JK Mauritania

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
GO9G6370.JPG
 
Ndege yetu imepona kumbe?....halafu mbona gwaride lake na la msaidizi wake havifanani?
 
Utalii wa kisiasa. Who will pay for the travel costs? Sie?

Ninavyojua hii ziara imeandaliwa na AU, ninachouuliza kwani ndege ya rais wa tz nani anaigarmia, ni AU au serikali ya tz. Kama ni sisi basi utawala wa jk ni kiama kwa watanzania. Ukizingatia hiking of oil prices, we will soon cripple. Jana nilisoma kwenye gazeti moja hapa mjini likidai serikali imeishiwa hela hata za kuendeshea mambo muhimu ya wizara. Je JK anapata wapi hizi hela la kutanulia hivi wakati wananchi wanalalmika hivi?
 
Maraisi na viongozi wenzake, pindi inapotokea dharula hukatisha hata likizo zao lakini kwa kuwa jamaa ni mvumbuzi wa safari ameona ishu ya G'mboto haina maana (ukizingatia keshapiga picha za tabasamu lisilo na tafakauri na wahanga) hivyo kaona bora kwenda kujipumzikia huko nje
 
Kama ni kupumzika atakuwa kakosea nchi yenyewe hovyo kuliko TZ

Renault_12_in_Nouakchott.jpg
 
Back
Top Bottom