AU Kuwait, wanambip anawaagiza cha kufanya na nchi hii!...huh!
 
JK amewasili Arusha leo na kuelekea Monduli kutoa kamisheni kwa maafisa wa Jeshi.

Mara baada ya kushuka kwenye ndege aliwauliza waliojipanga kumpokea..."Vipi, FUJO ZIMEISHA?...MBONA MADIWANI WETU NI WENGI KULIKO WAO, WANATAKA NINI HAWA?"...ameuliza kwa masikitiko!
Source :A S-fire1:
 
Alisema kama joke lakini ukimwangalia sura anasomeka vema...yuko kwenye stress sana.

Jana nilimtazama kwenye tv alipokuwa analalamika kwamba kuna watu hawaoni serikali imefanya nini tangu uhuru. Usoni kwake ilikuwa wazi tayari ameshapata ujumbe. Ni kama ameshakubali, yaani anasubiri tu wananchi wamtunisie
 
JK amewasili Arusha leo na kuelekea Monduli kutoa kamisheni kwa maafisa wa Jeshi.

Mara baada ya kushuka kwenye ndege aliwauliza waliojipanga kumpokea..."Vipi, FUJO ZIMEISHA?...MBONA MADIWANI WETU NI WENGI KULIKO WAO, WANATAKA NINI HAWA?"...ameuliza kwa masikitiko!

Madiwani wao ni wengi lakini hawakuwa na wingi wa kutosha kumpa ushindi meya kwa kufuata utaratibu wa kisheria na kikanuni.
Kama madiwani wao ni wengi ilikuwaje wakampa "transfer" mary kitanda kwenda kuongeza nguvu.

BTW; PJ naomba kuuliza, wakati wa mapokezi yake hapo arusha, huyu mary kitanda alikuwepo?
 
PJ,

Sidhani kama alikuwa anasikitika kwa maana ya kuonyesha kukerwa na yaliyotokea huko, ujumbe ninao upata mimi hapo ni KEJELI kwa CDM! Kejeli kwa waliojeruhiwa na waliokufa na kufiwa....! shame on him!
 
Madiwani wao ni wengi lakini hawakuwa na wingi wa kutosha kumpa ushindi meya kwa kufuata utaratibu wa kisheria na kikanuni.
Kama madiwani wao ni wengi ilikuwaje wakampa "transfer" mary kitanda kwenda kuongeza nguvu.

BTW; PJ naomba kuuliza, wakati wa mapokezi yake hapo arusha, huyu mary kitanda alikuwepo?
Mkuu,
Safari yangu yote kwenda kupata coverage ya jambo hili ilikuwa ni pamoja na ku'chance kumwona mama huyu, lakini kwa hakika hakuwepo...Nilikuwa na kijikamera changu standby, ili angalau ningekuwa mtu wa kwanza kubandika picha yake hadharani, lakini nimegonga mwamba!...Nimekutana na sura za kawaida za akina Andengenye na Isidori Shirima!...huh!
 
Back
Top Bottom