JK kweli ni 'mwerevu' naanza kukubali!

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,498
Habari wana jamvi,

Nimekutana na haka ka-quote kwenye gazeti la Raia Mwema na kakanikumbusha mambo mengi sana.

"Mie ndiye mwajiri mkuu, nisikilizeni mimi. Msimsikilize Mgaya. Mtafukuzwa kazi wala Mgaya hamtamuona. Mtapoteza haki zenu…. Akili ni nywele kila mtu ana zake. Mtu mzima dawa."


My take:
Wataalamu wa sheria za kazi na ajira mnasemaje hapo hapo kwenye red!?

qt.jpg
 
Mwerevu kwa kutamka maneno kama hayo?
Sioni kama kulikuwa na ulazima kwa mtu mwenye nafasi ya urais kutamka maneno hayo na ilibidi atumie busara tu kuweka mambo sawa hata kama kulikuwa na presha ya mgomo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom