Mgongo wa paka
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 485
- 36
imefika wakati lipumba atumike tutumie mtaalam wetu alieamua kuwepo nchini nakukwepa kuishi ulaya.
Usipotoshe umma tafadhali. Mambo ya Zanzibar tofauti na bara wacha akampokee Mtanzania aliyekubalika majuu kwa sifa zake. Yeye kawapita maprofessor wengine sio kwa kuwa mwenyekiti wa CUF Tanzania. Sio kila mahali siasa tu ndio maana mnashindwa hata na majirani zetu hapa karibu kwa mawazo kama haya ya kuchanganya mambo.Hii si ajabu hawa waliunganisha vyama vyao, na sasa CCM na CUF ni wamoja! hivyo mkuu kumpokea msaidizi wake ni jambo la kawaida!
Baaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila serikali kutoa pongezi kwa prof.lipumba juu ya uteuzi wake wa kuwa m/kiti wa maprofesa wa uchumi duniani baada ya kuwashinda zaidi ya maprofesa 555 duniani na akiwa mwafrika peke yake, raisi kikwete ameamua kwenda kumpokea prof.lipumba tarehe 11/3/2010 ktk uwanja wa ndege wa j.k.nyerere. Je hii ni sahihi?
Mkuu JK akienda kumpokea Prof. Lipumba ni sawa tu. Kama Mtanzania amelitangaza jina la nchi huko ughaibuni. Mbona viongozi huwa wanawapokea walioenda Big Brother ama kwenye mamiss!
Mkuu JK akienda kumpokea Prof. Lipumba ni sawa tu. Kama Mtanzania amelitangaza jina la nchi huko ughaibuni. Mbona viongozi huwa wanawapokea walioenda Big Brother ama kwenye mamiss!