Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
CCM-B kwishnye
Baaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila serikali kutoa pongezi kwa prof.lipumba juu ya uteuzi wake wa kuwa m/kiti wa maprofesa wa uchumi duniani baada ya kuwashinda zaidi ya maprofesa 555 duniani na akiwa mwafrika peke yake, raisi kikwete ameamua kwenda kumpokea prof.lipumba tarehe 11/3/2010 ktk uwanja wa ndege wa j.k.nyerere. Je hii ni sahihi?
Waacheni wafu wawazike wafu wenzao!
Hivi, kati ya habari na chanzo huwa unaamini kipi?
Baaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila serikali kutoa pongezi kwa prof.lipumba juu ya uteuzi wake wa kuwa m/kiti wa maprofesa wa uchumi duniani baada ya kuwashinda zaidi ya maprofesa 555 duniani na akiwa mwafrika peke yake, raisi kikwete ameamua kwenda kumpokea prof.lipumba tarehe 11/3/2010 ktk uwanja wa ndege wa j.k.nyerere. Je hii ni sahihi?
Alikuwa mshauri wa Mwinyi na pia Mkapa kwa kipindi flani kama sikosei.
Kama waliangalia achievements zake, basi bado sishangazwi, ndo kazi zao kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kwani hata Mkapa si walimsifia kuwa uchumi ni mzuri na unakuwa wakati wananchi mambo ni mbaya hadi wakamwita kuwa ni "Mtu /Rais aliyewatoa kapa" kwa ukata?
Madhali ushauri alioutoa ndo umetufikisha hapa, basi sioni shaka kama wakimpeda.
jamaa ana gundu
Kwahiyo sasa tuko ukurasa mmoja kuwa amechangia haya "maendeleo" ya uchumi wetu chini ya Mwinyi na Mkapa, sivyo?1991-1993, Personal Assistant to the President (Economic Affairs) i.e.
Economic Advisor to the President of the United Republic of Tanzania.
1989-1996, Associate Professor Department of Economics, University of Dar es
Salaam.
CCM-B kwishnye
Lekebisha mwaka ueleweke.
Mnnnh! nasikia pia alikuwa mshauri wa Uchumi wa Mwinyi (SAP) au sio kweli?
Lekebisha mwaka ueleweke.
Inaelekea una source nzuri ya info..maana hata tarehe ya kurudi bw. lipumba unayo sasa weka kila kitu jamvini tujue ili na sisi wananchi tukampokee
2010 ??
Juu ya kumsifia mkapa kupanda kwa uchumi nadhani hata wewe waweza kuwa shahidi wahilo,kwani unaweza kufananisha tu kipindi hicho na cha sasa hususani ktk maswala ya kiuchumi.
hata wachina wanaosifika kwa uchumi wao kukuwa si kwamba wananchi wao wana uwezo ama wanapesa nyingi sana mifukoni mwao,la hasha nao pia wanapiga kelekele sana,hali ni ngumu hata kwa upande wao
Naomba jiridhishe juu ya Prof Nguyuru Haruna hapa china
1999- Independent Consultant, Dar es Salaam
1996-1998, Senior Research Fellow at the World Institute for Development
Economics Research, UNU/WIDER, Finland.
1993-1995, Fullbright Visiting Professor, Centre for Development Economics
Williams College, USA.
1991-1993, Personal Assistant to the President (Economic Affairs) i.e.
Economic Advisor to the President of the United Republic of Tanzania.
1989-1996, Associate Professor Department of Economics, University of Dar es
Salaam.
1996-1998, Senior Research Fellow, World Institute of Development
Economics Research, United Nations University, Helsinki, Finland.
Consultant to
The World Bank, UNDP, Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area
for Eastern and Southern Africa (now COMESA), Swedish International
Development Agency (SIDA), NORAD, DANIDA, Ministry of Foreign Affairs
Finland, Bank of Tanzania, Macroeconomic and Financial Management
Institute of Eastern and Southern Africa, African Capacity Building Foundation.
kwa hiyo sio kwamba anasifiwa kama sadaka hapana ni kweli Prof anauwezo Tatizo hatutaki kumtumia