JK mgeni rasmi uzinduzi wa barabara

jenga viwanda bara bara ingejileta kwa faida ya machungwa au nanasi ila nyie hamjui hata kipaombele badala yake mmeuza viwanda chuma chakavu mnajenga bara bara kwa mkopo deni la taifa linakuwa kwa kasi ya ajabu haijawahi tokea

Na zile million 183 za ruzuku alizokopa Babu hawara toka CDM inakuwaje au alishalipa?
 
Jee, unajuwa kuwa nchi matajiri duniani ndiyo wenye madeni makubwa duniani? au hulijui hilo? hata benki kama inajuwa huwezi kulipa haikukopeshi.

Kwa jitihada za Kikwete zza kualika wawekezaji wamaan (siyo wale wa Nkapa), leo Tanzania inaongelewa kuwa itakuwa kati ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani katika miaka 20 ijayo. Katutoa kwenye umaskini wa mwisho duniani aliotuacha nao Nyerere, au hulijui hilo?

nyerere alituachia viwanda japo bycle na majembe ya mkono na matairi nk urafiki ..... tz kwa wakati huu wa ccm ni ndoto kuendelea we upo dunia gani huangalii bunge la budget ukaona hakuna pesa yeyote ya maendeleo unayo yasema zaidi ya kutegemea wahisani ...aibu hata afya 95 percent tegemezi.

leo tunalipa kodi lakini dawa hakuna maji barabara shule ni vichekesho
 
Nyerere aliwacha magofu ya viwanda. Vilianza kufungwa na kufa kabla yeye hajafa, kwa ujinga wa kujenga viwanda vipya wakati vya zamani havina mali ghafi na kuvifanya vyote kufa, soma hii uelewe:

Sugar is said to be selling informally at shs.30 to shs.40 a kilo, although the official price is shs.11 a kilo. Low production is attributed to lack of spare parts and bad weather. Two factories have closed and output is reduced at others. A major expansion of production is planned, which will triple output by the end of the decade. A new mill at Kagera, replacing the one destroyed by Amin’s troops, has been built and will be in production this year, though it cannot function to full capacity until the sugar estate is provided with irrigation.
Source: Tanzanian Affairs » DIGEST OF TANZANIAN NEWS
 
Nyerere aliwacha magofu ya viwanda. Vilianza kufungwa na kufa kabla yeye hajafa, kwa ujinga wa kujenga viwanda vipya wakati vya zamani havina mali ghafi na kuvifanya vyote kufa, soma hii uelewe:
kuna barabara inazinduliwa au ni hivyo vichochoro vya kilasiku
 
Umeanza tena madude? Unaishi wapi visiga? Bila barabara ambazo serikali imezijenga hata hiyo M4C ingefanyika?

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu hamna barabara hapa!!!!!!vipo vichochoro huwezi kabisa kulinganisha Rasilimali tulizonazo!!! barabara zipo Nairobi na Addis Ababa sitaki kutaja manchi makubwa kama huko uliko
 
Ukitoka visiga kuja mjini unatumia helkopta?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Naona JK sasa ameamua kuingilia kazi za Bilali(Mzee mkasi),

maana tulishazoea sana kumwona Bilali akitembea na mkasi kwenye koti lake, ili kila anapofika kuzindua miradi asihangaike kutafuta mkasi wa kukata utepe.
 
kuna barabara inazinduliwa au ni hivyo vichochoro vya kilasiku

Sehemu ya Barabara ya Bagamoyo - Msata iliyojengwa kwa kiwango cha lami ambayo ujenzi wake ulizinduliwa rasmi leo na Rais Dk Jakaya Kikwete, huko Kiwangwa, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani

Source:
http://issamichuzi.blogspot.com/2012/08/barabara-ya-msata-bagamoyo-sasa-mambo.html
 
Ethiopia hiyo wewe gamba zomba !!!!!
adddd.jpeg
 
Last edited by a moderator:
Ukitoka visiga kuja mjini unatumia helkopta?

Chama
Gongo la mboto DSM

tungekua na serikali makini kama mkakati wa punguza foleni ingekua inajenga barabara kuanzia njia nne kwenda na nne kurudi,ujenzi wanafanya sasa ni vichekesho kwa mtu mwenye akili!
 
Back
Top Bottom