Mratibu wa tamasha la nyimbo za injili bwana Alex Massama amesema kuwa Mpendwa wetu Rais Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la pasaka. Kwa taarifa zilizopo mhe JK amekubali mwaliko huo. LONG LIVE JK, LONG LIVE TANZANIA
anatafuta pa kutokea tu huyo.
na hilo tamasha litapata hasara ya mwaka.
hasara kivipi? Watu hawataenda?.
Kwa kitu kinachousu dini,mi nakuwa 'domo zege'
wanashindana na lowassa?Mratibu wa tamasha la nyimbo za injili bwana Alex Massama amesema kuwa Mpendwa wetu Rais Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la pasaka. Kwa taarifa zilizopo mhe JK amekubali mwaliko huo. LONG LIVE JK, LONG LIVE TANZANIA
Kwa kitu kinachousu dini,mi nakuwa 'domo zege'
ulijuaje? watu wako kazini juu kwenye nguzo wanalazimishwa washuke umeme uwashwe kisa mkulu kaja home kwake kula weekend!!!!!!!Natamani umeme uwakatikie katikati ya shughuli, maana huyo mzee hajawahi kujaribu inakuwaje kukaa gizani
!
Kwa kitu kinachousu dini,mi nakuwa 'domo zege'
Natamani umeme uwakatikie katikati ya shughuli, maana huyo mzee hajawahi kujaribu inakuwaje kukaa gizani
!
Mratibu wa tamasha la nyimbo za injili bwana Alex Massama amesema kuwa Mpendwa wetu Rais Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la pasaka. Kwa taarifa zilizopo mhe JK amekubali mwaliko huo. LONG LIVE JK, LONG LIVE TANZANIA
Mratibu wa tamasha la nyimbo za injili bwana Alex Massama amesema kuwa Mpendwa wetu Rais Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la pasaka. Kwa taarifa zilizopo mhe JK amekubali mwaliko huo. LONG LIVE JK, LONG LIVE TANZANIA
Natamani umeme uwakatikie katikati ya shughuli, maana huyo mzee hajawahi kujaribu inakuwaje kukaa gizani
!
Anataka kujionesha kwamba yeye "si mdini," right?[/QUOTE]
Umenena mkuu, ila hatakati hata aende kwenye mkesha