JK kweli anapenda masuala laini laini...........kama kupanda miti.............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
01_11_c76x4h.jpg


PRESIDENT Jakaya Kikwete applies fertiliser to a mango seedling soon after launching a fertiliser storage facility in Dar es Salaam on Thursday. Left is Agriculture, Food Security and Co-operatives Minister Professor Jumanne Maghembe while second left (partly hidden) is Transport Minister Omari Nundu. (Photo by Yusuf Badi)
 
Ukimtafuta JK kwenye masuala nyeti kama DOWANS au KATIBA mpya ...........the man is missing in action.................A.W.O.L..........How pathetic..........................
 
akitoka hapo anaenda kubembea, then kucheza kiduku, hayo ndio ya msingi kwake
 
Anaweka mbolea wakati nchi za ulaya na marekani zinataka mazao yanayoagizwa toka Huku kwetu yasiwekewe artificial fertilizers. Hayo maembe tutauza ulaya na marekani tukiweka hizo kemikali? Au itabidi yatuue sisi wenyewe? Mimi nilifikiri alitakiwa ahimize mbolea za asili? Nawasilisha
 
Jana nilibahatika kumuuliza kama amewahi kupita hapa Jamii Forums Where We Dare to Talk Openly, akaniambia hajawahi kupita hapa. Pia, akaongeza kwamba wasaidizi wake hawajawahi kumwambia kuwa hili jamvi lina exist!!
 
Hebu angalia hao wanaomzunguka walivo wazito...! Vitambi, suti over size, afya mbovu, hamna ukakamavu wa aina yoyote...! Hivi hakuna mtu anaeshughulikia Public Appearance, even dressing and event etiquettes kwa viongozi wetu wa Serikali?

Unaenda kupanda mti ukiwa na suti?
 
Halafu anamwagia maji kwa kutumia glass!!! Total lack of seriousness.
 
01_11_c76x4h.jpg


PRESIDENT Jakaya Kikwete applies fertiliser to a mango seedling soon after launching a fertiliser storage facility in Dar es Salaam on Thursday. Left is Agriculture, Food Security and Co-operatives Minister Professor Jumanne Maghembe while second left (partly hidden) is Transport Minister Omari Nundu. (Photo by Yusuf Badi)

Lakini wandugu si tuna sera ya kilimo? sasa bila ya kuonyesha msisitizo tutafanikiwa kweli
 
Hawa jamaa ni wasanii tu wameshindwa hata kuleta watering-can ya kumwagilia maji badala yake wanatumia glass za kunywea maji kumwagia huo muembe wao!! Utani mtupu kama vile wanavyocheza kiduku!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom